PrettyGhost👸 retweeted
Kikao kimefanyika Hyatt Dar es Salaam, kimemaliza salama na mabeberu wanajua Tanzania ni salama.
Leo, tarehe 28 Oktoba 2026, ujumbe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. John Mnyika, akiongozana na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia, umekutana na kufanya mazungumzo na wabunge wa Bunge la Ujerumani kuhusu masuala ya Haki za binadamu, Demokrasia,Hali ya kisiasa na utawala bora.
Katika mazungumzo hayo, ujumbe wa CHADEMA umekutana na wabunge wafuatao:
1.Mhe. Ulle Schauws – Green Party.
2.Mhe. Derya Türk-Nachbaur – Social Democratic Party (SPD).
3.Mhe. Clara Bünger – DIE LINKE.
4.Mhe. Dr. Carsten Brodesser – Christian Democratic Union (CDU).
PrettyGhost👸 retweeted
TANZANIA LEO
"SAMIA aweka historia ya Utawala bora afrika"
#KaziNaUtu
#Tunasongambele.
Sitaki kilichotokea mwaka jana kitokee tena nitanunua pisto nife nayo dukani kwangu
PrettyGhost👸 retweeted
Fikiria hili tukio likitokea Afrika mwandishi afungue mlango wa gari la kiongozi wa juu mwenye ulinzi. Hapa ni Bulgaria, mwandishi alifungua mlango wa gari la Spika wa Bunge, kilichotokea atakisimulia milele.
Dunia imevaa chupi kichwani.
PrettyGhost👸 retweeted
Ukishakua na miaka 25-30 na kuendelea, kuna text unatakiwa uache kumtumia mwanamke...
Kama;
"Nimekumiss"
"Tunaweza kuonana?"
"Umeona meseji yangu?"
"Uko sawa?"
"Naweza kukutoa out?"
"Unanipenda?"
"Nikutumie hela?"
"Ume enjoy?" (Baada ya kusex naye)
PrettyGhost👸 retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki, jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kifo cha baba yake mzazi, Deusdedit Mwita Wambura, aliyefariki dunia tarehe 24 Oktoba, 2026, jijini Dar es Salaam.
Kuna GEN-Z huku kaacha kazi kisa bosi anampigia kelele😆😆😆 huyu kijana akija kuoa anaweza jinyonga asee.
Marehemu alikuwa na kiuno kiraini sana hope huko aliko wa huko alipo anakitumia kiuno vizuri kuomba msamaha.
















