#27Number (@RodgersBabalao) header
#27Number (@RodgersBabalao) profile picture
ARUSHA/TANZANIA
Joined July 2012
Photo by #27Number (@RodgersBabalao)Photo by #27Number (@RodgersBabalao)Photo by #27Number (@RodgersBabalao)Photo by #27Number (@RodgersBabalao)Photo by #27Number (@RodgersBabalao)Photo by #27Number (@RodgersBabalao)Photo by #27Number (@RodgersBabalao)Photo by #27Number (@RodgersBabalao)Photo by #27Number (@RodgersBabalao)Photo by #27Number (@RodgersBabalao)
Ukitoa Sahau Ila Ukipewa Lazima Ukumbushwe.
1
10
Kushinda Vita Siyo Kuwa Na Askari Wengi ,Mshindi Ni Yule Anaejua Kuwatumia Vizuri Askari Wake.
9
Kuna Watu Walikuona Kipindi Huonekani Na Wengine. Wazingatie Sana Usiwasahau. #BabaLaoKasema
15
Kuna Mungu,Serikali Hlf Kuna Mimi. #BabaLaoMixTapeVol2🔥🔥
1
25
BabaLao Mixtape Vol 2 27 May
1
10
Bby Ukitaka Kunichuna Njoo Nikupe Kisu Na Mapanga. Na Ukitaka Kuniroga Njoo Nikupe Namba Za Waganga.
12
Wakati Mwingine Tunajitengenezea Matatizo Kwa Kua Na Urafiki Na Watu Ambao Tulipaswa Kusalimiana Nao Na Kupita Tu.
14
Kuna Watu Walioamini Hatutapata Mafanikio. Na Waliotufagilia Mwishowe Wakauza Mafagio.
1
Nmedata na mapenz km nmejifunzia kwake. Na wala haondoki kaja na virago vyake.
TuNaLeWa NaO LaKiNi HaTuWaOi
ManDojo Njoo Na Gitaa Usisahau. Nataka KuRude Dojo Madogo Wamejaa Dharau. #MsichoJua #tbt
1
Eti kuna Rapa Anamtambia Mwenzake Kua Kamkuta Twiiter.. #UpuuziMwingineBana
Do you remember when you joined Twitter? I do! #MyTwitterAnniversary
1
Wavimbe Wanune Kitatokea nini..Uliomba Mume Nikatokea Mimi..Wamekalia Majungu We Nikalie Mimi..Ukikalia Rungu Wao Wakalie Pini..Wakiona Gere Tunaona Upendo Mama..Nikiona Mbele Naona Malengo Sana..