Nevada retweeted
Congrats @Arsenal The best team won it this season. 👏🏻
COYG
THE BEST TEAM IN THE LAND .!
Worthy Champions , 100% .!
Ni vile tu chuki na mautani yetu but wamekuwa wanapiga hodi kwa miaka kama mitatu , ishara ilikuwepo pale , it was coming na hatimaye imefika .
CONGRATULATIONS ARSENAL @Arsenal
1
1
54
Premium😂😂
Massive!🔥💪
Thrilled to connect with Victoria Budanova, Head of Russia’s international broadcaster, Sputnik , the state-owned news agency and global radio service.
We’re excited to welcome Sputnik as our 5th international broadcasting partner, joining the ranks of DW (Germany), BBC (UK), Voice of America, and UN Swahili.
These partnerships go beyond content sharing they bring access to cutting-edge broadcasting technology and contribute directly to building our team’s capacity through world-class training and collaboration. We’re proud to be shaped by the very best in the global media industry.
#RadioBroadcastingConvention2025 #SABA #BroadcastMediaAfrica #SABC #AfricanMediaVoices #GlobalBroadcasting #HighlandsFM #SputnikRadio #InternationalMediaPartners #RadioForDevelopment #BroadcastInnovation #AfricaMediaFuture #ContentThatConnects
1
1
210
Songambele, Aziz Ali,Wakina Sykes, Rupia, Tambaza etc etc
Mchango wao ni mkubwa kuliko wanavyotajwa🔥
Mwanasiasa mkongwe na miongoni mwa wapigania Uhuru wa Tanganyika, Alhaj Mustafa Mohamed Songambele, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.
Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na binti yake Dorah Songambele, ambaye amesema maandalizi ya kuusafirisha mwili wa marehemu kwenda Songea kwa maziko yanaendelea, huku msiba ukiwa nyumbani kwake Mwananyamala.
Marehemu Songambele alitimiza umri wa miaka 100 Jumapili iliyopita tarehe 25 Mei 2025, na kusherehekewa na familia na marafiki wa karibu.
Alhaj Songambele alikuwa mmoja wa waanzilishi 30 wa TANU, na baadaye CCM, akiwa na kadi namba 27.
Aliweka rekodi ya kuwa Mkuu wa Wilaya ya kwanza nchini - alipoteuliwa kuongoza Wilaya ya Pwani (sasa llala) - kabla ya kupandishwa na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mzee Songambele pia anatajwa kuwa miongoni mwa wana Dar es salaam waliompokea Mwalimu Nyerere alipoacha kazi ya ualimu na kuongoza harakati za Uhuru, na ndiye aliyemsaidia kupata kiwanja cha kujenga nyumba yake eneo la Magomeni Mikumi, nyumba ambayo sasa makumbusho ya Baba wa Taifa.
#KitengeUpdates
1
2
178
Wakuu si mlisema humu ni “kukeke” tuu? Kuna mabadiliko?😂😂
Happy Birthday sweetie 🥰 We ni wapekee sana kwangu, kwani ulipenda kusikiliza mimi pale ambapo nilijitoa kusikiliza wengine, ulipenda kujua yanayonisibu pale nilipokuwa busy kujua ya wengine.
Nisiseme mengi Happy Birthday dear Mungu akulinde ❤️🥰
134

























