😂😂😂😂😂😂😂😂
Replying to @m_shades_
Niliingia kwa shimo nikakatalia ndani nikilia. Haikuwa a big scene, but when I insisted sitoki, kuna boy alianza kurusha mchanga. Sijawahi toka mbio hivo. It's one of my Lowest moment as a man. Kwanza nilikuwa nakumbuka the shawty amekonda with an acne face machozi inaongezeka.
1
141












