Timber TZA (@Timbertzaa) header
Timber TZA (@Timbertzaa) profile picture

Content Creator || https://xitter.gq/t.co/WtIHu8yvE9

Mara, Tanzania
Joined March 2021
Mama yangu Bi. Mariam Sagini Mjumbe wa Baraza Kuu UWT Taifa 馃搷Wilaya Butiama, mkoani Mara
3
3
24
759
Omugimba wa 23 aliyezaliwa Mwaka 1979 katika koo ya watengeneza Mvua kutoka eneo la Nyabhikerya Kijiji cha Busegwe amefariki leo Oktoba 25, 2026 kwa ajali ya pikipiki Butiama mkoani Mara.
9
587
Omugimba wa 23 wa nchi Nane (8) za Kizanaki Chief Mwl. Mazira Marwa Ihunyo wa Kijiji cha Busegwe aliyezaliwa Mwaka 1979 amefariki leo Oktoba 25, 2026 kwa ajali ya pikipiki huko Butiama mkoani Mara
1
278
Haswaaaaaah! #bongofive @bongofive
2
49
3,976
Ukiwa Mbeya unatumia mchele wa Kyela au Mbarali?
7
8
32
743
La Familia || Baba Mama na Mwana Dinner na Mhe. RC Jumanne Abdallah Sagini 馃搷Mbeya City
2
6
44
1,256
RC SAGINI AJITAMBULISHA CCM MBEYA Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Jumanne Abdallah Sagini amefanya ziara Ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) za Mkoa huo zilizopo Mbeya Mjini ili kujitambulisha na kuweka mikakati ya pamoja ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM. Septemba 18, 2026.
1
12
605
Harusi zinafanya watu waendelee kuwa masikini wa akili na maendeleo fikiria rafiki zako 30 wanafanya harusi mwaka huu mchango ni 100K kwa kila mmoja = 3M, bado mavazi na zawadi, baada ya miezi baadhi yao wanaachana bora ungeongezea mtaji changia kiasi kuepuka lawama.
1
1
7
392
Wakuu wa Mikoa Mbeya, Mara, Njombe, Kigoma Nk
7
329
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Jumanne Abdallah Sagini na familia yake Ikulu ya Tunguu Zanzibar
4
4
230
Hongereni nyote hasa Baba yangu Mhe. Jumanne Abdallah Sagini kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya
1
9
443
Mhe. Jumanne Abdallah Sagini|| Timber TZA 馃搷 Vwawa-Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe
1
2
16
375
Timber TZA|| Songwe
6
9
43
1,135
Sagini awafunda viongozi na watendaji Dira 2050 Mkoa wa Songwe Imeelezwa kuwa namna ya kufikisha na kufanikisha Utekelezaji wa Dira 2050 ni kuwepo na uundaji wa Kamati za Usimamizi, Ufuatiliaji na Utekelezaji kwenye ngazi zote pamoja na mkakati mawasiliano utumiwe ipasavyo..
1
3
5
317
Kwanini Expiry date ya bidhaa inaandikwa kwa ufiche?
5
3
24
768