DevotaTweve (@TweveDevota) header
DevotaTweve (@TweveDevota) profile picture

Instagram https://xitter.gq/t.co/59Bh6zcLr1

Tanzania
Joined July 2014
Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)Photo by DevotaTweve (@TweveDevota)
Sikiliza namna ninavyosoma Taarifa ya Habari 🎤📻
748
317
77
3,455
Odero Mzee wa maridhiano, yeye agenda yake ni moja tu.
Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA na Mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano, Odero, ameitaka Kamati Kuu ya chama hicho kukaa mezani na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ili kutafuta suluhisho la mkwamo wa kisiasa unaoendelea nchini. Odero amesema mazungumzo hayo yanaweza kusaidia kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazoikabili CHADEMA, ikiwemo kuwepo gerezani kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, pamoja na madai ya chama hicho ya kutaka Katiba Mpya. Akizungumzia mijadala iliyozuka hivi karibuni kuhusu mpango wa Lissu kugoma kula akiwa gerezani na kauli zinazotolewa na baadhi ya viongozi wa CHADEMA, Odero amezitafsiri kauli hizo kuwa hazisaidii kufikia malengo ya chama hicho, akisisitiza kuwa huu ni wakati wa kutafuta suluhisho kupitia mazungumzo. Aidha, Odero ametoa mfano wa mataifa mbalimbali yaliyotumia maridhiano kutatua changamoto za kisiasa, akiwemo Uganda, na kusema CHADEMA haina muda wa kupoteza, bali inapaswa kuchukua hatua ya kukutana na Rais Samia ili kujadili na kutafuta njia ya kuondokana na mkwamo uliopo.
1
1
330
Mwenyezi Mungu wewe pekee ndiye uwezaye kuponya mioyo yetu iliyoumizwa na kupondeka.
14
446
Kila mmoja huenda ana makovu ingawa tunatofautiana, makovu ya kwenye mwili na yanayoonekana kwa wengine na makovu yaliyoko moyoni. Makovu haya yote maumivu yake ni sawa. Je, wewe una makovu yapi?
1
1
5
290
Makovu yasiyofutika huendelea kutukumbusha maumivu ya vidonda tulivyokuwa navyo.
1
1
13
565
Watu huona kovu kwa nje na kudhani limepona, lakini hawajui maumivu yaliyofichwa ndani ya kovu hilo.
1
13
585
😭😭😭
Her name is Roslyne Ashanti, she was an established Airbnb business Lady in Nairobi! She was poisoned by her friends at her birthday party, she had invited friends to celebrate with her, little did she know that there was a Snake within them! She collapsed during the birthday party, never to talk, see or eat again, doctors treating her said it was food poison that damaged half of her Brain. She is now under the care of her mother, moving from one hospital to another. Most women don't have genuine friends, they're surrounded by snakes full of jealousy. Avoid nonesence circles and the so called friends at all cost.
1
2
829
👏👏👏👏👏👏👏
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetupilia mbali rufaa ya Private Clinton Honest Damas(Nyundo) na wenzake watatu waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumbaka kwa kundi binti wa wa miaka 17 maarufu kama binti wa Yombo huku ikihibitisha hukumu hiyo iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma. Kwa mujibu wa hukumu iliyotolewa leo Oktoba 27, 2026, tukio la kumbaka binti huyo lilitendwa na Nyundo akishirikiana na Amini Lord Lema(Kindamba), Nickson Idala Jackson na C.1693 WDR Praygod usiku wa Mei 25 na 26, 2024, katika eneo la Mpamaa, Dodoma ambapo msichana mwenye umri wa miaka 17 alidai kufanyiwa ukatili wa kingono na kundi la vijana. Katika rufaa yao, Nyundo na wenzake kupitia wakili wao waliomba Mahakama ya Rufaa itengue hukumu ya hatia na adhabu ya kifungo cha maisha jela, wakipinga uhalali wa hati ya mashtaka, namna ushahidi wa video ulivyopatikana na kuhifadhiwa, utambuzi wao wakati wa tukio la usiku pamoja na matumizi ya taarifa ya maungamo ya Nyundo. Pia walidai kuwa ushahidi haukuthibitisha kosa la kubaka kwa kundi pasipo kuacha mashaka yenye msingi na kwamba utetezi wao wa kutokuwepo eneo la tukio haukuzingatiwa ipasavyo. Kuhusu utambuzi wa wahusika, hoja za Nyundo na wenzake zilikataliwa kutokana na ushahidi wa 'Binti wa Yombo' kueleza kuwa tukio hilo lilifanyika kwa muda wa saa mbili huku taa ikiwa inawaka pia umbali baina yake na watendaji wa tukio uliondoa mashaka juu ya utambuzi. Katika uamuzi wake, Mahakama ya Rufaa ilisema ushahidi uliowasilishwa ulithibitisha kosa la kubaka kwa kundi bila kuacha mashaka yenye msingi, hivyo kutupilia mbali rufaa na kuthibitisha vifungo vya maisha jela. Hata hivyo, mahakama ilisimamia uamuzi wa Mahakama Kuu wa kufuta hukumu ya kosa la pili la kufanya tendo lisilo la kawaida kwa pamoja(unnatural offences) kwa kuwa msingi wa kisheria wa kuwahukumu washitakiwa wote kwa kosa hilo haukuwepo katika mazingira ya kesi hiyo.
107
Ni wapi tunapokosea kuhusu malezi ya watoto?
10
1
16
2,268
Viboko vinasaidia mtoto kuwa na nidhamu?
45
7
9
74
4,331
Kata kwa kata💪
Ziara ya #KataKwaKata inaendelea! Leo nimejikita kufuatilia huduma za maji, barabara, afya na umeme katika Kata za Kikatiti, Malula na King’ori. Kata 5 tayari, bado 48!! 💪🏽 #TukutaneSite #MaendeleoArumeru #ArumeruKimataifa
1
346
Mwenyezi Mungu akipenda kesho ni siku🙏
2
9
807
Ehee Mungu😭😭💔
Benedict Kiptoo,a clinical medicine student at KMTC kitale,was stabbed to death by his girlfriend Nancy days before his graduation👨🏿‍🎓💔🕊.
1
9
2,575
Imetosha jamani😭
#HABARI Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia mfanyakazi wa ndani Verediana Levee kwa tuhuma za kumnyonga hadi kufa mtoto wa Miaka mitano katika mtaa wa Ibolelo Kata ya Nyankumbu Manispaa ya Geita Mkoani Geita. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio nakwamba chanzo cha tukio hilo kinahusishwa na imani za kishirikina. Baba mzazi wa marehemu Mathayo Valence amesema tukio hilo limetokea akiwa katika majukumu yake ya kila siku na kwamba kabla ya kuondoka nyumbani alimwacha mfanyakazi huyo akiwa na watoto wengine pamoja na fedha za matumizi huku watoto wakiwa katika hali nzuri baadaye alipokea taarifa kuwa motto wake amefariki dunia kwa kunyongwa na dada wa kazi anayeishi naye. #EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
223
Bado tuna changamoto kubwa juu ya maamuzi na hatma ya vizazi vyetu vya baadaye. Baadaye tunalaumu wakati makosa ni yetu tumeweka tamaa mbele.
Wakati jamii nyingine zinawekeza kwenye talents, Malezi ya watoto waone maisha yao kwenye renzi ya mafanikio jamii nyingine zinalea watoto wakifanya mitihani wajifelishe ila waolewe ama wanaambiwa wana wachumba tayari Watu fulani wako maeneo fulani si bure ni maandalizi
3
517
Kuna wakati wazazi wanaumia hadi wanachoka na kukata tamaa kutokana na mambo wanayofanyiwa na watoto wao. Nimeona clip ya mzazi alishukuru mtoto wake kufa kwasababu alikuwa mwizi. Fikiria ameumizwa kiasi gani hadi ameona ni afadhali mtoto wake afe, tusiwatese wazazi wetu.
2
1
17
692
Wazazi, walezi na jamii kwa ujumla ni miongoni mwa sababu ya malezi mabovu na mmomonyoko wa maadili kutokana na kukosekana kwa uwajibikaji wa karibu katika kuwalea watoto. Tunalaumu watoto kuwa na tabia mbaya wakati sisi ndio chanzo. Tujirekebishe kwaajili ya watoto na jamii.
304
Sawa Thom Mnkondya kutoka Songwe.
Mimi binafsi namuogopa na kumuheshimu Rais na dola. Siwezi hata kufanya mzaha au utani kwa Mh Rais na dola. Lakini viongozi wengine nawaheshimu tu. Ila Rais na Dola nawaogopa na kuwaheshimu sana. Ujasiri wa kufanya hata utani kwa Rais siwezi kupata kabisa. Wanangu tusijizime data.
1
1
324
Watoto wa marehemu Betty Bayo msanii kutoka nchini Kenya, wamekataa kuishi na baba yao mzazi Pastor Kanyari kwa madai sio baba bora kwao na kushinikiza kuendelea kuishi na baba yao wa kufikia(kambo) aliyekuwa akiishi na mama yao. Mtoto wa kwanza wa Betty ana miaka 13.
2
45
3,089
Usikae na kuvumilia mahusiano ambayo ni hatari kwa usalama wako.
This man returned home from work and they started arguing with his wife. The woman grabbed a knife and stabbed him in the chest. He fell to the ground, and that’s when she began calling the neighbors,but it was already too late. The man was dead. Joseph was 38 years old, while the woman is 46. Neighbors say the two of them used to fight frequently. Never stay in a chaotic relationship these are the results which you will get
6
1,980
Nimewasogezea hii.
This quoted post is unavailable.
3
162