Morogoro RC (@RasMorogoro) profile picture

Ukurasa wetu unaelezea taarifa mbalimbali zinazohusu Mkoa wa Morogoro na Hatua mbalimbali za kutatua kero kwa Wananchi.

Morogoro, Tanzania
Joined June 2017
Waziri wa Maliasili na Utalii Jumanne Magembe - MB ambaye pia ni Mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki.
2
1
1
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Dr. Kebwe S. Kebwe anawakaribisha wananchi wa Mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Tanga na Pwani katika maonesho
1
1
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Stephen Kebwe (mwenye suti nyeusi katikati) akiwasikiliza wagonjwa wa Kituo cha Afya cha Sabasaba.
1
4