𝗜𝗻𝘁𝗲𝗹𝗹𝗶𝗴𝗲𝗻𝗰𝗲-𝗺𝗶𝗻𝗱𝗲𝗱 | 𝗦𝗲𝗰𝘂𝗿𝗶𝘁𝘆 & 𝗚𝗲𝗼𝗽𝗼𝗹𝗶𝘁𝗶𝗰𝗮𝗹 𝗔𝗻𝗮𝗹𝘆𝘀𝗶𝘀 | 𝗙𝗮𝗰𝘁𝘀 𝗼𝘃𝗲𝗿 𝗲𝗺𝗼𝘁𝗶𝗼𝗻𝘀 |

Joined January 2023
Umeishia wapi na mambo ya makaburi yako ya Mabwepande watu wamepewa viwanja wajenge kufunika makaburi ya halaiki? Huwezi kushindwa kumjengea mama yako sehemu ya kunya halafu ukawa na akili sawa sawa hii wewe uko nayo ni laana📌 .. Tunakusihi sana jenga choo kwa mama yako kwanza ndiyo uje huku kuongea haya mautumbo yako..
11
26
2
24
4,583
kuimarisha mifumo ya tathmini, ufuatiliaji na usimamizi wa leseni hizo, sambamba na kuhakikisha kunakuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha, uwajibikaji na ongezeko la mapato ya Serikali kupitia kodi, mrabaha na mgao wa faida. Ameielekeza TPDC kushirikiana na wawekezaji wenye
1
uwezo wa kifedha, ujuzi na teknolojia ili kuongeza tija katika shughuli za utafutaji na uendelezaji wa mafuta na gesi asilia, huku akiwataka wadau kutanguliza uzalendo kwa Tafa, uadilifu, uchapa kazi na maslahi ya Taifa mbele. Makamu wa Rais amesema Serikali itaendelea kuweka
1
mazingira wezeshi ya uwekezaji, yanayozingatia uwazi, kutabirika kwa mifumo ya kisheria, ushindani wa haki na ulinzi wa maslahi ya Taifa. Makamu wa Rais amesema, pamoja na lengo la kukuza pato la Taifa kufikia dola za Marekani trillioni 1 kama iliyoainishwa kwenye dira ya
wakati wa hafla ya utiaji saini wa leseni nne za utafutaji wa mafuta na gesi asilia katika vitalu vya Mnazi Bay North, West Songo Songo, Eyasi - Wembere na Lindi- Mtwara, iliyofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam. Makamu
1
1
wa Rais amesema ni muhimu kuhakikisha Watanzania, hususan vijana na wanawake, wanapewa kipaumbele katika ajira, mafunzo, teknolojia na zabuni, huku kampuni za ndani zikiwezeshwa kushiriki kikamilifu katika mnyororo wa thamani wa sekta hiyo. Aidha, ameitaka Wizara ya Nishati
1
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI *MAKAMU WA RAIS ATAKA VIJANA WASIWE WATAZAMAJI SEKTA YA GESI NA MAFUTA DAR ES SALAAM, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, ameiagiza Wizara ya Nishati kupitia Mamlaka ya
1
7
Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuandaa mpango mkakati utakaowawezesha vijana na kampuni za Kitanzania kunufaika na fursa za ajira, zabuni na uwekezaji katika miradi ya mafuta na gesi asilia nchini. Makamu wa Rais ametoa maagizo hayo leo, Oktoba 28, 2026,
1
𝙏𝙝𝙚 𝙏𝙖𝙘𝙩𝙞𝙘𝙞𝙖𝙣 𝙎𝙎𝙃 retweeted
Fursa kwa mafundi wa ujenzi.
1
31
31
450
𝙏𝙝𝙚 𝙏𝙖𝙘𝙩𝙞𝙘𝙞𝙖𝙣 𝙎𝙎𝙃 retweeted
𝑴𝑨𝑲𝑨𝑴𝑼 𝑾𝑨 𝑹𝑨𝑰𝑺 𝑨𝑨𝑮𝑰𝒁𝑨 𝑴𝑷𝑨𝑵𝑮𝑶 𝑴𝑲𝑨𝑲𝑨𝑻𝑰 𝑾𝑨 𝑲𝑼𝑾𝑨𝑨𝑵𝑫𝑨𝑨 𝑽𝑰𝑱𝑨𝑵𝑨 𝑲𝑼𝑵𝑼𝑭𝑨𝑰𝑲𝑨 𝑵𝑨 𝑴𝑰𝑹𝑨𝑫𝑰 𝒀𝑨 𝑴𝑨𝑭𝑼𝑻𝑨 𝑵𝑨 𝑮𝑬𝑺𝑰 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameiagiza Wizara ya Nishati kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Shughuli za Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuandaa mpango mkakati wa kuwajengea uwezo vijana na kampuni za Kitanzania ili washiriki kikamilifu katika miradi ya mafuta na gesi asilia. Ametoa maelekezo hayo leo, Oktoba 28, 2026, jijini Dar es Salaam, katika hafla ya utiaji saini leseni za utafutaji wa mafuta na gesi. Katika hafla hiyo, Makamu wa Rais alimwita mbele kijana Mwizegwa Rusibamanyila, aliyeacha kazi nje ya nchi na kurudi nyumbani kuanzisha kampuni yake inayofanya kazi katika kitalu cha gesi cha Mnazi Bay, mkoani Mtwara. Kampuni hiyo imeajiri zaidi ya Watanzania 50, na asilimia 80 kati yao wanatoka katika kijiji kinachozunguka mradi huo. Miongoni mwao ni binti aliyeajiriwa akiwa bado mwanafunzi, akaendelezwa kielimu, na sasa ni mmoja wa wasimamizi wa mradi huo. “Kitengo cha local content tukikisimamia vizuri, tuna uwezo wa kuzalisha akina Rusibamanyila wengi zaidi ambao watakuja kuajiri Watanzania wenzao katika miradi ya mafuta na gesi,” amesema Mhe. Ndejembi. Amesisitiza kuwa maandalizi ya vijana hao yaanze sasa, kabla miradi mikubwa ikiwemo mradi wa LNG mkoani Lindi haijakamilika, ili Watanzania wawe tayari kushiriki kama wataalamu, watoa huduma na wasambazaji wa bidhaa. Aidha, amemshauri Waziri wa Nishati kuandaa tuzo maalum kwa kijana huyo kutokana na kazi kubwa anayoifanya.
4
3
469
𝑴𝑨𝑲𝑨𝑴𝑼 𝑾𝑨 𝑹𝑨𝑰𝑺 𝑨𝑨𝑮𝑰𝒁𝑨 𝑴𝑷𝑨𝑵𝑮𝑶 𝑴𝑲𝑨𝑲𝑨𝑻𝑰 𝑾𝑨 𝑲𝑼𝑾𝑨𝑨𝑵𝑫𝑨𝑨 𝑽𝑰𝑱𝑨𝑵𝑨 𝑲𝑼𝑵𝑼𝑭𝑨𝑰𝑲𝑨 𝑵𝑨 𝑴𝑰𝑹𝑨𝑫𝑰 𝒀𝑨 𝑴𝑨𝑭𝑼𝑻𝑨 𝑵𝑨 𝑮𝑬𝑺𝑰 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi,
13
Mustakabali wa taifa uko mikononi mwa vijana. Wengi wao wamechagua amani kwa sababu vurugu husababisha uharibifu wa mali, kupoteza riziki na maisha. Wanajua baada ya machafuko kazi zinapotea na biashara zinaporomoka. #HatutakiTenaVurugu Tumekataa Harakati Za Vurugu
4
𝙏𝙝𝙚 𝙏𝙖𝙘𝙩𝙞𝙘𝙞𝙖𝙣 𝙎𝙎𝙃 retweeted
Yule muuza mkund angekuwa ana ngozi nyororo kama hivi wallah tungekoma🤣🤣🤣 Ila ndo hivyo tena ana rangi mbili mbili kama amoxicillin😭😭😭🤣🤣 Ngozi inatapisha🤮🤮
4
4
6
219
𝙏𝙝𝙚 𝙏𝙖𝙘𝙩𝙞𝙘𝙞𝙖𝙣 𝙎𝙎𝙃 retweeted
OKTOBA 30, HISTORIA MPYA kUANDIKWA MTUMBA! Mji wa Serikali Mtumba ni alama ya maendeleo na mageuzi ya Tanzania, ukiakisi sura ya Taifa linalosonga mbele kwa kujenga miundombinu ya kisasa,
1
3
3
49
𝙏𝙝𝙚 𝙏𝙖𝙘𝙩𝙞𝙘𝙞𝙖𝙣 𝙎𝙎𝙃 retweeted
TRC YANUNUA SIMULATOR YA KISASA KUBORESHA MAFUNZO YA MADEREVA WA SGR Shirika la Reli Tanzania (TRC) limewekeza katika ununuzi wa kifaa cha kisasa cha mafunzo ya udereva wa treni, Motion Platform Simulator chenye uwezo wa nyuzi sita za uhuru wa mwendo (6 Degrees of Freedom), kwa lengo la kuimarisha umahiri wa madereva na usalama wa usafiri wa reli nchini. Akizungumza leo Jumanne Oktoba 27, 2026 wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi ya Reli ya Kisasa (SGR) katika kituo cha Fela, kilichopo katika kipande cha tano (Lot 5) Isaka–Mwanza, Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema kifaa hicho kitatumika kutoa mafunzo kwa kuzingatia viwango vya kimataifa, huku kikitoa nafasi kwa madereva kujifunza namna ya kukabiliana na mazingira na changamoto mbalimbali za uendeshaji. Ameongeza kwa kusema kuwa, simulator hiyo ina uwezo wa kuiga hali tofauti za uendeshaji, ikiwemo mvua, upepo, matumizi ya breki za dharura, kuongeza mwendo na kuendesha treni kwenye kona na sehemu za kubadilishia njia za reli. Vilevile amesema, mafunzo hayatakuwa ya mara moja pekee, bali madereva wataendelea kurejea kwenye kifaa hicho kwa vipindi maalumu ili kupima na kudumisha uwezo wao wa kuendesha treni kwa usalama. Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Mhandisi Machibya Shiwa, amesema kifaa hicho kina programu zinazoweza kuonesha njia za reli za Dar es Salaam–Mwanza na Tabora, hivyo kuwawezesha madereva kufanya mazoezi yanayofanana na mazingira halisi ya uendeshaji. Amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi chache za Afrika zenye teknolojia hiyo, hatua inayotarajiwa kuimarisha mafunzo ya wataalamu na kuchangia kuifanya nchi kuwa kituo cha umahiri wa usafirishaji wa reli barani Afrika. Ziara hiyo ni sehemu ya ukaguzi wa maendeleo ya miradi ya SGR, ambapo kipande cha tano (Lot 5) Isaka–Mwanza ujenzi wake umefikia asilimia 69.56 ya utekelezaji. Uwekezaji wa eneo la Fela pia unahusisha mipango ya kujenga bandari kavu, kituo kikubwa cha mizigo na karakana ya matengenezo ya treni.
1
5
5
1,180
𝙏𝙝𝙚 𝙏𝙖𝙘𝙩𝙞𝙘𝙞𝙖𝙣 𝙎𝙎𝙃 retweeted
Bwana Lema akishashiba nyama na Pombe za DDC
MARIDHIANO NI NJIA SAHIHI Nasema maridhiano ni Njia sahihi kulingana na mashart wanayowekeana pande mbili, Ila Timu ya Mazungumzo iwe ya Kuaminika Pili Mashart yatekelezeke ya Pande Zote mbili Mashart ya CHADEMA 1. Lissu awe huru 2. Mdude, Polepole, Soka, na wote waliofungwa wawe huru na wawepo kwenye timu ya maridhiano 3. Waliowekewa mitego kukamatwa nje na Ndani ya Tanzania wasikamatwe waachwe! 4. Kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi ambayo itasimamia maoni ya wananchi kupata katiba Mpya! Maana tume isiyo huru inaweza ikakwamisha kura halali za kuikubali Katiba Mpya Maana lazima ipigiwe kura na wananchi 5.Wafungwa wote wa Kisiasa waachiliwe bila Masharti na wafidiwe muda wao gerezani 6. Polisi wasitumike Kisiasa, wawe neutral 7. Waliohusika Mauaji ya October 29, wavuliwe vyeo wakamatwe washtakiwe 8. Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 haukuwa huru hapa kuna Option mbili A. Ama Uchaguzi urudiwe B. Au Vyama vya Upinzani vipeleke wawakirishi Bungeni bila Uchaguzi Yaan kwa mapendekezo maalumu (Wabunge waongezeke) 9. Vyama viruhusiwe kufanya siasa huru bila vitisho 10.Katiba Mpya mchakato uanze Ndani ya siku 7 na tuanzie na Rasimu ya Warioba
1
2
2,055
𝙏𝙝𝙚 𝙏𝙖𝙘𝙩𝙞𝙘𝙞𝙖𝙣 𝙎𝙎𝙃 retweeted
▪️WAZIRI WA ULINZI NA JKT AWATEMBELEA NA KUWAJULIA HALI WAKUU WA MAJESHI WASTAAFU JENERALI MBOMA NA JENERALI MWAMUNYANGE Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mheshimiwa Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 27 Oktoba 2026, amewatembelea na kuwajulia hali Wakuu wa Majeshi Wastaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jenerali Robert Mboma na Jenerali Davies Mwamunyange, katika makazi yao yaliyopo Mbweni na Tangi Bovu, jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo ni sehemu ya mwendelezo wa juhudi za Waziri wa Ulinzi na JKT za kuwatembelea, kuwajulia hali na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa JWTZ, ikiwa ni ishara ya kuthamini mchango wao katika kulitumikia Taifa na kulijenga Jeshi la Wananchi wa Tanzania. Kupitia ziara hizo, Waziri wa Ulinzi na JKT, anaendelea kudumisha mawasiliano na viongozi hao wastaafu, ambao wana uzoefu mkubwa na historia muhimu katika uongozi na maendeleo ya Jeshi.
7
7
250
𝙏𝙝𝙚 𝙏𝙖𝙘𝙩𝙞𝙘𝙞𝙖𝙣 𝙎𝙎𝙃 retweeted
Rais wa Angola, João Lourenço, Kufanya Ziara ya Kiserikali ya Siku Tatu Nchini Tanzania Rais wa Angola, João Lourenço, anatarajiwa kufanya ziara ya kiserikali ya siku tatu nchini Tanzania kuanzia tarehe 28 hadi 30 Oktoba 2026, kwa mwaliko wa Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ziara hiyo inalenga kuimarisha uhusiano wa kihistoria wa muda mrefu kati ya mataifa hayo mawili na kuimarisha ushirikiano wa kimkakati wa kiuchumi, kwa kuzingatia upanuzi wa ushirikiano wa pande mbili na kuendeleza vipaumbele vya pamoja vya maendeleo. Mambo Muhimu Kuhusu Ziara Hiyo • Kuwasili Nchini Tanzania: Waziri wa Mambo ya Nje wa Angola, Téte António, aliwasili Dar es Salaam jioni ya tarehe 27 Oktoba, kabla ya kuwasili kwa Rais João Lourenço, anayetarajiwa kuwasili Jumatano, tarehe 28 Oktoba. • Mazungumzo ya Pande Mbili Dar es Salaam — Alhamisi, 29 Oktoba: Rais Lourenço anatarajiwa kushiriki mazungumzo ya ngazi ya juu na viongozi wa Tanzania. Mazungumzo hayo yanatarajiwa kuzaa matunda kupitia utiaji saini wa nyaraka mpya za kisheria na mikataba ya ushirikiano, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika sekta mbalimbali muhimu. • Ziara ya Dodoma — Ijumaa, 30 Oktoba: Katika siku ya mwisho ya ziara hiyo, Rais Lourenço anatarajiwa kuelekea Dodoma, makao makuu ya Tanzania, kuhudhuria hafla rasmi ya uzinduzi wa Jiji la Serikali lililopo Mtumba. Baada ya hafla hiyo, anatarajiwa kurejea Angola mchana wa siku hiyo.
6
6
276
𝙏𝙝𝙚 𝙏𝙖𝙘𝙩𝙞𝙘𝙞𝙖𝙣 𝙎𝙎𝙃 retweeted
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Ndugu Salum Mnuna, ametembelea banda la Wizara ya Nishati katika maonesho yanayoambatana na hafla ya utiaji saini leseni za utafutaji wa mafuta na gesi, yanayofanyika leo, Oktoba 28, 2026, katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNCC), jijini Dar es Salaam. Ndug. Mnuna amepata fursa ya kujionea taarifa na shughuli mbalimbali zinazowasilishwa na Wizara ya Nishati kuhusu maendeleo ya sekta ya nishati.
1
8
11
211
𝙏𝙝𝙚 𝙏𝙖𝙘𝙩𝙞𝙘𝙞𝙖𝙣 𝙎𝙎𝙃 retweeted
Mustakabali wa taifa uko mikononi mwa vijana. Wengi wao wamechagua amani kwa sababu vurugu husababisha uharibifu wa mali, kupoteza riziki na maisha. Wanajua baada ya machafuko kazi zinapotea na biashara zinaporomoka. Kwa hiyo wanakataa kushiriki. Nguvu zao zinatumika kujenga, si kuharibu. #HatutakiTenaVurugu Tumekataa Harakati Za Vurugu
5
5
133
𝙏𝙝𝙚 𝙏𝙖𝙘𝙩𝙞𝙘𝙞𝙖𝙣 𝙎𝙎𝙃 retweeted
Kwa nini vijana wengi wanakataa vurugu? Kwa sababu wanajua inaacha nyuma mali zilizoharibiwa, riziki zilizopotea na maisha yaliyochukuliwa. Wameamua kulinda mustakabali wao. Badala ya kushiriki machafuko, wanachagua kazi, elimu na ujasiriamali. Wanatambua kuwa uharibifu wa biashara unaathiri familia nzima. #HatutakiTenaVurugu Tumekataa Harakati Za Vurugu
6
6
139