Pinned Tweet
One thing makes Europe easy vulnerable to being taken over is mainly that they have left their Christianity behind. Many of them treat themselves as Atheists.
If you tell them this truth, they'll say Christianity doesn't teach discrimination or killing, so I don't know whether they think Islam teaches discriminating against or killing people!
🤖 Made with AI
Kabla ya historia kuandikwa kwenye vitabu, Hospitali ya Mtakatifu Anna (Saint Anne’s) iliyopo Liuli wilayani Nyasa mkoani Ruvuma ilikuwa sehemu ya simulizi ya vita, majeraha na mapambano dhidi ya ukoloni wa Kijerumani.
Ilianzishwa mwaka 1902, hospitali hii inahusishwa na Vita ya Majimaji vya mwaka 1905–1907. Mwaka 1906, ilitumika kuwahudumia majeruhi wa vita hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa za kihistoria , zaidi ya wapiganaji 3,000 walipata huduma katika hospitali hii.
South Africa Kweli Wamedhamiria Kusafisha nchi yao.
Ukifuatilia Drug Dealers wote wanaokamatwa ni Raia wa Nigeria.
Huyu Jamaa ana connection sana za kuwapata, Ameshapata jina, wakimuona tu full kutetemeka.
Polycarp The Bibliophile retweeted
Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug.
Polycarp The Bibliophile retweeted
Hii siku siwezi isahau kabisa. Sikuwa na silaha wala kizuizi chochote mwilini mwangu.
Ila nilitembea kila mtaa kujaribu kutoa first aid kwa waliopatwa na changamoto. Na kuwapa moyo waliokuwa wanatutoka.💔
Ilikuwa siku nzito. Wapumzike kwa Amani wote tuliowapoteza 29/10. 🙏🏽 – at Kenya
Hekima ya Sulemani 3:1
“Bali roho za wenye haki zimo mkononi mwa Mungu, wala hakuna mateso yatakayowapata.”
Mungu anawalinda waliokufa katika haki,
Aya hii inatoa faraja kwa wale wanaoomboleza wapendwa wao, ikisisitiza tumaini la kuwa salama mikononi mwa Mungu.
Tutawakumbuka Ndugu zetu
Hekima ya Sulemani 3:1
Mungu anawalinda waliokufa katika haki
“Bali roho za wenye haki zimo mkononi mwa Mungu, wala hakuna mateso yatakayowapata.”
Aya hii inatoa faraja kwa wale wanaoomboleza wapendwa wao, ikisisitiza tumaini la kuwa salama mikononi mwa Mungu.
Polycarp The Bibliophile retweeted
29.10.2025 🕯️WAENDELEE KUPUMZIKA KWA AMANI MASHUJAAA WETUU JAMII BADO INAWAKUMBUKA 💔🕊️
Picha moja inaonyesha wapiganaji wa Taliban wakiwa wameshika bunduki huku vidole vyao vikiwa nje ya sehemu ya kufyatulia risasi.
Picha nyingine inaonyesha askari wa polisi wa London akiwa ameweka kidole chake kwenye sehemu hiyo.
Kanuni ya msingi ya usalama wa Bunduki, lakini inaonekana upande mmoja tu ndio unaoifuata "Same basic safety rule, Only one side Seems to folllow it".
NDANI YA SOUTH AFRICA
Takribani watu 400,000 hutumia heroin
Utafiti uliochapishwa mwaka 2025, kwa kutumia makadirio ya soko la mwaka 2020, ulikadiria kuwa takribani watu 400,000 nchini Afrika Kusini walitumia heroin.
PART 1
PART 4
Katika taarifa kutoka vituo maalumu vya matibabu ya dawa za kulevya kwa Julai-Desemba 2025, bangi ilikuwa dawa kuu iliyohusishwa na 33% ya waliopokelewa kwa matibabu nchini kote. Kwa walio chini ya miaka 19, ilihusishwa na 76% ya waliopokelewa.











