Pinned Tweet
Our Channell has shown consistent success of Setup/signals /advice knowledge from the day we started. Grab this opportunity to make money. For those who do not have a trading account use the shared link to join and contact us for any support concerning opening a live account.
⤵️
Just remind
Ukiwa unatamani kuwa kama furani au kuyapenda matokeo yake katika jambo furani ,usisahau pia kuheshimu mchakato ulio fanyika mpaka kuwa yeye, nenda kavae viatu vilivyo muweka pale hakikisha una ya mudu ndo upende matokeo ayo uyatakayo📌
#Respect the Og
@Mr_RedemptionFX
54
Tanga wapo kwemye engo zingine tumepoa mzee
Miaka ya 2005-2010 Arusha ilileta vijana wengi sana kwenye industry ya entertainment
(Music,Media presenters,Dj’s)
Miaka ya 2010-2015 ni kama upepo ulihamia Mwanza, mwanza ikatoa vijana wengi sana kwenye kiwanda cha burudani.
(Wanamuziki,Producers,DJ’s,)
Tulipofika 2015-2020 kijiti ni kama kilihamia Dodoma.
Hapa vijana wengi sana kwenye industry ya entertainment walitokea Dom town.
(Comedians,Media presenters,Music video directors,Video vixen,Wanamuziki)
2022-2026 mpaka sasa
Gari limewakia Mbeya!!
Waisa wengi sana now wanafanya maunyama kwenye kiwanda!! 🔥
(Comedians/Tamthilia/Rappers/)
(Watangazaji)
Jamaa wanakiwasha hadi kwenye Gospel wame-dominate!!👏👏
Mbeya hadi wakamaria kudadeki
TANGA SIJUI TULIKANYAGA
MDUDU GANI TUKAPOTEANA😔😔
45
Nawengine wana ungana na wakamalia kuwaponda trader wezao😂 fx ina chuki kisenge
Replying to @Sir__adonis
Love waliyo nayo sijawah ona kwa forex traders maana fx traders ujivuni ni mwingi na kukandiana kuwa huyu ni mkali kiliko huyu
1
3
139
Shivo📈 retweeted
Replying to @Sir__adonis
Love waliyo nayo sijawah ona kwa forex traders maana fx traders ujivuni ni mwingi na kukandiana kuwa huyu ni mkali kiliko huyu
Blackredemption Forex Academy 📊















