Kunta kinte (@PieroSenior) header
Kunta kinte (@PieroSenior) profile picture

Talking is easy

Joined June 2020
Photo by Kunta kinte (@PieroSenior)Photo by Kunta kinte (@PieroSenior)Photo by Kunta kinte (@PieroSenior)Photo by Kunta kinte (@PieroSenior)Photo by Kunta kinte (@PieroSenior)Photo by Kunta kinte (@PieroSenior)Photo by Kunta kinte (@PieroSenior)Photo by Kunta kinte (@PieroSenior)Photo by Kunta kinte (@PieroSenior)Photo by Kunta kinte (@PieroSenior)
Njoo gheto unione naumwa sina hata nguvu za kusimama
22
#Kaizirege&Kemebos New Marcopolo Buses From China 🔥🔥
4
11
91
2,642
Kunta kinte retweeted
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo November 6, 2026 Last time tuliishia part 493 so leo tunaendelea na -; Part 494. Karani amewasha kipaza sauti kutoa Tangazo kuwa watu wakae kwenye viti vyao na simu zao wahakikishe zinatolewa sauti na milio ya aina yote. Waandishi wa Habari na wao wako wakutosha sijawahi kuwaona Mahakamani kwenye kesi yoyote wakiwa wa idadi hii ni wengi sana sana. Hata waandishi ambao huwa hawajagi kabisa naona wamekuja, namuona yule Charles William wa Wasafi nae leo yupo kuna mtiti hapa unataka kutokea, wanataka kumnyayua Mzee Mpoki alienda kukaa viti vya Mawakili wa Serikali 😂😂😂 Wale watoto wa serikali ambao huwa wanakaa kwenye benchi la nyuma ya akina Katuga, leo wamekaa mawakili wa Mhe. wabishi hatari wamegoma kusimama. Ameingia Mheshimiwa Lissu akiwa na vibe na kusema TUTAFIKA! TUTAFIKA! TUTAFIKA! Wameingia Mawakili wa Serikali. MAJAJI walikwisha ingia hata kabla Mawakili wa Serikali hawajaingia. Muda huu wanawasha zile mic zao ili tuendelee. Jaji Ndunguru anasema karani tuendeleeee. Jamhuri dhidi ya Lissu. Anasoma namba ya shauri karani. Anasimama Katuga anajitambulisha niko na wenzangu Job Mrema, Cathbert mbiringe ba Winniwa Kasala Tunaiwakilisha Jamhuri na Mshitakiwa yupo. Shauri linakuja kwa ajili ya uamuzi na upande wa Jamhuri tuko tayari. Mshitakiwa vipi wewe? Mheshimiwa Lissu anasema niko tayari pia. Majaji Wanateta pale kabla hawajaanza kuusoma huo uamuzi. Jaji Ndunguru anasoma, naomba tusikilize Hukumu. Katika shauri hili Mshitakiwa Tundu Lissu anashitakiwa kwa kosa la uhaini kinyume na kifungu cha 39(2)d kanuni ya Adhabu 2023. Maelezo yanasema kwamba Tarehe 03/04/2025 Wilaya ya Kinondoni Dar es salaam mshitakiwa alitengeneza nia ya kuzuia uchaguzi wa 2025 kwa lengo la kuitishia Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Kudhihirisha nia hiyo kwa kitendo cha kutamka maneno ya wanasema kitu kimoja sahihi kwamba msimamo huu unaashiria uasi na tutahamasisha uasi na hiyo ndio namna ya kuleta mabadiliko na huu uchaguzi tutauvuruga. Mshitakiwa alikana hati ya mashitaka na shauri likaanza kusikilizwa. Kama ilivyo kawaida upande wa Mashitaka waliongozwa na Wakili Renatus Mkude na Ajuaye Zengeli na Nasoro Katuga na anawataja Mawakili wote wa Serikali. Upande wa Mashitaka walileta mashahidi 17 na ambao kati yao 17 walikuwa ni mashahidi wanaolindwa. Na mshitakiwa alijiwakilisha Mwenyewe na alileta Mashahidi wanne na yeye alikuwa watano na pia utetezi walitoa vielelezo anbavyo ni 16. Baada ya upande wa mashitaka kutoa ushahidi na mshitakiwa alijitetea na walileta hoja za majumuisho walileta hoja hizo. Mahakama hii iliongozwa na kanuni mbalimbali ni 1. Katika Mashauri ya Jinai mwenye jukumu la kuthibitisha ni Upande wa Mashitaka. 2. Kutiwa hatiani kwa mshitakiwa hakutazingatia udhaifu wa mshitakiwa. 3. Ushahidi utatazamwa kwa ujumla wake na sio vipande. 4. Mashaka yoyote hata kama yana uzito kiasi gani hayabadilishi burden ya kuthibitisha shitaka. Mahakama hii imechunguza kwa umakini hati ya mashtaka, ushahidi na mawasilisho ya pande zote mbili na kuja viini vitatu vya kuthibitisha Moja: Iwapo Mshtakiwa alikuwa chini ya utii wa JMT Mbili: Iwapo Mshtakiwa alitengeneza nia ya kuzuia uchaguzi mkuu wa 2025 kwa lengo la kuitishia serikali. Tatu: Iwapo mshtakiwa alidhihirisha nia hiyo kwa kutamka na kusambaza maneno hayo. Mahakama imeona ni vyema ifafanue kwanza katika hoja ambazo zinaonekana kama mapingamizi wakati wa hoja za majumuisho ya mshtakiwa. Kwa kuwa hati ya mashtaka ndio inayoanzisha shauri la jinai ni vyema tuamue kwanza kuhusu uhalali wa hati ya mashtaka. Mshtakiwa alisema hati ya mashtaka ina mapungufu katika maeneo matatu moja kuwa kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) kinazungumzia kuhamasisha kikundi cha watu, pili hati ya mashtaka haikutoa taarifa muhimu ambazo zilipelekea ashindwe kutoa utetezi kamili na tatu hakuna lengo lilioonyeshwa katika hati ya mashtaka. Part 495 itaendele kwenye post inayofuata Naomba Repost yako.
59
620
5
1,637
81,843
Kunta kinte retweeted
Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese: Kugharamia matibabu Muhimbili, makazi na elimu. Mama wa Angel awashukuru Watanzania, mfadhili na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa msaada wa hali na mali.
65
162
23
831
84,618
Kunta kinte retweeted
Kitambo wanangu hamjanipa repost zenu.
1
39
2
87
3,926
Kunta kinte retweeted
Kumbe Ndio Maana Jua Ni Kali sana Huku Mtaani..? Oyaaaaaaah 😅🙌 – at Dar es Salaam, Tanzania
29
36
2
309
17,889
Kunta kinte retweeted
MASHINE YA KAZI Lenovo ThinkPad T490s✅ Corei7✅ Ram 16GB✅ Ssd 512GB✅ 2.1GHz ~ 3.7GHz✅ Generation 8th✅ Backlight keyboard✅ Kioo inch 14✅ 800,000/= Tu📌 Free Laptop stand DSM FREE DELIVERY ☎️0788106694
23
1
45
5,392
#TBT | Kiongozi wa juu zaidi duniani wa mpira wa miguu na Rais wa FIFA, Gianni Infantino katika NGUVU MOJA. Haya mambo tulinza zamani jamani. #NguvuMoja
95
86
58
904
106,585
Kampuni za mabasi ya masafa marefu zimegeukia ruti za mjini 🔥 #Kaizirege&Kemebos Kinondoni || Mbezi (Magufuli Bus Terminal) Uzuri wa hizi daladala zinakufikisha mpaka ndani ya Magufuli Bus Terminal
8
12
1
190
20,795
Huyu mpaka sasa Bukoba hana mpinzani. EBR hawatoboi.
2
2
3
830
I’ve supported Manchester City for so many years, and I’ve had so many favorite players. I loved Kompany, Hart , Džeko, Balotelli ,David Silva, Yaya Touré, Samir Nasri, Fernandinho, Kevin De Bruyne, Sané, Ederson ,Mahrez, Sterling, Gabriel Jesus, Gündoğan, Julián Alvarez ,Bob, and I still love Bernardo Silva. And of course, Pep Guardiola as our manager. If the Rodri situation ends with him leaving, it’ll hurt because he’s one of my favorites too. But I’ve been through this before, and I’ve learned that no player or manager is bigger than Manchester City. We’ll get over every situation, just like we always have. 💙
22
57
7
507
16,160
Kunta kinte retweeted
🩵🇪🇸 David Silva: “My agent told me I was crazy for turning down Real Madrid and Barcelona to join Manchester City. I regret nothing. City gave me everything I dreamed of… My blood will stay blue forever.”
69
1,233
87
20,299
321,852
Rodri, if you’re reading this I just want you to know I’ve made peace with it. You can leave my club. It’s your life at the end of the day. Thank you for everything you gave us. But I find it bizarre. Genuinely strange, almost embarrassing, that you’d force a move to a club that treated you like nothing. A club whose own president doesn’t want you and reportedly has to be convinced to even accept you. A club that hurled all manner of insults at you the moment you won the Ballon d’Or and then had the audacity to boycott the very award you earned. I don’t think you understand how frustrating this is for the loyal fans who stood by you. Who were with you through your ACL, through the darkest stretch of your career, who defended you against rival fans who mocked and slandered you at every turn. I don’t think you understand how angry we are. You could have ranked above the Vincents, the Davids, the Sergios, the Kevins, the Bernardos. You could have gone down as the greatest player to ever walk through the Etihad. But you won’t. And we won’t ever view you the same way again. Goodluck. 👍
233
744
127
5,575
196,854
Kunta kinte retweeted
Rodrigo Hernández Cascante 👑
11
252
4
4,302
29,378
Kunta kinte retweeted
Nianze sasa safari za kwenda Bukoba.
8
10
64
4,585
Kunta kinte retweeted
SUBARU FORESTER SK9 ✅️ Year: 2020 ✅️ Reg No: ERQ ✅️ Engine cap: 2.5L ✅️ Engine code: FB25 ✅️ Push to start ✅️ Trans: AUTO ✨️ Price 45,800,000/= Features ⬇️ ✅️ Full options ✅️ Rim sport ✅️ Full document ✅️ Winker Mirror ✅️ Eye sight sytem 0696221160
1
12
39
3,053
Kunta kinte retweeted
Huyu yeye hataki unyonge wa Kuagiza mbili mbili kama wenzie..,Polo G7 Piru...🔥❤️🙌🏿
18
19
1
280
16,351
Hii picha imezua gumzo sana jana baada ya kuonekana basi za Kaizirege & Kemebos zinajazwa Distilled water kwaajili ya kuflash mavi😀. Halafu kuna zile za wale jamaa waliokimbilia Karagwe zina hali mbaya sana sasa hivi hata wheelcap hazina. Twenzetu Bukoba na Kaizirege🛫.
2
2
1
28
1,537
ESP Series, hapo Dar - Bukoba toeni hizo sufuria zenu. Gemu imekuwa ngumu wameamua kukimbilia Karagwe. Ona mtahama ruti mpaka muingie Uganda. Abiria wamesanuka wewe kampuni nzima chuma nzima zimebakia mbili nyingine zote zimekula mizinga😀🫵. Cheza usimkanyage mwenzio.
Muite Kaizirege & Kemebos. Kwa msio mfahamu, ndo Mkurugenzi anayeongoza kwa kuwa na Marcopolo G7 nyingi kwa sasa Tanzania nzima. Cha kushangaza anapeleka mabasi yake Dar - Bukoba pekee. Hizo ni basi mpya nne. Hajawahi hata siku moja kuambia watu wamuulize yeye ni nani🫵.
3
2
1
38
2,429
Muite Kaizirege & Kemebos. Kwa msio mfahamu, ndo Mkurugenzi anayeongoza kwa kuwa na Marcopolo G7 nyingi kwa sasa Tanzania nzima. Cha kushangaza anapeleka mabasi yake Dar - Bukoba pekee. Hizo ni basi mpya nne. Hajawahi hata siku moja kuambia watu wamuulize yeye ni nani🫵.
9
5
3
84
5,999