Sharp-Man (@Sharpman__) header
Sharp-Man (@Sharpman__) profile picture

Sharp Man

Joined December 2017
Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)
Replying to @millardayo
My country 😭
251
Sharp-Man retweeted
Mwanasiasa anapojilimbikizia mali kupitia nafasi yake, anaweza kuanza kuiona siku ya kuondoka madarakani kama siku ya kupoteza kila kitu. Anaogopa uchaguzi. Anaogopa mabadiliko ya uongozi. Anaogopa uchunguzi. Anaogopa mtu atakayekuja baada yake. Anaogopa historia itakavyomhukumu. Na kadiri anavyoogopa kuondoka, ndivyo anavyozidi kushikilia madaraka kwa nguvu. Hapo madaraka yanabadilika kutoka kuwa dhamana ya wananchi na kuwa ngao ya kujilinda binafsi. Hii ni hatari sana kwa nchi, kwa sababu kiongozi anapofikia hatua ya kuamini kwamba usalama wake binafsi unategemea kubaki madarakani, anaweza kuanza kuiona demokrasia kama tishio badala ya kuwa msingi wa utawala. Kiongozi anayeshindwa kuamini kwamba anaweza kuishi kwa heshima baada ya kuondoka madarakani, atakuwa na sababu ya kuogopa kila anayepigania mabadiliko.
9
72
240
4,501
Replying to @TayanahTibs
They don't care that much about us
1
1
522
Replying to @mshambuliaji
Kitenge wewe ni mpumbavu
1
42
Such a great Man respect 👏
Hope ❤️Thank you to Dr Kibwana and team Luton hospital 🏥
1
40
Swala la vijana wa kiume kumuangalia mtoto wa kiume anapelekewa moto halijakaa ki code something is wrong with this generation
2
34
Hii kesi Wananchi wataiamua
UKISIKIA UTAFUNZWA NA DUNIA NDIYO HIVI SASA. CHIBA amekuwa msumbufu kwa miaka mingi sana na amekuwa akichezea tawala nyingi sana zilizokuwa zinapita kwenye nchi hii na alijiaminisha kuwa yeye ni jasiri sana na hakuna anayeweza kumfanya kitu ka kauli zake,matendo yake na hata tabia zake ndiyo maana alikuwa ni mtu asiyejali anachosema na kutenda na madhara yake. HAJAWAHI kuwa mtu makini kupima kauli zake na matendo yake kama mwanasiasa uchwara kwa muda mrefu sana na matokeo yake akajivika cheo cha kuwa mropokaji mashuhuri na akidhani ana kinga ya kutoshughulikiwa anapotoa kauli za uchochezi na za hovyo.. Alifika mahali alijiona ana kibali cha kufanya hivyo na asiguswe na yoyote. Amefanya hivyo sana wakati wa utawala wa Mkapa,JK na Kambale na akajiona yeye ni mropokaji mteule. CHIBA hajaanza haya leo wala jana amekuwa anafanya haya kwa muda mrefu sana na alidhihirika kuwa ni mtu mshenzi na wa hovyo sana alipokuwa Rais wa TLS. Alipokuwa rais wa TLS ndipo alipoharibu kabisa taasisi ile na ikageuka kuwa jukwaa la wanasiasa pamoja na wanaharakati na toka kioindi kile TLS haijawahi kupona ulemavu ule mpaka leo na ndiyo maana ina watu kama Mwambukusi ambao ni waropokaji kwenye kila kitu badala ya kufanya majukumu yao ya kitaaluma kama wanasheria. KITENDO cha DPP kukata rufaa ya hukumu ya miaka minne aliyopewa Chiba ni kielelezo kuwa CHIBA bado ana safari ndefu sana kuelekea kumaliza kesi hii kwa rufaa au kwa vyovyote vile na safari hii siyo nyepesi kama anavyofikiria na itamkalisha jela kwa muda mrefu sana ikiwa ni sehemu ya kumfundisha kwa kuwa alishindwa kufunzwa kwao sasa acha dunia isiyo na huruma imfunze sasa.. DPP amepinga hukumu ya miaka minne maana yake DPP ana uhakika Chiba alitenda kosa la ugaidi na ana uhakika alithibitisha kosa hilo na mahakama kuu imekosea kutomhukumu kunyongwa hadi kufa hivyo imeomba mahakama ya rufaa kurejea shauri lake na hukumu ile na kutoa hukumu stahiki kulingana na kosa la uhaini alilokuwa anakabiliwa nalo. MAHAKAMA YA RUFAA ina jukumu la kuangalia mwendendo wa kesi na ushahidi kule mahakama kuu na kuipitia hukumu ile ya miaka minne na kuna kila dalili kuwa itafanya na kuamua yafuatayo; 1. Kuirudisha kesi mahakama kuu ikaanze upya na kupangiwa majaji wengine na kurekebisha makosa ya majaji wa mahakama kuu na kutoa hukumu stahiki ya kosa la uhaini ambalo ni kumnyongelea mbali Chiba mpaka kufa AU 2. Kuamua kufuta hukumu ya miaka minne ya Chiba na kumhukumu kwa kosa stahiki na kumnyongelea mbali HAYA NDIYO matokeo mawili tu ya kesi ya Bwana Chiba na hakuna kitu kitaamuliwa na mahakama ya rufaa tofauti na haya mambo mawili hapo juu. LAKINI kwa nini haya yanatokea ! Yanatokea kwa kuwa dola na vyombo vyake vimeamua kushughulika na wahalifu wa aina ya Chiba ambao kwa miaka mingi sana wamekuwa wanavunja sheria na kujificha kwenye siasa na kudhani wanaweza kuchoma moto na kuharibu hii nchi na wakaachwa tu huru kwa kuwa ni wanasiasa. CHIBA ni miongoni mwa watu walioitumia vibaya sana nafasi ya kufanya siasa ndani ya Tanzania alikosea sana kupiga hesabu zake na kudhani awamu hii ni legelege na angeweza kutoboa na siasa zake za kitoto sasa kajikuta yuko jela na asipokuwa mwangalifu atazeekea jela au atafia jela.. TULIPOKUWA tunawasihi na kuwaonya kuwa msichezee dola chezeeni ndevu mlikuwa mnadhani tunawatania eeeh.. Haya sasa pambaneni na mikesi hiyo isiyoisha yaani.. CHIBA amekuwa mtu toxic sana kwenye siasa za Tanzania na amekuwa ni mtu mwenye kujaza watanzania sumu sana mpaka amefika mahali anadhani anaweza kufanya mapinduzi na kuangusha serikali kwa maandamano na vurugu. Haya yalifanyika 29 Oktoba 2025 na mi mipango yao kwa muda mrefu sana na kilichotokea 29 Oktoba ilikuwa ni mipango yao ya muda mrefu sana. Chiba ni mhaini na anyongwe tu. KUWAKUMBUSHA tu nikuwa mpaka rufaa hii itakaposikilizwa na kuamuliwa ndipo Chiba ataweza kutaka rufaa tena kwa ajili ya kupinga hukumu HALAFU jingine la muhimu ni kuwa mahakama inakwenda mapumziko kuanzia sasa mpaka Februari 2027 😁 #KigogoMediaUpdates
32
Wakuitwa nani huyu
1
1
29
Replying to @HariMekus
Singer
3
1
252
Replying to @fbuyobe
Subscribatumbo
154
Replying to @moodewji
Lipa watu ujira wenye utimamu viwandani kwako walk your talk
1
1
160
Replying to @ManUtd
Fuck off
5
Replying to @millardayo
Zawadi ya b2 how mzee
2
762
Zile takwimu zinazotolewa Mfano Wenye HIV ni 1.8 zinakubalika kwa sababu hakatajwa mtu,vivyo hivyo na alichosema Bwana Daktari no offence
1
1
1
66
Replying to @eastafricatv
Shame shame shame aibu kwa waliotekeleza mauaji
1
38
Replying to @kajakallas
Ukraine is free to attack while imposing sanctions to Russia, Dumb ass
42
Replying to @bajabiri
Ba jabir naomba fursa ya kutengeneza transit bonds CB8 na Bima za kawaida
1
2
2,618