𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@_zack255) header
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@_zack255) profile picture

Simba SC&Liverpool Fan | Mkulima | Alhamdulillah

Paris, France
Joined June 2019
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Allahmdullih πŸ™ @ccm_tanzania @ccm_zanzibar @uvccm_diaspora @uvccm_tz – at Mwanza, Tanzania
1
2
139
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako katika Serikali ya Awamu ya Sita. #TanzaniaYetu
1
1
1
55
SERIKALI YAFUNGUA FURSA MPYA ZA AJIRA ZA UALIMU Serikali imetangaza nafasi za ajira za ualimu kwa mwaka wa fedha 2026/27, zikilenga zaidi maeneo yenye upungufu mkubwa wa walimu. Hatua hiyo inalenga kuongeza nguvu kazi katika sekta ya elimu na kuboresha upatikanaji wa huduma za elimu nchini.
1
7
8
379
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Her Excellency, Dr. Samia Suluhu HassanπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
6
13
347
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Mwaka mmoja wa uongozi wenye dhamira, juhudi na matokeo yanayoonekana. Hongera Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwatumikia Watanzania kwa moyo wa kujituma, hekima na uzalendo. Kazi na utu, msingi wa maendeleo ya Taifa. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
1
1
53
WAZIRI MKUU AAGIZA TAASISI ZA UMMA ZITUMIE BIDHAA ZA NDANI β–ͺ︎ Ataka mianya ya sheria inayokwamisha matumizi yake irekebishwe β–ͺ︎ Asisitiza kuheshimiwa kwa sekta binafsi na mitaji ya wawekezaji WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka taasisi za umma kutumia bidhaa zinazozalishwa nchini katika ujenzi, ununuzi wa samani na mahitaji mengine, akisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kukuza viwanda, kulinda ajira na kuongeza mapato ya Taifa. Ametoa maelekezo hayo leo (Jumatano, Novemba 4, 2026), wakati akimwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa Sera ya Maendeleo Endelevu ya Viwanda ya Mwaka 2025 na Sera ya Maendeleo ya Jasiriamali Ndogo na za Kati ya Mwaka 2003 (Toleo la Mwaka 2025), katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Dodoma. β€œNa jambo hili lianzie serikalini. Hata serikalini tunajenga majengo, tutumie bidhaa zinazozalishwa hapa nchini,” amesema. Dkt. Mwigulu ametaja vioo, nondo, marumaru na samani kuwa miongoni mwa bidhaa zinazozalishwa nchini ambazo taasisi za umma zinapaswa kutumia, akisisitiza kuwa Serikali lazima iongoze kwa vitendo katika kutekeleza sera inazozitunga. β€œTumeweka sera, kwa hiyo lazima tuyaishi maneno yetu,” amesema. Aidha, Waziri Mkuu ametaka sheria ziangaliwe na kurekebishwa iwapo zina mianya inayokwamisha matumizi ya bidhaa za ndani au kutoa nafasi ya kukwepa utekelezaji wa maelekezo hayo. Amesema jitihada za kujenga viwanda haziwezi kuleta matokeo yaliyokusudiwa ikiwa bidhaa zinazozalishwa hazitumiki, kwa kuwa kukosekana kwa soko kunapunguza uzalishaji, ajira na mapato. β€œTutumie bidhaa zinazozalishwa nchini kwa kujiamini, kufurahia na kujivunia, ili kulinda viwanda vyetu, ajira na mapato ya nchi yetu, pamoja na kukuza uchumi,” amesema. Katika hatua nyingine, Dkt. Mwigulu amewataka watendaji wa Serikali kubadili mtazamo kuhusu sekta binafsi na kuitambua kuwa mshirika muhimu katika kujenga uchumi unaojitegemea. Amesisitiza umuhimu wa kuheshimu mitaji na uwekezaji, pamoja na kuendeleza mazingira yanayoiwezesha sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya nchi. Kuhusu utekelezaji wa sera zilizozinduliwa, Dkt. Mwigulu ameielekeza Wizara ya Viwanda na Biashara kuandaa mikakati thabiti, kufanya ufuatiliaji na tathmini, pamoja na kushirikiana na wizara za kisekta na sekta binafsi kuhakikisha malengo yanafikiwa. Pia, ameitaka wizara kusimamia na kuratibu minyororo ya thamani ili kuwezesha jasiriamali ndogo na za kati kuzalisha malighafi na kutoa huduma zinazohitajika viwandani. Akifikisha salamu za Mheshimiwa Rais, Waziri Mkuu amesema Serikali itaendelea kuimarisha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kuboresha miundombinu ya nishati, maji, barabara na reli ili kuongeza uwezo wa viwanda kushindana katika masoko ya kikanda na kimataifa. Kwa upande wake, Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amesema wizara imeandaa mkakati wa utekelezaji wa miaka kumi wenye shabaha za kila mwaka, ambazo zitafuatiliwa na kutathminiwa ili kuhakikisha sera hizo zinaleta matokeo. Amesema utekelezaji huo utawapa nafasi jasiriamali ndogo na za kati na kupanua masoko ya bidhaa zinazozalishwa nchini, hususan katika masoko ya kikanda na Afrika. Naye Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema sera hizo zinaendana na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 na ni nyenzo muhimu za utekelezaji wake. β€œTusije tukatoka hapa tukasherehekea tumepata sera. Sherehe kubwa ni kuibadilisha sera hii kuwa maisha bora kwa Watanzania,” amesema.
1
3
172
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
VIKAO VYA MSIMBAZI NA KITIMA NDIO VIMEMALIZA MWENDO WA CHADEMA NA LISSU. Mnakumbuka vikao vya msimbazi ambavyo viliongozwa na Fr Kitima kwa lengo la kuhakikisha Chadema inachukuliwa kuwa mali ya kanisa katoliki na Maria na Taasisi zake wakichukua dhamana na kuhakikisha linatokea. Vile vikao ndio vikamtumbukiza Lissu akagombee uenyekiti ili Mbowe atoke. Walivyofanikiwa, wakaanza mchakato wa kuhakikisha Lissu anaongoza kuiangusha serikali, kupitia Maria tukaona movement kisha wakapata fund ya kuanza kuwanunua diaspora ila sasa Lissu aliongeza chumvi na kukamatwa. Wakaona utani kuwa ataachiwa bila sheria kuendelea huku wakisonga na plan na ndio boom 29th October 2025. Kumbe wamemponza mwenzao, wakawa wanafikiri kesi itaisha kupitia mashinikizo ya nje kumbe wamesahau hii nchi inaongozwa na katiba haya tuko tukashuhudia mchuano mahakamani na wakawa wanaleta utoto, sasa imebaki siku moja tu hukumu ili apate umandela… wenzake huku nje ndio kwanza wanakaa kufanya vikao vya miradi mingine yeye ameponzeka kabisaa lol!!! Kitima, anakula tu kitimoto kila siku, Maria anaandika tu hakuna cha maana wanafanya.
9
9
854
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako katika Serikali ya Awamu ya Sita. #TanzaniaYetu
7
7
91
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipiga kura kwenye Kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 04 Novemba, 2026 katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chamwino.
3
3
507
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
MIKOPO YA BENKI: FURSA KWA WATANZANIA KUBADILISHA MAISHA YAO Vitabu vya mikopo vya benki nchini vimeongezeka kwa Sh4.14 trilioni ndani ya miezi mitatu, huku benki zikiendelea kurekodi ongezeko la faida.Ukuaji huo unaashiria kuongezeka kwa shughuli za ukopeshaji na
1
1
1
40
Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako katika Serikali ya Awamu ya Sita. #TanzaniaYetu
1
4
1
7
260
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
SERIKALI YAFUNGUA FURSA MPYA ZA AJIRA ZA UALIMU Serikali imetangaza nafasi za ajira za ualimu mwaka wa fedha 2026/27,zikilenga zaidi maeneo yenye upungufu mkubwa wa walimu.Hatua hiyo inalenga kuongeza nguvu kazi ktk sekta ya elimu kuboresha upatikanaji wa huduma za elimu nchini.
1
1
59
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipiga kura kwenye Kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 04 Novemba, 2026 katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chamwino.
1
1
63
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
HECHE JITOKEZE MWENYEWE KUKABILIANA NA GODBLESS LEMA Na Nulphin Charles, Katibu BAVICHA Serengeti Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Sikuwahi kutegemea kuwa ipo siku Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ataamua kumtumia mwanaharakati kama Mange Kimambi kumshambulia mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Kamanda Godbless Lema. Sina budi kukubaliana na ukweli huu mchungu. Tuhuma zinazotolewa na Makamu Heche dhidi ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama zilitakiwa kuwasilishwa katika vikao vya chama ambapo Makamu yeye ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili. Lakini kwa hofu na uthibitisho kuwa si tuhuma za kweli, ameamua kumtumia Mange Kimambi. Heche anadai Lema ni msaliti lakini anasahau ni Lema aliyempambania kukaa katika nafasi hii aliyonayo. Heche anafanya haya kwa kuwa anajua Lema akichafuliwa atakosa ushawishi ndani ya chama, hivyo wito wake wa kutaka chama kichukue hatua za kumnusuru Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu dhidi ya adhabu ya gereza anayoendelea kuipata utakoma. Kwa msiojua, Heche ananufaika na kitendo cha Tundu Lissu kukaa gerezani. Kuna mtu anahoji, kivipi? Ok. Kwa mnaokumbuka, Kikao cha Kamati Kuu kilichokaa Kigoma kilitoa hoja za matumizi ya fedha za chama bila kufuata utaratibu, ambapo Heche alitakiwa kujibu tuhuma mbalimbali za kujiamulia mambo na kujinufaisha yeye mwenyewe. Je, mnajua aliishia kujiumauma? Heche anajua fedha zipi zinaingia na azitumie vipi, hakuna wa kumuhoji. Utawala huu wa Heche ndio unamuwezesha kupeleka familia mapumzikoni Dubai, kununua magari mapya na kuishi katika hoteli za kifahari. Wito wangu ni kumtaka Heche atoke mwenyewe kumkabili Lema na sio kumtumia Mange Kimambi. Siku Heche akitoka kukabiliana na Lema ndio siku mtajua uozo wote wa Heche. Lema amekaa pale na faili zito anasubiri; sisi wengine yetu macho.
1
2
4
181
Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako katika Serikali ya Awamu ya Sita. #TanzaniaYetu
5
8
220
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo tarehe 04 Novemba, 2026, ameungana na wananchi wengine wa Chamwino kupiga kura ya kumchagua Mbunge wa Jimbo la Chamwino, mkoani Dodoma. Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Chamwino umefanyika ili kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Mheshimiwa Deogratius John Ndejembi.
6
7
257
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Siku njema kwetu wakazi wa Jimbo la Chamwino, mkoani Dodoma, ambapo leo tumejitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchaguzi Mdogo wa kumchagua Mbunge wa Jimbo letu. Aidha, ninawatakia kila la kheri wananchi wa Kata 11 za Tanzania Bara zinazofanya Uchaguzi Mdogo wa Udiwani leo.
40
69
1
168
11,358
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Kuna video ya dada mmoja ambayo kwa kweli ina mafundisho mazito sana kwa kila mwanamke anayetamani kuingia kwenye ndoa au ambaye tayari yupo ndani ya ndoa. Dada huyu ameamua kutumia uzoefu wake wa maisha, pamoja na makosa anayoyatambua kuwa yalichangia kuvunjika kwa ndoa yake miaka 14 iliyopita kuwa darasa kwa wanawake wengine ili wasije wakajikuta wakipitia maumivu aliyopitia yeye. Alitaja mambo matatu ambayo kwa mujibu wa uzoefu wake, yalichangia kuvunjika kwa ndoa yake: 1. DISRESPECT (KUKOSA HESHIMA) Heshima ni moja ya nguzo muhimu katika ndoa. Kumdharau mwenza wako, kumshushia thamani, kumfedhehesha mbele za watu au kupuuza hisia na mawazo yake kunaweza kuua upendo taratibu. Upendo unaweza kuwepo lakini pale heshima inapopotea, uhusiano huanza kupoteza msingi wake. 2. NAGGING (KULALAMIKA NA USUMBUFU WA MARA KWA MARA) Siyo kila jambo linahitaji lawama, malalamiko au mabishano. Malalamiko yasiyoisha, kukosoa kila kitu na kumfanya mwenza ajisikie kwamba hakuna jambo analofanya linalokutosheleza kunaweza kugeuza nyumba kutoka kuwa mahali pa amani na faraja na kuwa chanzo cha msongo wa mawazo. 3. UNGRATEFULNESS (KUTOKUSHUKURU NA KUTOTHAMINI) Kosa kubwa katika uhusiano ni kuzoea mema anayokufanyia mwenza wako mpaka ukayaona kuwa ni wajibu wake tu. Mtu anapojituma kwa ajili yako lakini juhudi zake hazitambuliwi, haoni kuthaminiwa. Shukrani hazimaanishi kuridhika na kila kitu bali kutambua na kuthamini juhudi za mwenzako huku mkijenga maisha bora pamoja. TAFAKARI Jambo la kuvutia zaidi katika simulizi hili siyo kwamba dada huyo amewahi kuachika bali ni ujasiri wa kutumia historia yake kama somo kwa wengine. Kwa sasa ni single mother, mama wa watoto watatu na kila mtoto na baba yake na ameamua kushirikisha wengine mambo anayohisi alipaswa kuyafahamu mapema. Hapa kuna fundisho kubwa kuwa; tusisubiri ndoa zetu zivunjike ndipo tujifunze umuhimu wa heshima, mawasiliano na kuthaminiana. Na pia tukumbuke, ndoa ni jukumu la watu wawili. Heshima, uvumilivu, mawasiliano na shukrani vinapaswa kuwa wajibu wa mume na mke siyo upande mmoja pekee. Kati ya mambo haya matatu, ni lipi unadhani lina uwezo mkubwa zaidi wa kuharibu ndoa, na kwa nini?
4
6
896
youtube.com/live/QjDB28PyvEU… WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo, Novemba 4, 2026, anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uzinduzi wa Sera ya Maendeleo Endelevu ya Viwanda ya Mwaka 2025
3
6
271