Kuna watu wawili hapa x washainiita fraudster. Nasubiri kuona hiyo kesi ya Mbiti na Asamoah mahali itafika alafu ata mimi nianze kujipigania . Walahi mtanilipa
as you become wiser you realize that hiyo swali ya "UKO NA KADI?" kwa supermarket huwa ni ya ujinga sana
Bro From Siaya retweeted
Replying to @XotheIceman @_Sakko
Well, lions and leopards are more active at night than mchana.
Bro From Siaya retweeted
Replying to @_Sakko
Well technically,wild animals ziko more asleep usiku than mchana . insects na reptiles ziko more active. So it's actually safer usiku moreso the cows zikitembea making noise,Huwa Zina scare the awake ones..
2 years ago kuna kijana ya a certain wealthy famous political figure from Ukambani alipewa over 200M ndio aondokee kusumbua family,yeye ni wale watoto huzaliwa out of wedlock alafu ikahappen ni yeye tu mtoto mwanaume ,kijana akanunua Nissan March kama 200 na kuingiza kwa uber balance akaamua kupiga nayo mwili pole Diani. Huskii after 5 months kijana alikuwa anauza hizo magari kama nguo za mtumba . Ungekuwa na kshs 300 unatoka na gari mbichi
West Africans, wherever they go, carry their culture with them from the food they eat and the music they listen to, to how they walk, talk, dress, and behave. But sasa, kuna Mkenya akivuka tu border kidogo, ashageuka mtu mwingine kabisa.
Kiambu road ndio place pekee Kenya unaweza ingia kwa Cafe uitishe chapati moja na chai moto kikombe moja alafu bill ikuje kshs 700 na hawacheki ata . Wezi sana .Kujeni K mall Hapa Kitchen by Limpopo mpate very good meals and drinks at fair prices .Usioshweee
Nikiwa Masai Mara niliona jamaa na over 500 cows buana . Alafu ni usiku kitu saa tatu ndio anaingia kwa msitu kuzipeleka kukula .Nkamuuliza reasons ..akaniambia that hiyo ndio time ng'ombe inakula vizuri sana na pia juu ya jua mchana ni ngumu kuzitembeza . Nkamuuliza kama haogopi wild animals akaniambia hizo ata zinamuogopa . Kutoka that day nimepatia kijana Masai Heshima zake . Ng'ombe more than 500 kwa msitu usiku !
Bro From Siaya retweeted
Replying to @JamesMburu38650 @_Sakko
Huyo jamaa ako sawa. Most Kenyan traders ni wezi tu
As a Nairobian sana sana mtu wa Eastlands na mboka ni Gikomba ama Marikiti ama Muthurwa .. kama haujui na haujajipata hii place basi wewe haujaipigwa na kutu ! 馃槀馃檶. Karibu mabeste wangu wote watoke na ukimwi hapa . Wengi walilimwa na Gonorrhea na Syphilis though . Hapa shughli inakuwanga below kshs 100 Bob. Majority ni Waria,Waswahili na Wakamba
women behave just the same . Ata househelp unaeza mwachia 1k midday na urudi usiku upate mayai mbili ,sukuma na ndizi tatu kama supper . Chesa
Whats left in my 2026 bucket list: seduce a fine, career-driven woman in her 30s, make her fall in love, plan the wedding together, then pull a Houdini on the big day. 馃槀馃槶








