Sheaney (@Sheaney1) profile picture
Joined May 2021
Next gen ya leaders wanawake toka wako mashuleni huko na wa keep track ya hao watu ili ikifika mambo ya teuzi watu wanaonekana na siyo kuwasaka uvunguni au vichakani huko.. ๐Ÿ‘‰ 50/50 teuzi zinakwenda na vigezo na siyo mambo ya kuteuana tu.. Haya mambo yanatakiwa kuwa na mkakati
5
30
381