Leo nimepitia Mpesa nikapewa kadunda nijiekee namba na njoki. Kumrudishia anafinya next ananirudishia tena nieke ID. Hata nimeshangaa sana
Sikuhizi unaenda M-Pesa kudeposit, wanakuskumia katululu ujiekee number. Chekii Shiroo, na hiyo makeup yako mbaya, nimechoka na sijui kutumia simu ya button.