You assume uko mashinani ni wewe pekee mko huko plus hapa online? Mnatuonanga madwanzi sana. Tuko pia mashinani..kwanza nometembea Kilifi hadi ganze ndani..wamechoka na serikali and they young generation is speaking sifuna. We are also actively campaigning for him kwa ground.