Buriani Mzee Alute.
Nimepata nafasi ya kushiriki katika sherehe za Mwisho za kumuaga Senior Advocate Alute huku Mahambe Singida.
Hakika alikua mtu mwema na mwenye mchango mkubwa Kwa Mwenyekiti wetu Mhe.Tundu Lissu.
Pumzika Kwa Amani Mzee wetu Alute.
Wewe ni Mshindi Mwenyekiti.
1.Kuzima mtandao kumewasanua hata waliokuwa hawajui kinachoendelea kujua udhaifu wa Muhimili wa Mahakama.
2.Kutoka kwenye uhaini Hadi uchochezi kumeonyesha kuwa mkubwa akikosa ni ngumu kupiga magoti na kukili mbele ya umma.
TUTASHINDA.
Tangu Tarehe 14/10 mpaka leo @tanpol hamjasema alipo Mwenyekiti wa BAVICHA MKoa wa Kigoma.
Jeshi la Police @tanpol Yuko wapi Mwenyekiti wa BAVICHA MKoa wa Kigoma Coletha Ntinditya?
Nikiwa na Mwenyekiti wangu wa Kanda ya Nyasa Mhe.@TheRealJongwe .
#FreeTunduLissu
"Tujiandae Kazi iliyopo mbele ni kubwa "
Neno la Leo la Mwenyekiti baada ya mawakili wa Serikali kumaliza kutoa majumuisho yao.
Majaji wamepanga Tarehe ya hukumu ambayo ni Tarehe 6/11/2026.
#FreeTundulissu
Mapema leo kwenye Warsha ya Viongozi Edwin Mtei House Mikocheni.
#FreeLissu
#KijanaNaKatiba
1
32
527
Jumamosi hii kwenye BINTI NA KATIBA mada ni "Kwanini Katiba Mpya?"
Mabinti wote waliozungumza vipindi vitatu vilivopita wataidadavua kwakina mada hii.
Usikose kutufuatilia Kupitia Ticktock account ya BAVICHA Taifa.
BINTI NA KATIBA
Leo kuanzia Saa tatu Usiku, Mabinti Mbalimbali #bavichaqueens Watakuwa live katika ukurasa wetu wa TikTok kujadili Masuala Mbalimbali pamoja Na mchango walionao katika madai ya katiba Mpya, Usipange kukosa
Jumamosi hii Mada ni ; Mchango wa Binti katika Mabadiliko ya Katiba.
Live kuanzia saa Tatu kamili Usiku kupitia TickTock account ya BAVICHA Taifa.
BINTI NA KATIBA.
Live Jumamosi kupitia TikTok kuanzia saa Mbili kamili Hadi saa Tatu kamili Usiku, mabinti watajadili masuala mbalimbali yanayohusu katiba.
Usipange Kukosa.
tiktok.com/@bavicha_taifa?_r…
@BavichaQueens






















