Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana) profile picture

Social and Political Comedian

Joined December 2021
Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)
😀😀😀 Futungo
Ukiwa unatoka Town Mwanza, unaona Capripoint imeingia ziwani, pembeni unaona Saanane Island. Hii nchi ingekua ya "mzungu" watu wangesafiri sana kuiona. Mnaenda Greece kuangalia majengo ya milimani.
4
Tena gharama nzuri tu.
Kila unapoona viasharia vya mafanikio, wewe jua kuna gharama imelipwa.
1
84
Spana Matrix (confused people) retweeted
Tumezaliwa nchi maskini, kuishi a decent life standard might take half a century. So, along the way furahia maisha katika kipimo chako, panda boda, panda mabasi, dandia private, ishi uchumi wako,ili zikifika time za kudandia ndege ni halisi, sio za kuuza watu, za kuiba au dhulma.
11
114
7
452
11,661
Ongeza
Haya naomba uongelee haya ya msingi. 1. Serikali imejaa watu hawana morals 2. Hatujapona Oktoba 29 3. Hali ya uchumi halisi toka 2020 4. Nchimbi Yupo wapi? 5. polepole yupo wapi? 6. Twaha yupo wapi? Niongeze?
1
1
138
😆😆😆 unataka wasitumie mzee.
Ndege ya mchana, Mwanza -Dar hakuna. Au ndio mmeenda kutanua nayo ughaibuni? 🤣🤣
1
32
Spana Matrix (confused people) retweeted
Ndege ya mchana, Mwanza -Dar hakuna. Au ndio mmeenda kutanua nayo ughaibuni? 🤣🤣
18
11
5
303
19,469
Spana Matrix (confused people) retweeted
Kwahiyo hatuko huru?
This quoted post is unavailable.
9
8
2
40
4,714
😀😀😀
Wakina Nyerere hawakuhitaji PhD kuandika Azimio la Arusha na kutengeneza falsafa ya Elimu ya Ujamaa na Kujitegemea. Kuna namna elimu ya makaratasi inatutengenezea kiburi na ukatili wa kisenge sana. Elimu iliyopaswa kututoa kwenye zama za ujima na kutustaharabisha ndio inatufanya wapumbavu na wanyama kuliko wanyamapori.
9
😀😀😀😀
Mbogamboga ndio watetezi wa FAM 😀 Kweli nyakati ubadilika 🙌🏼
1
1
86
Spana Matrix (confused people) retweeted
Mbogamboga ndio watetezi wa FAM 😀 Kweli nyakati ubadilika 🙌🏼
Kuna mengi yalitokea kati ya FAM na TAL haswa wakati wa kampeni za ndani ya chama. Tuliyoyaona mitandaoni na kwenye media ni asilimia ndogo tu ya yaliyokua yanaendelea nyuma ya pazia. Kama FAM kaamua kutokuishi kinafiki na kuendelea na maisha yake muacheni. Alishakabidhi chama na majukumu yake yaliishia pale. Mengine muda utazungumza.
11
14
4
148
8,389
Spana Matrix (confused people) retweeted
Kwa tuliolelewa na mama wa kambo tumejifunza kitu kimoja kikubwa sana kwenye maisha ya binadamu ‘subra’ mimi sitakutukana kwasababu kwenye umri wako hakuna tusi hujawahi sikia, ila ipo siku tutakukumbusha, M/Mungu atupe uhai.
Tunashukuru kwa kidogo kilichopatikana,
59
163
2
615
18,422
Cooling break..😀😀
Kwahiyo waheshimiwa majaji wameamuaje kuhusu uchochezip, anafungwa au analipa faini au yote mawili kwa pamoja au wameenda kula kwanza?
18
We have not failed TL, but rather democracy has failed him.
1
21
Imagine Cdm had John Wick traits 🤣🤣🤣. Forgive me in Advance Father.
Watu wenye nia ovu hawakosi sababu.
11
Yo move Cdm, they have played theirs.
6
Unashikwa kwa wizi, then unahukumiwa kwa ulawiti.
11
Spana Matrix (confused people) retweeted
You are not politically neutral You are just a coward comfortable with injustice that doesnt affect you
9
218
10
532
14,380
Pasi ya kisigino hii mzee.
Kesi ni ya Uhaini, Hii Sedition wametoa wapi wakurungwa?
12