Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ (@PASB96) header
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ (@PASB96) profile picture

Economist. Business consultant. no negative externalities. No any political party. @YoungAfricaSc

Nairobi, Kenya
Joined October 2021
Photo by Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ (@PASB96)Photo by Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ (@PASB96)Photo by Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ (@PASB96)Photo by Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ (@PASB96)Photo by Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ (@PASB96)Photo by Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ (@PASB96)Photo by Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ (@PASB96)Photo by Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ (@PASB96)Photo by Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ (@PASB96)Photo by Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ (@PASB96)
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ retweeted
๐ŸคPUNGUZA SHOBO &JIHESHIMU Kwasasa Tunawasapoti wanaotusapoti ......engeji na wanao ingeji kwako >>>>FOLO BACK WALIO KUFOLO.
6
19
33
854
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ retweeted
๐Ÿ—“Tarehe kama ya leo, Mwaka 2022. Young Africans Sports Club @YoungAfricansSC ilifuzu ikiwa ugenini hatua ya Makundi shirikisho (CAFCC) baada ya kukaa miaka 25. Goli pekee la Yanga dhidi ya Club Africain lilifungwa na Stephane Aziz Ki.
2
1
48
1,915
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ retweeted
Kuna jambo la kujifunza hapa kama Taifa
35
201
9,760
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ retweeted
No days off. ๐Ÿ”ฐ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ
2
17
1
357
8,175
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ retweeted
ุงู„ู†ุชูŠุฌุฉ ุงู„ุทุจูŠุนูŠุฉ ู„ู…ุง ูŠูƒูˆู† ุงู„ู„ูŠ ุจุชู‡ุฒุฑ ู…ุนุงู‡ "ุญู…ุงุฑ" ๐Ÿ˜†โ˜บโ˜บ #ู‚ุทุงุฑ_ุงู„ุนูŠุงุท
26
121
8
667
74,262
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ retweeted
Kama mwanaume vitu vya kuzingatia 1.Nyoa vizuri 2.Vaa vizuri 3.Nukia vizuri 4.Ongea taratibu Ukizingatia ivyo kila mtu unae kutana nae atakuheshimu.
10
39
2
249
6,226
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ retweeted
You NEED to develop a โ€œSense of Urgencyโ€
1
13
98
2,755
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ retweeted
Taifa la MANYANI yanayojivunia UNYANI๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.
10
170
2
860
23,467
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ retweeted
Yaani huyu hakimu na mawakili wa CCM hawana akili. Wameshindwa hata kujifunza kupitia hata hizi clip mbona wameaibka sana. Wamejivua nguo makalio yako wazi
6
172
3
527
20,945
#TajiriLaKihaya TAARIFA YA KUOMBA MSAMAHA KWA WANAHARAKATI Nimeona ni vyema nitumie nafasi hii kuwaomba radhi wanaharakati wote ambao kwa namna moja au nyingine niliwakwaza kwa kuwaita โ€œWANAHARAKATI UCHWARA.โ€ Kwanza kabisa, naamini wote tulikuwa na lengo moja: Mwenyekiti Tundu Lissu awe huru na haki itendeke. Kilichotutofautisha haikuwa lengo, bali njia, mbinu na mitazamo yetu katika kulifikia lengo hilo. Ni kweli tulitofautiana sana. Wengine tuliamini njia fulani ndiyo sahihi, wengine walikuwa na mtazamo tofauti. Lakini leo ninatambua kwamba kutofautiana kimtazamo hakupaswi kutufanya tudharauliane, tuwekeane majina au kupunguza thamani ya mchango wa mwenzetu. Kiukweli, suala la hukumu ya kifo ni jambo zito, linalotisha na kuogopesha. Linaweza kumfanya mtu afikiri tofauti, achukue tahadhari au aone umuhimu wa kutumia mbinu nyingine. Hilo halipaswi kutafsiriwa moja kwa moja kama udhaifu, usaliti au kukosa uzalendo. Nimejifunza kwamba si kila anayechagua njia tofauti na yako ni adui yako, na si kila anayekupinga anakutakia mabaya. Leo, pamoja na tofauti zetu, tunapaswa kukumbuka kuwa mapambano ya haki ni safari ndefu inayohitaji mshikamano, uvumilivu na hekima. Miaka minne tutavumilia, rufaa itaendelea, na kwa vyovyote itakavyokuwa, tutaendelea kusimamia kile tunachoamini mpaka haki ipatikane. Tusikate tamaa. Hakuna marefu yasiyo na ncha. Usiku unaweza kuwa mrefu, lakini hauwezi kuzuia alfajiri kuchomoza. Ninaamini pia kwamba historia haitakumbuka tu nani alikuwa sahihi kwenye mabishano yetu, bali itakumbuka namna tulivyosimama kutetea haki, utu na misingi ya demokrasia. Kwa hiyo, kwa wanaharakati wote niliowakwaza kwa kauli yangu, naomba radhi kwa dhati. Haikuwa sahihi kutumia lugha iliyoweza kudharau juhudi na mchango wenu. Tusiruhusu tofauti za mbinu zitugawanye kiasi cha kusahau sababu iliyotukutanisha. Tunaweza kutofautiana bila kuchukiana, kukosoana bila kudhalilishana na kupingana bila kuwa maadui. Haki ni kubwa kuliko ubinafsi wetu, na safari ya kuitafuta inahitaji kila mmoja wetu. Na hii ndio maana Halisi ya TAJIRI LA KIHAYA NI MMOJA TUโœŒ๏ธ
131
120
16
746
39,622
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ retweeted
Ukichimba KISIMA ili watu wapate maji na wewe utapata maji. Ukichimba kisima ili watu wazame jua na wewe kuna siku UTAZAMA
11
104
4
675
16,166
#TajiriLaKihaya Kuanzia leo Nakiri kwambaโ€ฆ HAKUNA WANAHARAKATI UCHWARAโ€ฆ Jina Wanaharakati UCHWARA limefutwa Rasmi kuanzia sasa๐Ÿ™๐Ÿฝ
151
178
10
1,075
38,130
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ retweeted
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo November 6, 2026 Last time tuliishia part 493 so leo tunaendelea na -; Part 494. Karani amewasha kipaza sauti kutoa Tangazo kuwa watu wakae kwenye viti vyao na simu zao wahakikishe zinatolewa sauti na milio ya aina yote. Waandishi wa Habari na wao wako wakutosha sijawahi kuwaona Mahakamani kwenye kesi yoyote wakiwa wa idadi hii ni wengi sana sana. Hata waandishi ambao huwa hawajagi kabisa naona wamekuja, namuona yule Charles William wa Wasafi nae leo yupo kuna mtiti hapa unataka kutokea, wanataka kumnyayua Mzee Mpoki alienda kukaa viti vya Mawakili wa Serikali ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Wale watoto wa serikali ambao huwa wanakaa kwenye benchi la nyuma ya akina Katuga, leo wamekaa mawakili wa Mhe. wabishi hatari wamegoma kusimama. Ameingia Mheshimiwa Lissu akiwa na vibe na kusema TUTAFIKA! TUTAFIKA! TUTAFIKA! Wameingia Mawakili wa Serikali. MAJAJI walikwisha ingia hata kabla Mawakili wa Serikali hawajaingia. Muda huu wanawasha zile mic zao ili tuendelee. Jaji Ndunguru anasema karani tuendeleeee. Jamhuri dhidi ya Lissu. Anasoma namba ya shauri karani. Anasimama Katuga anajitambulisha niko na wenzangu Job Mrema, Cathbert mbiringe ba Winniwa Kasala Tunaiwakilisha Jamhuri na Mshitakiwa yupo. Shauri linakuja kwa ajili ya uamuzi na upande wa Jamhuri tuko tayari. Mshitakiwa vipi wewe? Mheshimiwa Lissu anasema niko tayari pia. Majaji Wanateta pale kabla hawajaanza kuusoma huo uamuzi. Jaji Ndunguru anasoma, naomba tusikilize Hukumu. Katika shauri hili Mshitakiwa Tundu Lissu anashitakiwa kwa kosa la uhaini kinyume na kifungu cha 39(2)d kanuni ya Adhabu 2023. Maelezo yanasema kwamba Tarehe 03/04/2025 Wilaya ya Kinondoni Dar es salaam mshitakiwa alitengeneza nia ya kuzuia uchaguzi wa 2025 kwa lengo la kuitishia Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Kudhihirisha nia hiyo kwa kitendo cha kutamka maneno ya wanasema kitu kimoja sahihi kwamba msimamo huu unaashiria uasi na tutahamasisha uasi na hiyo ndio namna ya kuleta mabadiliko na huu uchaguzi tutauvuruga. Mshitakiwa alikana hati ya mashitaka na shauri likaanza kusikilizwa. Kama ilivyo kawaida upande wa Mashitaka waliongozwa na Wakili Renatus Mkude na Ajuaye Zengeli na Nasoro Katuga na anawataja Mawakili wote wa Serikali. Upande wa Mashitaka walileta mashahidi 17 na ambao kati yao 17 walikuwa ni mashahidi wanaolindwa. Na mshitakiwa alijiwakilisha Mwenyewe na alileta Mashahidi wanne na yeye alikuwa watano na pia utetezi walitoa vielelezo anbavyo ni 16. Baada ya upande wa mashitaka kutoa ushahidi na mshitakiwa alijitetea na walileta hoja za majumuisho walileta hoja hizo. Mahakama hii iliongozwa na kanuni mbalimbali ni 1. Katika Mashauri ya Jinai mwenye jukumu la kuthibitisha ni Upande wa Mashitaka. 2. Kutiwa hatiani kwa mshitakiwa hakutazingatia udhaifu wa mshitakiwa. 3. Ushahidi utatazamwa kwa ujumla wake na sio vipande. 4. Mashaka yoyote hata kama yana uzito kiasi gani hayabadilishi burden ya kuthibitisha shitaka. Mahakama hii imechunguza kwa umakini hati ya mashtaka, ushahidi na mawasilisho ya pande zote mbili na kuja viini vitatu vya kuthibitisha Moja: Iwapo Mshtakiwa alikuwa chini ya utii wa JMT Mbili: Iwapo Mshtakiwa alitengeneza nia ya kuzuia uchaguzi mkuu wa 2025 kwa lengo la kuitishia serikali. Tatu: Iwapo mshtakiwa alidhihirisha nia hiyo kwa kutamka na kusambaza maneno hayo. Mahakama imeona ni vyema ifafanue kwanza katika hoja ambazo zinaonekana kama mapingamizi wakati wa hoja za majumuisho ya mshtakiwa. Kwa kuwa hati ya mashtaka ndio inayoanzisha shauri la jinai ni vyema tuamue kwanza kuhusu uhalali wa hati ya mashtaka. Mshtakiwa alisema hati ya mashtaka ina mapungufu katika maeneo matatu moja kuwa kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) kinazungumzia kuhamasisha kikundi cha watu, pili hati ya mashtaka haikutoa taarifa muhimu ambazo zilipelekea ashindwe kutoa utetezi kamili na tatu hakuna lengo lilioonyeshwa katika hati ya mashtaka. Part 495 itaendele kwenye post inayofuata Naomba Repost yako.
59
620
5
1,641
79,645
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ retweeted
Kama mtaona kuna kosa la uhaini, msisite kunihukumu na kuniadhibu ipasavyo. Lakini kama mtaona hakuna kosa la uhaini, msisite kuniachilia huru~ Mhe. Lissu 28/09/2026
3
112
1
752
9,277
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ retweeted
MTUME baba Josephat Mwingira ๐Ÿ™๐Ÿ™
1
161
1
951
17,567
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ retweeted
MUNGU ULIETENDA KWA PAUL NA SILA GEREZANI TENDA NA KWAโœŒ๏ธTUNDU A.LISSU ........na wote tuseme Amina ๐Ÿ™ #FREEDOM_FIGHTER
18
37
1
109
4,985
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ retweeted
Mungu ni mwema wakati wote... โœ๏ธ
4
25
145
1,529
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ retweeted
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Upgrade you life in silence.
7
156
6
867
13,636
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ retweeted
Slow progress is still progress. Change the method, not the destination
9
146
4
838
23,657
Mr. ๐™‡๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿฆ retweeted
I'm not stingy. I'm just a wise young man in a hard economy! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
49
593
23
2,029
111,124