ENG : CONGRATULATION! retweeted
Kama uchaguzi ulivurugwa kwa sababu ya uchochezi; mshindi alipataje 98%?
Mchochezi alivurugwa vipi na hizo asilimia (%) zilitoka wapi?
Shame on you Judiciary.
ENG : CONGRATULATION! retweeted
Kama mtaona kuna kosa la uhaini, msisite kunihukumu na kuniadhibu ipasavyo. Lakini kama mtaona hakuna kosa la uhaini, msisite kuniachilia huru~
Mhe. Lissu 28/09/2026
ENG : CONGRATULATION! retweeted
CDF Msenge
One of the WORST, SMALL MINDED, WEAKEST and CORRUPT CDF Tanzania has ever produced. xitter.gq/lifeofmshaba/status/19…
ENG : CONGRATULATION! retweeted
Samia anasema alimuua huyu mtoto kwa risasi kwa sababu alijaribu kupindua Nchi💔
#MO29
🤖 Made with AI
ENG : CONGRATULATION! retweeted
Raha ya milele uwape ee BWANA na mwanga wa milele uwangaazie Watanzania wenzetu waliouwawa kinyama Oktoba 29, 2025, Wapumzike kwa amani🕯️🕯️💔
ENG : CONGRATULATION! retweeted
Mali inaweza kurithiwa, Nyumba inaweza kuuzwa, lakini kumbukumbu ya wema wa mtu inaweza kuishi vizazi vingi. Pumzikeni kwa amani ndugu zetu, jamaa na marafiki tuliowapoteza 29/10/2025
ENG : CONGRATULATION! retweeted
Kama una muheshimu mwanao humu basi siku chukua simu yake Nenda mtandao wa X, then Nenda direct kwenye bookmarks au History alafu Nenda upande wa history za video. Ukiendelea kumuheshimu njoo unite mbwa hapa😂🙌
ENG : CONGRATULATION! retweeted
Huu nimeunyosha zote mechi za leo, mwenye edit kali ashushe wana wapate odds 5-10.🔥
5NGNGK -Odds 100+


























