World Press Freedom Day (2026) (@WPFD_TZ) header
World Press Freedom Day (2026) (@WPFD_TZ) profile picture

THEME: Shaping a Future at Peace: Promoting Press Freedom for Human Rights, Development and Security | #WPFD | #WPFD2026

Tanzania
Joined April 2023
Photo by World Press Freedom Day (2026) (@WPFD_TZ)Photo by World Press Freedom Day (2026) (@WPFD_TZ)Photo by World Press Freedom Day (2026) (@WPFD_TZ)Photo by World Press Freedom Day (2026) (@WPFD_TZ)Photo by World Press Freedom Day (2026) (@WPFD_TZ)Photo by World Press Freedom Day (2026) (@WPFD_TZ)Photo by World Press Freedom Day (2026) (@WPFD_TZ)Photo by World Press Freedom Day (2026) (@WPFD_TZ)Photo by World Press Freedom Day (2026) (@WPFD_TZ)Photo by World Press Freedom Day (2026) (@WPFD_TZ)
World Press Freedom Day (2026) retweeted
โ€œUandishi wa habari hauwezi kufa kwa sababu ya mabadiliko ya teknolojia,โ€ - @nuzulack, Mtendaji Mkuu wa @NuktaAfrica akizungumzia hali ya vyombo vya habari kuelekea maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Mei 3, 2026. Zaidi, tazama hapa >>> youtu.be/G2Zg2DWDvbQ
1
6
188
World Press Freedom Day (2026) retweeted
๐—ฆ๐—ฒ๐˜๐˜๐—ถ๐—ป๐—ด ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐—ง๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—ณ๐—ผ๐—ฟ ๐— ๐—ฒ๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ ๐—™๐—ฟ๐—ฒ๐—ฒ๐—ฑ๐—ผ๐—บ: ๐—–๐—˜๐—ข ๐—”๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐——. ๐—”๐—ฏ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—น๐—น๐—ฎ๐—ต ๐—ข๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐˜€ ๐—ช๐—ฃ๐—™๐—— ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ ๐—ถ๐—ป ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ Our CEO, Asha D. Abinallah, delivered powerful opening remarks at Mount Meru Hotel in Arusha as TMC, Chair of this yearโ€™s National Organizing Committee, officially opened the commemoration of World Press Freedom Day 2026. In her address, she welcomed distinguished guests including the Hon. Minister for Information, Culture, Arts and Sports Paul Makonda (Mwakilishi), the UNESCO Representative in Tanzania Mr. Michel Toto, government leaders, media owners, editors, journalists, development partners, and stakeholders from across the media sector. Under the 2026 theme, โ€œBuilding a Future of Peace: Advancing Media Freedom for Human Rights, Development, and Security,โ€ the speech emphasized the urgent need to protect press freedom in the digital age, strengthen sustainable media systems, and ensure responsible use of AI in journalism. The remarks set the tone for a two-day high-level dialogue focused on critical questions around media sustainability, journalist safety, misinformation, digital transformation, and the future of independent journalism in Tanzania. TMC reaffirmed its commitment to positioning media not only as a democratic pillar, but also as a strategic sector in the digital economy driven by innovation, investment, and collaboration. #WPFD2026 #TMCatWPFD #PressFreedom
8
1
13
881
World Press Freedom Day (2026) retweeted
๐—ช๐—ฃ๐—™๐—— ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ ๐—•๐—ฒ๐—ด๐—ถ๐—ป๐˜€: ๐—ง๐— ๐—– ๐—ผ๐—ป ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐—š๐—ฟ๐—ผ๐˜‚๐—ป๐—ฑ ๐—ณ๐—ผ๐—ฟ ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐—™๐—ถ๐—ฟ๐˜€๐˜ ๐——๐—ฎ๐˜† ๐—ผ๐—ณ ๐—–๐—ผ๐—บ๐—บ๐—ฒ๐—บ๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป๐˜€ TMC is on the ground today as the official commemoration of World Press Freedom Day begins. As a member of the National Organizing Committee, TMC is proud to be part of the conversations shaping the future of media engaging with stakeholders, amplifying critical voices, and advancing dialogue on press freedom, journalist safety, and access to information. Today marks the start of a collective commitment to strengthening a free, independent, and resilient media ecosystem in Tanzania and beyond. Follow up with us here: youtube.com/live/tBVVdd2lGFsโ€ฆ #WPFD2026 #PressFreedom #TMCatWPFD #MediaFreedom
7
11
805
World Press Freedom Day (2026) retweeted
๐—ž๐—ถ๐—ฐ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ข๐—ณ๐—ณ ๐—ช๐—ผ๐—ฟ๐—น๐—ฑ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐˜€ ๐—™๐—ฟ๐—ฒ๐—ฒ๐—ฑ๐—ผ๐—บ ๐——๐—ฎ๐˜† ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ ๐˜„๐—ถ๐˜๐—ต ๐—ฎ ๐Ÿฑ๐—ž๐—  ๐—™๐˜‚๐—ป ๐—ฅ๐˜‚๐—ป ๐—ถ๐—ป ๐—”๐—ฟ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ฎ TMC joined stakeholders across Tanzania on 28th April to officially kick off the commemoration of World Press Freedom Day through a 5-kilometre Fun Run from the Office of the Mkuu wa Mkoa to Ngarenaro. As a member of the National Organizing Committee, TMC continues to play a strategic role in shaping and supporting this important national platform reaffirming our commitment to advancing media freedom, journalist safety, and access to information. The run was more than a symbolic start; it was a united step towards strengthening a free, independent, and resilient media ecosystem in the digital age. #WPFD2026 #PressFreedom #TMCatWPFD #MediaFreedom
1
3
7
202
World Press Freedom Day (2026) retweeted
Uandishi wa habari hauwezi kubaki nyuma katika dunia inayobadilika kwa kasi. Ni lazima uendane na mageuzi ya kidijitali ili kuendelea kuwa na umuhimu, kulinda uhuru wake, na kutoa mchango chanya unaogusa maisha ya jamii. ๐Ÿ”— Jisajili kushiriki: bit.ly/WPFD2026_Registration #WPFD2026 #WorldPressFreedomDay #TMC
10
9
279
World Press Freedom Day (2026) retweeted
๐—ช๐—ผ๐—ฟ๐—น๐—ฑ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐˜€ ๐—™๐—ฟ๐—ฒ๐—ฒ๐—ฑ๐—ผ๐—บ ๐——๐—ฎ๐˜† ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ Join us from 28-30 April 2026 at Mount Meru Hotel, Arusha, for the national commemoration of World Press Freedom Day. Held under this year's theme โ€œShaping a Future at Peace: Promoting Press Freedom for Human Rights, Development and Security,โ€ the event will bring together journalists, media stakeholders, policymakers, civil society, and development partners to discuss the role of press freedom in strengthening democracy, protecting human rights, and promoting sustainable development. ๐Ÿ“… Dates: 28โ€“30 April 2026 ๐Ÿ“ Venue: Mount Meru Hotel, Arusha ๐Ÿ”— Register to participate: bit.ly/WPFD2026_Registration Be part of the conversation shaping the future of media and press freedom in Tanzania. ======================= ๐—ฆ๐—ถ๐—ธ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—จ๐—ต๐˜‚๐—ฟ๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฉ๐˜†๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ ๐—›๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ Jiunge nasi kuanzia tarehe 28-30 Aprili 2026 katika Hoteli ya Mount Meru, Arusha kwa maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani. Kauli mbiu ya mwaka huu ni โ€œKuunda Mustakabali wa Amani: Kukuza Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa ajili ya Haki za Binadamu, Maendeleo na Usalama,โ€ maadhimisho haya yatawakutanisha wanahabari, wadau wa vyombo vya habari, watunga sera, asasi za kiraia na washirika wa maendeleo kujadili nafasi ya uhuru wa vyombo vya habari katika kuimarisha demokrasia, kulinda haki za binadamu na kukuza maendeleo endelevu. ๐Ÿ“… Tarehe: 28-30 Aprili 2026 ๐Ÿ“ Mahali: Hoteli ya Mount Meru, Arusha ๐Ÿ”— Jisajili kushiriki: bit.ly/WPFD2026_Registration Kuwa sehemu ya majadiliano yanayounda mustakabali wa vyombo vya habari na uhuru wa habari nchini Tanzania. #WPFD2026 #PressFreedom #UhuruWaHabari #WorldPressFreedomDay #TMC #UNESCO
18
1
18
1,281
World Press Freedom Day (2026) retweeted
From #WPFD2025 commemorations in #Arusha, #Tanzania: The Embassy of #Switzerland in #Tanzania continues to play a key role in supporting local media development efforts and initiatives, including the IMS programme in #Tanzania.
1
2
6
395
World Press Freedom Day (2026) retweeted
28/04:#Arusha:๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #WPFD national celebration we, @MediaCouncilK,@Twaweza_NiSisi @NewTMF & ,@NuktaAfrica discussed the impact of #AI on Media Sustainability-in the region. Calls to report & fund public interest journalism, innovate based on audience research, train, embrace #AI.
1
6
8
546
World Press Freedom Day (2026) retweeted
ARUSHA: Akizungumzia suala la uhakiki wa Taarifa, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica, Maxence Melo amesema kupitia JamiiCheck.com wanashirikiana na Wanachi kuwaonesha kile kinachofanyika kwa kuwa ni sehemu ya Elimu ya kuelewa mchakato wa uhakiki wa Taarifa potofu Ameongeza โ€œTunafanya kwa kushirikiana na Jamii kwa kuwaeleza na pia hata kwa Wanahabari na Wananchi wengine wana nafasi ya kushiriki ndani ya JamiiCheck kuhakiki taarifa kwa kuwa ni Jukwaa ambalo linawashirikisha Watumiaji.โ€ Soma jamii.app/WPFD2025DayTwo #WorldPressFreedomDay #WPFD2025 #PressFreedom #MediaAndAI #AIForMedia #FactChecking
2
5
2,581
World Press Freedom Day (2026) retweeted
ARUSHA: Mkurugenzi Mtendaji wa #JamiiAfrica, Maxence Melo anasema โ€œKatika kufanikisha elimu ya kukabiliana na taarifa potofu, tumewajengea uwezo Wadau wa Habari kukabiliana na changamoto ya taarifa potofu, tumekuwa tukifanya hivyo kwa Wadau mbalimbali.โ€ Ameongeza "Tuliamua kufanya uwezeshaji kwa Wadau wa Habari kwa kushirikiana na Klabu ya Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) kwa kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo kutoa mafunzo kwa zaidi ya Wanahabari 1,000.โ€ Ameongeza โ€œJamiiAfrica iliingia makubaliano na redio mbalimbali za Kijamii kutoka katika Mikoa tofauti kwaajili ya kuwapa elimu ya masuala ya uhakiki wa Habari na ni mchakato ambao bado unaendelea.โ€ Soma jamii.app/WPFD2025DayTwo #WorldPressFreedomDay #WPFD2025 #PressFreedom #MediaAndAI #AIForMedia #FactChecking
2
6
2,650
World Press Freedom Day (2026) retweeted
ARUSHA: Kuna changamoto ya baadhi ya Taasisi za Serikali kushindwa kuwa โ€˜Activeโ€™ katika kujibu kwa wakati kuhusu taarifa mbalimbali zinazokuwa zinasambaa Mtandaoni Hayo yamesemwa na Nuzulack Dausen kutoka Nukta Africa ambaye ameongeza kuwa โ€œWanapofanya hivyo kuna Watu wanaweza kuwa wanaumizwa na Taarifa au Matukio yanayosambazwa kama hayana ukweli au hajayafafanuliwa.โ€ Amesema โ€œNadhani hiyo ni changamoto ambayo inatakiwa kufanyiwa kazi kwa maana ya kwamba wahusika wawe wanajibu au wanatoa ushirikiano haraka wakati wa mchakato wa kuhakiki taarifa.โ€ Soma jamii.app/WPFD2025DayTwo #WorldPressFreedomDay #WPFD2025 #PressFreedom #MediaAndAI #AIForMedia #FactChecking
1
1
13
2,517
World Press Freedom Day (2026) retweeted
ARUSHA: Balozi wa Uswisi-Tanzania, Nicole Providoli amesema Mijadala iliyofanyika katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2025 imeonesha faida na changamoto zinazoweza kusababishwa na Akili Manemba (AI), pia imegusia suala la uhakiki wa Taarifa ambalo nalo ni la muhimu Ameeleza kuwa AI inaweza kuwa msaada mkubwa katika stori za uchunguzi na kumsaidia Mwanahabari kupata taarifa nyingi lakini tukumbuke kuwa #AI inafanya kazi kutokana na taarifa zilizopo na sio ambazo zipo nje ya Mtandao Tutambue kuwa AI sio adui wala Mwokoaji, bali inaakisi kile kilichopo kwenye Ulimwengu wa Mtandao, ndio maana Uswisi inashirikiana na Wadau mbalimbali Tanzania wakiwemo; Serikali ya Tanzania, UTPC, SJMC na JamiiAfrica Soma jamii.app/WPFD2025DayTwo #WorldPressFreedomDay #WPFD2025 #PressFreedom #MediaAndAI #AIForMedia
2
3
1
32
5,113
World Press Freedom Day (2026) retweeted
ARUSHA: Mkurugenzi wa Masuala ya Kisekta kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Mwesigwa Felician amesema Mtandao wa Telegram hauna shida na unafanya kazi kama kawaida Amesema hayo baada ya kuulizwa swali na Mdau katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2025, kuhusu changamoto ya Mtandao huo akidai haufanyi kazi hadi anayetumia alazimike kutumia VPN Kuhusu malalamiko kwa Wadau kuhusu Kamati ya Maudhui kutotenda Haki kwa Wanahabari haswa Mtandaoni, amesema Kamati hiyo ipo Kisheria kwa lengo la kusimamia Maudhui na inaongozwa na Kanuni ambazo zipo kwenye miongozo ya Mamlaka katika kusimamia Sekta ya Habari Soma jamii.app/WPFD2025DayTwo #WorldPressFreedomDay #WPFD2025 #PressFreedom #MediaAndAI #AIForMedia
2
1
9
2,331
World Press Freedom Day (2026) retweeted
Kutoka maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari Duncan, #Arusha, #Tanzania: Waziri Mkuu, amewaeleza wadau wa habri kuwa serikali inapitia sera ya habari ya 2003 na kuandaa mkakati kuhusu akili mnemba; masuala haya yalijitokeza katika matakwa ya wadau wa habari.
3
8
217
World Press Freedom Day (2026) retweeted
Waziri Mkuu Majaliwa: Maadili, Ujasiriamali na Utamaduni Vipewe Kipaumbele katika Tasnia ya Habari Akizungumza kama mgeni rasmi katika maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika mkoani Arusha katika hoteli ya Gran Melia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliwakumbusha waandishi wa habari na washiriki wa maadhimisho hayo kuzingatia zaidi masuala ya maadili katika midahalo inayoendelea. Alisisitiza kuwa suala la maadili linapaswa kupewa nafasi ya kipekee ili kulinda heshima ya vyombo vya habari, huku akihimiza kwamba masuala ya uchumi pia yawe miongoni mwa ajenda muhimu za vyombo vya habari, ili kuhamasisha umma kujitegemea. Waziri Mkuu alizitaka taasisi za habari kuweka mkakati maalum wa kutoa habari ambazo zitalenga kukuza ujasiriamali kwa waandishi wa habari na jamii kwa ujumla. Alibainisha kuwa ujasiriamali ndio njia sahihi ya kuongeza kipato cha wananchi. Vilevile, alisisitiza umuhimu wa kulinda na kuendeleza utamaduni wa taifa, akieleza kuwa taifa lisiloenzi utamaduni wake ni taifa mfu. Aidha, alihimiza kuwa kongamano kama hili linapaswa pia kutoa nafasi ya kuonesha mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ikiwemo mchango mkubwa katika kuendeleza sekta ya habari. Waziri Mkuu aliwahimiza wanahabari kuonesha mahitaji ya mabadiliko ya sera na sheria mbalimbali za habari, akiahidi kuwa Serikali iko tayari kuyapokea maoni hayo na kuyafanyia kazi ili kuboresha zaidi tasnia ya habari nchini. Alikumbusha kuwa akili mnemba inapaswa kutumika kama nyenzo ya kuimarisha kazi za waandishi wa habari, siyo kikwazo. Aliahidi kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na vyombo vya habari na kulinda uhuru wao, kwani serikali inatambua na kuupa kipaumbele mkubwa uhuru wa vyombo vya habari. Waziri Mkuu Majaliwa alimaliza kwa kuwapongeza waandishi wa habari kwa kazi kubwa wanayoifanya, akiwataka waendelee kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia kanuni na sheria zilizopo. Aliwahimiza kutoogopa, kwani taifa linawategemea na linajivunia mchango wao. #WPFD2025 #AIandMedia #AI @TZWaziriMkuu @JamiiForums @unescodar @ElimikaWikiendi @WPFD_TZ @KSimbaya @ImsTanzania
5
8
202
World Press Freedom Day (2026) retweeted
โ€œNatamani sana kuona waandishi wa habari wa Tanzania wakibadilisha aina ya habari wanazoandika ambazo zitalenga kukuza uchumi wa Tanzania, ningekuwa na uwezo ningewabadilisha waone umuhimu huo. Habari ina uwezo wa kubadilisha aina ya maisha ya watu ki-uchumiโ€ - Paul Makonda - Mkuu wa Mkoa wa Arusha #WPFD2025 #Arusha #AIandMedia
3
7
251
World Press Freedom Day (2026) retweeted
ARUSHA: Wadau wa Habari kupitia Maazimio waliyoyatoa katika Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2025 wameeleza kuwa kadiri Akili Mnemba (AI) inavyoathiri Uandishi wa Habari, wanapendekeza kuwepo kwa Mifumo madhubuti ya Kitaifa ya kusimamia matumizi yake kwa Uwajibikaji katika Sekta ya Habari Wametoa wito kwa Serikali kuweka mazingira rafiki ya Kisheria na Kiutawala yanayowezesha Vyombo vya Habari na Wabunifu wa Maudhui kupata mapato kupitia michango ya Wanachama, Usajili, Malipo kwa kila makala au Michango ya hiari kutoka kwa watumiaji. Soma jamii.app/WPFD2025DayTwo #WorldPressFreedomDay #WPFD2025 #PressFreedom #MediaAndAI #AIForMedia
1
1
23
3,569
World Press Freedom Day (2026) retweeted
๐Ÿ“ข ๐Ÿ“ข #๐—ช๐—ฃ๐—™๐——๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ ๐—ถ๐˜€ ๐—ป๐—ผ๐˜„ ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—˜! Join global conversations on media freedom, ethical AI, and the future of journalism. Donโ€™t miss out! ๐Ÿ“บ Watch the live stream here: youtube.com/live/VwkwAJSkjnIโ€ฆ
8
12
1,596
World Press Freedom Day (2026) retweeted
Akizungumza katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Mwakilishi wa UNESCO Nchini Tanzania, Michel Toto amesema Uhuru wa Vyombo vya Habari ni nguzo muhimu katika Jamii za Kidemokrasia Ametoa wito kwa wadau wa Sekta ya Habari kuzingatia kuwa Uhuru wa Kujieleza, hasa katika zama za Maendeleo ya Akili Mnemba (AI), unakumbwa na changamoto mpya na tata. Pia, Usalama wa Waandishi wa Habari hasa Wanawake, unahitaji hatua za haraka na mshikamano wa wadau wote Aidha, amesema Uhai wa Vyombo Huru vya Habari uko katika hatari kubwa kuliko wakati wowote, hivyo kunahitajkai juhudi za makusudi kulinda na kuviimarisha Soma jamii.app/WPFD2025DayTwo #JamiiAfrica #JamiiForums #AIandMedia #PressFreedom #WPFD2025
1
1
11
2,241
World Press Freedom Day (2026) retweeted
ARUSHA: Wadau wamesema kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, wanasisitiza umuhimu wa kuhakikisha Usalama na Heshima ya Waandishi wa Habari Nchini, wakitoa wito kwa Serikali, Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Wanasiasa na Jamii kwa ujumla kuhakikisha Waandishi wanalindwa dhidi ya Vitisho, Unyanyasaji au Vurugu kipindi hiki nyeti Wadau wamependekeza hatua za Kitaifa na Miongozo ya Usalama zitekelezwe mara moja ili kuruhusu Waandishi wa Habari kufanya kazi katika Mazingira salama, bila hofu wala bugudha Wameeleza hayo katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2025, ambapo mapendekezo mengine ni Kupambana na Taarifa Potofu na Kukuza Uadilifu katika Uandishi wa Habari na Matumizi Sahihi ya Teknolojia Mpya Soma jamii.app/WPFD2025DayTwo #WorldPressFreedomDay #WPFD2025 #PressFreedom #MediaAndAI #AIForMedia
1
3
14
2,497