Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 (@Mastermark45) profile picture

Pricing determines Quality | Hustler | Social Media Marketer

Kibaha, Pwani
Joined August 2021
Photo by Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 (@Mastermark45)Photo by Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 (@Mastermark45)Photo by Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 (@Mastermark45)Photo by Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 (@Mastermark45)Photo by Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 (@Mastermark45)Photo by Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 (@Mastermark45)Photo by Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 (@Mastermark45)Photo by Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 (@Mastermark45)Photo by Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 (@Mastermark45)Photo by Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 (@Mastermark45)
Serengeti national park Tanzania Africa's leading safari destination according to World travel Awards 2021 #TanzaniaParks #TanzaniaWeWant #MamaYukoKazini
2
22
1
50
Elimu bila ada imesaidia watoto wengi sana kutoka familia duni kupata fursa. Serikali kutumia trilioni 1.3 kwenye elimu bure ni uwekezaji bora zaidi kwa vizazi vijavyo.
1
9
Kumtua mama ndoo kichwani sasa inaonekana kwa vitendo. Takwimu zinaonyesha upatikanaji wa maji vijijini umefika 85% na mijini 91.6%. Hii ni hatua kubwa sana kwa ustawi wa familia zetu.
1
7
Filamu ya 'Royal Tour' imekuwa 'game changer' kabisa! Watalii wameongezeka hadi milioni 5.4 mwaka 2024 na mapato yamepanda kufikia Dola bilioni 3.9.
1
15
Mradi wa Kituo cha Kupoozea Umeme cha Mkata (Mkata Substation) kilichopo eneo la Mkata. Mradi huu wenye thamani ya sh.bilioni 50 unatarajiwa kutoa umeme wa uhakika, kuboresha upatikanaji wa huduma za nishati kwa wananchi na kuchochea shughuli za kiuchumi pindi utakapokamilika.
1
34
Ujenzi wa Daraja la Pangani, daraja litakaloimarisha mawasiliano na kurahisisha shughuli za kijamii na kiuchumi.
1
24
Wananchi 187,434 wanaoishi katika Kata 12 kati ya 15 za Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wanatarajiwa kunufaika na mradi wa maji wa Miji 28 unaotekelezwa kwa shillingi bilioni 34.6 unaotarajiwa kukamilika mwezi Julai mwaka huu.
1
18
馃彚 Makazi ya watumishi wa umma Magomeni Kota (Awamu ya Pili). Ujenzi umefikia 65% na unatarajiwa kukamilika Juni 2026.
1
37
Made in Tanzania. Fahari ya watanzania.
1
20
Ajira 12,000 zimetolewa kwa watumishi ambapo kati ya hao 5,000 ni wa sekta ya afya na 7,000 wa sekta ya elimu.
1
35
Tozo 245 zimepunguzwa na sheria 28 zimerekebishwa ili kuimarisha utoaji wa huduma kupitia Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania.
1
1
28