Asante kwa kufuatilia wiki hizi mbili. Hadithi ipi ilikugusa zaidi? Raundi ijayo itakuwa na video fupi. Nikuandalie mada gani? ๐
53
1) Mpe muktadha. 2) Gawa kazi kwa hatua ndogo. 3) Pima kabla ya kurekebisha. 4) Uliza 'kwa nini?' kabla ya kukubali. 5) Thibitisha kwa data halisi au hesabu ya mkono.
3
94
Wiki mbili za #HumanInTheLoop zimekamilika. Leo nashiriki kanuni 5 nilizojifunza kufanya kazi na AI. Fuatilia tweets za leo ๐
2
90
Kwa developers: kanuni za mradi wenu ziko wapi? Kichwani, kwenye README, au mahali AI inaweza kuzisoma? ๐
2
8
529
Tuliziandika kama 'skills': maelekezo ambayo AI inasoma kabla ya kugusa code ya ledger au stock. Bila kanuni, AI inaweza kubuni posting inayoonekana sahihi lakini si sahihi.
1
6
188
Kanuni mbili kati ya hizo: kila entry lazima ilingane (debit = credit), na entry iliyokwisha post haibadilishwi. Kurekebisha ni kwa reversing entry tu.
7
287
Kabla AI haijaandika mstari mmoja wa code ya fedha kwenye ERP yetu, tuliandika kanuni. Hiyo ndiyo sehemu muhimu zaidi ya kazi. #HumanInTheLoop
89
Nikiwa na watoto watatu wa kiume nyumbani, muda ni wa thamani. Kila saa ninayookoa kazini ina mahali pake.
2
95
Watu huuliza: kwa nini mtu wa tech anaongea kuhusu mazoezi? Jibu: AI inaweza kuandika code, lakini haiwezi kukupa nguvu ya kufanya maamuzi mazuri. Hiyo unaijenga mwenyewe.
3
165
Jumapili hii: 5km za kujiweka sawa. Kazi ya wiki nzima ilihitaji fikra nyingi, na kukimbia ndiko kunanisaidia kupanga mawazo. #HumanInTheLoop
55
Mpangilio sahihi: 1) Ifanye iwe sahihi. 2) Pima. 3) Boresha kasi. Namba ya haraka lakini isiyo sahihi ni hatari kuliko namba ya pole pole iliyo sahihi.
3
107
Nilirudi kwenye toleo la pole pole lakini sahihi. Kisha nikaboresha kasi hatua kwa hatua, nikilinganisha jibu kila mara.
104
Niliandika upya hesabu moja ya DAX ikawa fupi na ya haraka. Ilionekana nzuri sana. Kisha nikagundua inatoa jibu lisilo sahihi, bila kelele yoyote. #HumanInTheLoop
82
Pendekezo langu: hatua za mpito. Kuanza na blocks kwa Kiswahili, kisha daraja la lugha mbili, mwisho code kwa Kiingereza. Tunapima fikra, si kukariri syntax.
Wanafunzi wetu wana mzigo mara mbili: kuelewa mantiki ya programming, na kujifunza kwa lugha ya kigeni kwa wakati mmoja. Kiswahili kinaweza kupunguza mzigo wa kwanza.
1
15
342
Mwanafunzi akiwa na AI inayoandika code papo hapo, mtihani wa programming unapima nini? Hilo ndilo swali nililojadili kwenye mkutano wa AEAA Arusha. #HumanInTheLoop
84





