muiruri retweeted
Niko na neighbour hufanya hii kazi ya miti ya power saw. Nashangaa mbona Leo ameigurumisha akiwa kwa nyumba kumbe ni mimi alikuwa anataka kunipeleka sayuni. Thanks to my caretaker ndiye amemwambia sio mti imefunga pavement ni my morning borner.
muiruri retweeted
hakuna hustle sijajaribu campus, nilianza na kuuza njugu jioni after classes, kiasi nikakuwa babafua, hiyo ikakataa. Nikabuy trolley ya smoki na mayai, nikakula stock, sikuona profit. Nikasema wacha nianze kupika chapo. Chapo ilikuwa imekauka ungeeza tumia during assassination. Nikatafuta stock ya snacks nikuwe natembeza. Nikaleta mrembo, kuamka asubuhi ameangusha biashara akabakisha pegs na jug. Sai nko hapa bridge ya carwash mii ni bega. Ukipita hapo tafadhali usiniekee chini ya 2soo. Otherwise, ruto must go!
muiruri retweeted
Unaomba beshte yako keja ukiwa na dem.Unafika kejani unashindwa kuoperate audio system/Tv.Inabidi umepigia mwenye keja akuje kama fundi😂
muiruri retweeted
Talking stage nishai recommendia yengs series kama tatu hivi refu ndo akimaliza kuwatch apate nlishamove on














































