FBLB (@Msauye43) header
FBLB (@Msauye43) profile picture

Angalia mawazo yako kwani yatakuwa maneno yako angalia maneno yako kwani yatakuwa matendo yako nayo matendo huwa tabia .............Agroforestry

Tunduma
Joined December 2024
Photo by FBLB (@Msauye43)Photo by FBLB (@Msauye43)Photo by FBLB (@Msauye43)Photo by FBLB (@Msauye43)Photo by FBLB (@Msauye43)Photo by FBLB (@Msauye43)Photo by FBLB (@Msauye43)Photo by FBLB (@Msauye43)Photo by FBLB (@Msauye43)Photo by FBLB (@Msauye43)
Atleast agenda inapingwa japo in lower energy
Kazini kwa kwangu kuna kazi nzito sana kuanzia kesho nitazidisha viambata upishi๐Ÿฅบ
20
#TajiriLaKihaya ISAYA simuoni hapa Xโ€ฆ muambie anawakilisha Taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ asifanye mchezo kabisaa! Nmempa hii Video Tutorial kama zawadi yangu- MUONESHE USIKU HUU!
Yes, I Do! ๐Ÿ’
65
19
1
184
24,603
Iko hivi, unapokaribia kupata bingo au pesa fulani, kuna hali utajisikia ya kutaka kulala na mwanamke, au kupiga nyeto. Ukisikia hali hiyo. Jua upo kwenye high energy. Hisia zikizidi. Toka nje ukapigwe na upepo, au kaoge maji ya baridi. Ukiweza hivyo ndani ya siku tatu hisia zinakata na kutoweka kabisa. Unashangaa pesa zinaingia bila vikwazo๐Ÿ˜’ Nimekupa code ya kikufunzi๐Ÿซต
19
36
329
14,653
10 Unexpected Animal Encounters with Incredible Endings ๐Ÿ˜ฑ_
5
123
1,704
404,385
Dakika chache za starehe zinaweza kuzaa majuto ya miaka mingi . Afya ni mtaji usio na mbadala
8
28
73
1,468
Sema Hili lijamaa Linajua Sana Asee ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
4
49
3
364
23,248
Hii story ya Mohammed Mureshi hata mimi niliwahi isikia jamaa alisalitiwa na mke wake ambae alimsaidia kufanyiwa operesheni ya macho India, baada ya kupona tu mke akamuacha Mureshi akamfuata Ally Star amtungie wimbo๐Ÿ“๐Ÿ“Œ Kumbe kuna muda shilla hadanganyi kabisa ni story maarufu sana hii
22
35
302
21,586
Kwanini there is no direct ferry from Dar es saalam to Tanga?? We have daily buses like RATCO making the trip, so clearly kuna watu wanaosafiri between these two cities regularly. But considering Tanzania has such a long coastline, why isn't there an alternative ya kutumia bahari? Imagine boarding a ferry in Dar and reaching Tanga without spending hours on the highway. Could be convenient, especially for passengers who don't want to travel by road. Is it a matter of demand, operating costs, port infrastructure, or kuna sababu nyingine za kiuchumi na kiufundi? I'm genuinely curious kama kuna mtu anayejua the maritime transport side of things. Has this ever been seriously considered, or is there simply not enough demand to make it viable? Tanzania tuna bahari kubwa, why don't we utilise it for passenger transport??
33
15
1
136
14,525
MITHALI 14;1 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake , bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
2
10
23
761
Goodmorning X wapambanaji hustle zetu zikajipe
4
4
8
155
Sikuhizi kuna mchezo na kijitabia namna ya ombaomba ime boreka zaidi mtu anatuma message kwa watu wengi anao wajua anashida na hela ndogo ya dharula maybe aunge vocha au vip wakituma hata 20 people kasha ingizaa pesa
1
1
54
FBLB retweeted
Jitahidi Sana... Ujitengenezee Mazingira Ya Kurahisisha Kila Unachokifanya. Sio Kila Kitu Lazima, KIWE KIGUMU. Hata Namna Unavyojitafutia Pesa Zako. Sio Lazima Process Iwe Ngumu Ni WEWE Mwenye Mamlaka Ya Kuamua Una Expirience Vipi Maisha Yako Mwenyewe. ... FRANCIS | ABRACADABRA
1
10
37
938
Let the young man go out to hunt. If he kills the elephant, his poverty ends. If the elephant kills him, his poverty ends. All the best. ๐Ÿ’ช๐Ÿพ
Patrick Car Dealer New location, new levels, best cars๐Ÿ˜Š ๐Ÿ“ž0722555330 ๐Ÿ“Upper Hill-Nairobi
2
4
26
750
Maji machafu hayazuii mimea kukua. Usiruhusu maneno mabaya yakuzuie kusonga mbele."
3
21
111
2,925
Usikate tamaa kwa sababu ya changamoto unazopitia leo, maana mafanikio makubwa huanza na hatua ndogo zinazochukuliwa kwa uvumilivu, imani na bidii. GOOD MORNING!
9
17
30
438
Ndugu zangu Mimi Nalala Ila nawakumbusha kuwa Kabla Hujalala Leo... Mwambie Mungu "Usinyamaze Kwenye Jambo Linaloniumiza."
3
19
31
560
A screenshot never reveals the broken glass. So, keep smiling.
2
6
24
422
#TajiriLaKihaya Nmecheka kisenge๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
39
53
3
686
45,645
Ndoto ya mchakataji
Hivi siwezi pata mtu ambae hayuko siriasi na maisha alafu tufunge ndoa kisha kila mtu aendelee na harakati zake tukikutana ni humu tu ila baada ya hapo kila mtu anajipambania kivyake kweli?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚eti wajameni
1
1
49