Brother Reginard (@Reginardmichael) header
Brother Reginard (@Reginardmichael) profile picture

Teacher of God’s Word Author | Ndani ya Kristo Preaching the Gospel & helping people know Christ.

Tanzania
Joined May 2021
Photo by Brother Reginard (@Reginardmichael)Photo by Brother Reginard (@Reginardmichael)Photo by Brother Reginard (@Reginardmichael)Photo by Brother Reginard (@Reginardmichael)Photo by Brother Reginard (@Reginardmichael)Photo by Brother Reginard (@Reginardmichael)Photo by Brother Reginard (@Reginardmichael)Photo by Brother Reginard (@Reginardmichael)Photo by Brother Reginard (@Reginardmichael)Photo by Brother Reginard (@Reginardmichael)
Nimeanza kuandika kitabu changu Cha kwanza✍️
2
2
10
463
Baada ya likizo ya miezi zaidi ya 6 nimerudi tena Twitter (x).
2
5
278
Mungu hawachukii wenye dhambi anawapenda hata wakiwa bado hawajabadilika. Lakini dhambi, anaichukia kwa sababu inaharibu kile anachokipenda. Upendo wake hauhalalishi dhambi, bali unatuita tubadilike.
1
2
36
If Christ is not the focus, then the message has lost its power. ~Brother Reginard
1
29
Kabla ya mavuno lazima kuwe na kupanda.
4
35
Ukipanda mahindi leo, huwezi kuvuna kesho. Lakini ukiacha kupanda kabisa, hutavuna milele.
3
10
89
Inategemeana na wewe tu unataka kufanya nini sehemu zilizochangamka ni nyingi tu. Kahama na katoro ni maarufu lakini Kuna sehemu nyingine kama Nyehunge,Kanyara,Runzewe,Nkome..n.k Sengerema haijachangamka Kwa mda mrefu ila soon inaweza ku booom kwasababu ya mgodi mpya hapo.
Hivi ni sehemu gani kanda ya ziwa kumechangamkaa kibiashara ukiachana na mwanza sehemu nyingine ni ipii...?
2
81
"KAMA MNATAKA MALI MTAIPATA SHAMBANI"
3
5
64
Ndivyo ilivyo toka Yesu alivyokufa wote waliomwamini wanapata nafasi ya kuongea na Mungu Moja Kwa moja (ndio maana pazia lilipasuka katikati baada ya kifo Cha Yesu msalabani). Kwanini sasa ni mhimu kukusanyika kama waamini? 👇👇
Kwani hakuna uwezo wa Mtu kumuomba Mungu moja kwa moja mpaka apite kwenye nyumba za ibada?
1
2
56
>Kwajili ya kujengana ki Imani >Kwajili ya kupata mafundisho sahihi >Kwasababu Sisi ni mwili mmoja >Kwajili ya maombi ya pamoja na ushirika(fellowship) >Kwajili ya kuonyana Na mengine mengi tu ..... Ukioona hauoni umhimu wa kukusanyika na wenzako upo kwenye haya makundi👇👇
1
1
216
"The Bible was written for you, not to you." Good night 😴
3
38
"KAMA MNATAKA MALI MTAIPATA SHAMBANI"
3
44
Source: BiblianaKanisa share.google/fPqwCfL5SBFH9w2… Nakuzawadia na muongozo hapa wa kitabu Cha Yona.
Leo tunaanza kusoma kitabu cha Yona, jana tulimalizana na kitabu cha Obadia. Sifa ni kusoma sura moja na kutafakari, kisha tunashirikishana kwa vitendo yale tuliyojifunza. Haya yanafanyika katika kundi la WhatsApp la chapeo ya wokovu.
1
1
3
59
KUJIFUNZA KUTOKA KWA WATU WENGINE. Kujifunza kutoka kwa watu wengine ni zawadi kubwa ambayo Mungu ametupa katika safari ya maisha. Hakuna mtu aliyekamilika peke yake, na hakuna anayejua kila kitu. Kupitia uzoefu wa wengine tunapata hekima, mwelekeo na tahadhari ...
1
2
60
kabla ya kuingia kwenye maumivu yasiyo ya lazima. Katika biashara, kujifunza kutoka kwa waliopita njia kabla yetu hutusaidia kuepuka makosa ya gharama kubwa na kutuonyesha mbinu zinazofanya kazi. Katika kazi, tunajifunza nidhamu, uwajibikaji na namna ya kukua kitaaluma ....
1
9
Hatimae wameondoa VPN nirudi sasa kwenye mtandao wangu pendwa💪
1
3
94
Hizi Documentary za Magufuli zina agenda gani nyuma yake naona Kila media wamepewa maelekezo ya kuandaa?🤔
2
18
TULIOPO NDANI YA KRISTO >Hatutendi Mema Ili Tuwe Watakatifu BALI Tunatenda Mema Kwasababu Sisi Ni Watakatifu. Good Morning 🌅
2
30