PesaPlan (@PesaPlanApp) header
PesaPlan (@PesaPlanApp) profile picture

Track • Budget • Invest | Nakusaidia kuelewa na kusimamia fedha zako | Become a Pesaplanner | Free on iOS, Android & Web ↓

Tanzania
Joined February 2026
Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)
Scan to Download
1
1
106
Happy International Men’s Day, Kings! 👑💙😂 Salamu ni tamu, ila majukumu hayapumziki! 😅 Jipende, jipe raha, lakini usiisahau bajeti yako. Hata mfalme anahitaji mpango! 💙 #MensDay #PesaPlan #PangaPimaFikiaMalengo
1
2
24
Outlook imegoma, lakini hela za chai, lunch na nauli zinatoka bila shida! 😭😂 Wakati tunasubiri email zirudi, tusisahau kurekodi matumizi yetu kwenye PesaPlan. 💙 #PesaPlan #OutlookDown
1
1
90
Tunamkumbuka Mwalimu Julius Nyerere, Baba wa Taifa. 🇹🇿 Tunaenzi maono yake, uongozi wake na mchango wake katika kujenga Tanzania yenye umoja na uzalendo. Happy Nyerere Day. 💙 #NyerereDay #PesaPlan #Tanzania
2
3
50
PesaPlan retweeted
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
1
3
69
PesaPlan retweeted
Ni app Gani nzuri unaitumia ku-track matumizi ya fedha zako kwenye simu yako ..??
3
5
253
Wakati mwingine, kitu unachokiamini huanza kwa hatua moja tu. Hutajua kitakachotokea mpaka uanze. Kuwa na imani, anza na kile ulicho nacho na uone safari itakupeleka wapi. Ukiamini, anza. #menmenmen #menthepodcast #pesanapreshayake #finance #maisha
3
3
162
Wanawake wanaweza kuwa wastahimilivu sana, lakini hiyo haimaanishi wanapaswa kubeba kila kitu au kuishi kwa presha kila wakati. Ustahimilivu ni nguvu, lakini si lazima kila wakati tuishi kwenye “furnace.” #pesanapreshayake #menmenmen #menthepodcast
2
5
198
Sio tu kufanya kazi ili upate pesa, swali ni: Pesa yako inakutumikiaje wewe? Jenga nidhamu ya ku-track uwekezaji na matumizi yako leo. #FinancialEducation #pesanapreshayake #financialplan
3
4
146
PesaPlan retweeted
Siji! Sina! Siwezi! Sitaki - ukiwa comfortable kusema haya maneno uta enjoy sana maisha 😃
Kusema “hapana” hakukufanyi mwanaume pungufu. Kujua mipaka yako na kutofanya kila kitu kwa presha ya jamii ni sehemu ya kujitambua na kujenga ufanisi. #menthepodcast #menmenmen
1
9
21
1,536
Kusema “hapana” hakukufanyi mwanaume pungufu. Kujua mipaka yako na kutofanya kila kitu kwa presha ya jamii ni sehemu ya kujitambua na kujenga ufanisi. #menthepodcast #menmenmen
7
1
10
2,319
We had the pleasure of joining Men Men Men Podcast to talk about money, financial pressure, discipline, and why understanding your financial reality matters. We also unpacked the thinking behind PesaPlan and the problem we’re trying to solve. Really enjoyed this conversation.
Pesa ina presha yake. Wanaume wengi hubeba presha ya kifedha kimya kimya. Nidhamu ya pesa si kuhusu namba tu, ni kuhusu afya ya akili, kujitunza na kupata uhuru. Tunza pesa, pesa ikutunze. #menthepodcast #menmenmen
1
1
14

11
2,930

244