GloriaSamTz_ retweeted
You will never convince me that God isn't good even on my worst days. God is good all the time!💛🥺
GloriaSamTz_ retweeted
Neno "Usiogope" limetumika mara nyingi sana kwenye Biblia.
Nia yake ni kututoa Hofu katika kila hatua za maisha na changamoto zake 🤛🏼
GloriaSamTz_ retweeted
Maisha ya dunia hii ukisubiri ukiwa unajisikia vizuri ndio usome biblia na kutafakari, unaweza kurudi kusoma biblia baada ya miaka mingi ijayo. Safari ya usomaji wa biblia inahitaji nidhamu, uwe unajisikia, au uwe hujisikii, unapaswa kutembea na mtiririko wako ule ule.
GloriaSamTz_ retweeted
Church or no church....... ensure you have your own personal experience with God
GloriaSamTz_ retweeted
“My grace is sufficient for you, for my power is made perfect in weakness.” 2 Corinthians 12:9.
GloriaSamTz_ retweeted
Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.
Mithali 22:6
GloriaSamTz_ retweeted
Dhambi huleta aibu, huharibu heshima, huondoa hadhi, hupunguza thamani ya mtu na kumshusha chini.
GloriaSamTz_ retweeted
Intentional, loving, and sweet men are there….achilia hiyo jambazi yenye roho mbaya na uchoyo in the name of “i love him” and prosper my sister😄
GloriaSamTz_ retweeted
Kila chenye mwili akipa chakula chake;
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
[Zaburi 136:25]
GloriaSamTz_ retweeted
Mlivyokazana kupost “waliokutafuta Ndio watu sijui nini” mbona Wewe hujatafuta wenzako? Alafu unataka utafutwe? Entitlement zinawatesa sana!! Mimi umenicheki, hujanicheki fresh tu, kikubwa unapumua huko ulipo! Kikubwa ni uhai. Mengine ni ziada tu.
GloriaSamTz_ retweeted
Pale TUMAINI la Mwanadamu linapoishia, ndipo UAMINIFU wa Mungu Unapoanzia!
UTUKUFU wa MUNGU ulionekana baada ya Lazaro kufa na kuanza KUNUKA, sio wakati anaumwa!
So Kuna wakati Mungu anasubiri ukate TAMAA ili yeye aingie kazini. Na mwishowe akuoneshe Ukuu wake.
MUNGU ANAJIBU!












