Voice for life

Tanzania
Joined November 2015
Matumizi ya ARV ni HALISI. Tumia ARV kwa USAHIHI ili UFUBAZE VVU. Matokeo yake utaishi na VVU bila kushambuliwa, bila kuambikiza na ukipima HAVITAONEKANA. Ila haimaanishi vimeisha, VINAFUBAA TU. Endelea kutumia ARV zako kwa USAHIHI. Havionekani=Haviambukizi
69
Makamu M/Kiti wa Baraza akipokea maelezo kuhusu Shughuli za Vikundi katika Banda la NACOPHA lililopo Kijiji Cha Jamii...
81
Vijana wa NYP+ wakishiriki kutoa Elimu kwa Vijana balehe (AGYW) walio mashuleni kuhusu umuhimu wa Kupima VVU Na Kujikinga na Maambukizi Mapya ya VVU @Songea Girls Secondary
4
9
142
Vijana wa NYP+ wakishiriki kutoa Elimu kwa Vijana balehe (AGYW) walio mashuleni kuhusu umuhimu wa Kupima VVU Na Kujikinga na Maambukizi Mapya ya VVU @Songea Girls Secondary
53
Katika hatua muhimu ya kupambana na maambukizi ya UKIMWI nchini Tanzania, NACOPHA na ZAPHA+ wamesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU)! Ushirikiano huu unaashiria jitihada za pamoja za kuimarisha afua zinazolenga kupambana na UKIMWI kote nchini. Taarifa zaidi tembelea tovuti yetu.
1
4
15
327
Karibu usome Wasifu wa Kikundi Wezeshi Jitegemee Ichesa kilichopo Mahenje, Mbozi, Songwe. Kikundi hichi kimewezeshwa kwa msaada wa @USAID kupitia mradi wa #HebuTuyajenge #USAID #Hebutuyajenge #NACOPHA #UN #Songwe #Mahenje #Mbozi #AIDS #HIV #UkimwiZii – at Dar es Salaam, Tanzania
3
10
369
Bi Happiness Seneda, Katibu Tawala Mkoa wa Songwe alitukaribisha kwa moyo upendo na furaha katika safari yetu kuelekea kwenye mradi wa #JITEGEMEEICHESA wa @usaid #HebuTuyajenge. #USAID #NACOPHA #HEBUTUYAJENGE #UKIMWIZIII #Tufikie959595 #BarazalaWaVIU
1
8
165
Mkurugenzi Mtendaji, Bwana Deogratius Rutatwa, aliwapokea wageni wetu kutoka @unaids_esa, @who_tanzania, @uniceftz, @unfpatanzania na wengine, kwa shangwe, furaha na ngoma za jadi, ikionyesha utamaduni na ukarimu wetu kama wana @NACOPHA. #TraditionalDance #UN #NACOPHA #HIV #AIDs
1
1
130
Happy Holidays !
1
2
153
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu SBU - Dr Yonazi ametembelea banda a NACOPHA na kupongeza maandalizi mazuri kuelekea kilele cha siku ya UKIMWI duniani.
4
252
Kijiji cha jamii
2
97
Kuelekea Siku ya UKIMWI Duniani, @nacophatz imeshiriki kikamilifu katika Kijiji cha Jamii kufuatillia kwa ukaribu ni changamoto zipi wanazopitia vijana na watoto katika suala zima la kinga dhidi ya maambukizi ya UKIMWI kwa makundi maalumu. #letcommunitieslead #jamiiiongoze2023
1
1
7
342
*Makamu Mwenyekiti wa Baraza Ndugu Emanuel Msinga Ashiriki Ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani* Morogoro, Tanzania - Tarehe 24 Desemba 2023
1
88