Nchi ya Thailand na Myanmar zakumbwa na janga kubwa la tetemeko la ardhi mapema leo na kuacha athari kubwa ya miundo mbinu katika maeneo ya Bangkok na baadhi ya maeneo ya karibu zaidi na mji huo .
— Mji wa Bangkok umeharibika katika baadhi ya maeneo kwa kiasi kikubwa baada ya kukumbwa na tetemeko kubwa la ardhi ambalo limefikia ukubwa wa 7.7 Magnitude .
— Chanzo cha matetemeko mengi zaidi duniani hutokea au chanzo chake huanzia ndani ya tumbo la ardhi ambapo tectonic plates huwa na mienendo tofauti baina yao ambapo matokeo yake hupelekea misuguano mikubwa na mitikisiko mikubwa hupelekea kutingisha na kuchana chana tabaka la juu la ardhi (Earth Crust) .
— Nchi mbalimbali zimekuwa zikitafuta njia ya kupambana na majanga haya ambapo mojawapo ya njia ni kuwekeza zaidi katika anga kwa kuunda vifaa vyenye uwezo mkubwa kama (satellite) ambapo kazi yake kubwa zitakuwa ni kubaini ishara za awali zinazopelekea kutokea kwa majanga mabaya kama haya .
— Tafiti zinasema kuwa kama itatokea siku tetemeko la ardhi likapiga kwa nguvu kubwa ya kufikia 12 Magnitude basi tabaka la juu la dunia (Earth Crust) litachanika vipande vipande na huo pengine ndio utakuwa mwisho wa dunia yetu .
10,449
never forgive and never let someone into your life again who took your heart and broke it into pieces 😢
today the world don’t want burka anymore.
tell me if you have your Sister,your Mother or any Female relative of yours, wich way you’ll choose ?
A. or B
2
3
6,182
most Females don't answer video calls after 9pm because their face has been restored to factory settings....
but why ???
1
1
3,313
VOCHA ya mwanamke hutumika kwa Mtu au Mwanaume anayempenda pekee liweke akilini.
Ukiona Mwanamke analalamika kuhusu salio lake kaka kila anapoongea na wewe jiongeze.
Mwanamke akiwa na Mwanaume ampendaye hutamani kuongea naye kwa kupiga sio kubipu.
Mwanamke akikupenda atakupigia Kaka ✍️…
1
1,808
You're a man.
Kill the nice guy inside you.
Minimize your kindness.
This generation has no memory.
Become ruthless or get crushed ✍️…
JINSI YA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA [MPOX]
Mpox au [Monkeypox] haina tiba maalum, lakini mara nyingi, hujiponya yenyewe.
Maana yake ni kwamba watu wengi "hupona" bila matibabu ya hospitali.
Hata hivyo, dawa za kuua virusi kama Tecovirimat [TPOXX], zinaweza kutumika katika kesi kali au kwa watu wenye Kinga Dhaifu mno!
Tiba Asili za Kusaidia Mpox.














