Pinned Tweet
Mwambie mwanao waliomtia Yusufu kisimani ni ndugu zake wa Damu, Na waliomuokoa ni wapita njia✍️🏾🙏
William's Daughter ⚘️ retweeted
Luka 12:15 Akawaambia, Angalieni, jilindeni na choyo, maana uzima wa mtu haumo katika wingi wa vitu vyake alivyo navyo......
William's Daughter ⚘️ retweeted
Usijute kufanya mema kwa mtu asiyejua kuthamini thamani ya wema wako haipungui kwa sababu ya tabia yake..
William's Daughter ⚘️ retweeted
Ukiwa na moyo mwema sana, muombe mungu ukupe ujasiri wakuweka mipaka zaidi ya hapo utatumika sana 📌📌
William's Daughter ⚘️ retweeted
Usiamini sana mambo ya mitandao huko kwa ground ndoa nyingi sana zimeshikiliwa na wanawake😁
Mtandaoni bla bla kibao ila kwenye familia nyingi wanaume wanatii na mambo yanaenda fresh tu
NB:Huu ni utafiti wa kweli kabisa📌
William's Daughter ⚘️ retweeted
Maisha yanataka uwe na malengo nidhamu ya kuyafuata na subira ya kusubiri matokeo yeyote..
William's Daughter ⚘️ retweeted
Zawadi nyingine kubwa maishani ni kupata mpenzi aliyevuka tamaa za kimwili na yupo kupambania maisha
William's Daughter ⚘️ retweeted
PREMIUM FABRIC AVAILABLE🧶🪡
SIZE: M - 2XL
PRICE: 30,000/=
LOCATION KARIAKOO MTAA CONGO JENGO LA RAHA RESTAURANT
CALL & DM WHATSAPP +255626560477.
William's Daughter ⚘️ retweeted
Siku nyingne ya kuendelea kuogopa Marafiki, sijui ma Bff,matakataka gani sijui Aiseeh.💔🙌
William's Daughter ⚘️ retweeted
Mwanaume ambae hajadate na Irene Wala jack aje atufungulie siku kwa maombi
William's Daughter ⚘️ retweeted
Asubuhi njema wakuu ☀️ Leo tunaamka na shukrani, tunapiga hatua zetu bila presha za kushindana na watu. Hata hatua ndogo ni mwendo. Mungu mbele, sisi na juhudi zetu nyuma. Twende tukajitafute, mambo yatajipa
William's Daughter ⚘️ retweeted
MAN TO MAN
Ikiwa Mpango Wako Ni Kumtoa Mama Yako
Kwenye Umaskini, Mungu Akubariki Kifedha 🙏
William's Daughter ⚘️ retweeted
Ni siku nyingine tena alotujalia Mungu kuiona, Ikawe ya Amani kwetu sote 🙏🏻.
Good morning to everyone.
William's Daughter ⚘️ retweeted
Good Morning Ladies and Gentlemen
It's just something that happens as you grow up. You realize it's less important to have more friends and it's more important to have real ones.






























