Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe) header
Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe) profile picture

Dentist. Healthy smiles start here 🦷, Walk in , Book your appointment Today πŸ“ž+255658950085

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2020
Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)
Mtu mzima ana meno 32 mtoto 20.. ukichukua hayo meno 32 yaliyotoboka tunaziba yenye ugaga tunasafisha , yanayouma sana tunaondoa uhai, yenye mapengo tunaweka ya bandia. Unakuwa mtu mwenye Afya Kinywa Na Meno 🦷 SMILECURE Karibuni sana Before πŸ‘‡ After πŸ˜πŸ‘‡ – at Dar es Salaam, Tanzania
87
106
2
542
76,319
Tabia yako ya kula Restaurant moja kila siku mpaka umefikia hatua ya kuletewa chakula offisini , kuna siku utaishi na mtu ambaye hukutarajia, utasomesha watoto wasio wako, utajenga mahali pasipo kwako kuna siku utavunja ndoa yako , Hii tabia imegharimu maisha ya watu wengi!.
95
Kipindi cha pili toa Henderson weka Estevao
5
181
Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. retweeted
74
103
7
971
38,351
Sababu moja inayomfanya mwanaume abaki na mwanamke ni submission na unyenyekevu na,sio utiii hata maandiko matakatifu yanasema hivyo !.
2
12
434
"Kabla ya Kuutaka Ushindi Dhidi ya Wengine, Jifunze kuishinda Tamaa, Hasira na Udhaifu wako. Hapo Ndipo Shujaa Huzaliwa"
2
18
435
Njia bora zaidi ya kuzuia maumivu ya meno, matundu (kutu) kwenye meno, maumivu na kuvuja damu kwa fizi, na hata harufu mbaya mdomoni Ni kusafisha meno mara kwa mara na kwa usahihi kila siku (pamoja na kupiga mswaki na kutumia uzi wa kusafishia meno - flossing) SRP
2
2
266
Umeme ni mbezi makabe tu au Tanzania nzima..!?
1
4
571
30 G/A in 60 Uefa Champions League games 23years Old , Mildfilder Jude Bellingham the Greatest Ever UK Player.
1
181
Njia moja ya kukuza kipato chako kwa kasi, watunze wazazi wako.
1
6
49
675
Je una utando mgumu / ugaga ?, Ukipiga mswaki chembe chembe za damu zinatoka kwenye fizi? Unatokwa na harufu mbaya kinywani licha ya kujitahidi kusafisha kinywa? , Unapata ukakasi au ganzi kwenye meno ? Suluhisho ni kusafisha kinywa chako , tazama mpaka mwisho kuonaπŸ¦·πŸ˜πŸ‘Œ
1
1
1
583
Mike Penders Clean Sheet, StandardπŸ‘Œ
4
218
Toa Red card kwa Martinez na Penalty.
213
Morgan Rogers Master class performance
3
177
Tazama mpaka mwisho jinsi meno bandia ya kudumu ( crowns and bridges ) yanafitishwa kinywani kuziba safari ya pengo / mapengo πŸ¦·βœ…οΈ
1
4
443
Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. retweeted
Kazi yangu ni kuuza perfume nzuri kwa watu wanaopenda kunukia lakini.
5
1
28
1,065
Kuna mtu anasema kuwa Tanzania tuna Gesi ya kutosha Mtwara na Lindi lakini mbona kila,siku mitungi ya Gesi ya kupikia inapanda bei ? Nimemwambia kuwa gesi tunayotumia kupikia inaagizwa nje ya Nchi ikifika πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ndyo inajazwa kwenye mitungi ila ya mtwara huwezi Jana kwenye mtungi
166
Leo tulipata Client ambaye alikuwa anashindwa kutabasamu kutokana na jino lake moja kuvunjika hivyo Kwa Kutumia Shofu Composite , Tumefanikiwa kurudisha tabasamu na muonekano wa asili sasa atajiamini πŸ˜ƒπŸ¦·βœ…οΈ Weka miadi yako πŸ“ž 255 658 950 085 πŸ“Dar es salaam , Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
1
2
4
870
Zamani kipindi tupo shule tukirudi likizo au tukiwa tunafanya Research au sherehe basi Garden- Posta ilikuwa sehemu nzuri ambayo tunakutana na wana wanaotoka kihesa , Mkwawa, Miyomboni , Isakalilo , Frelimo, Mkimbizi..mana ni Eneo la wazi Now naskia pamefungwa bila taarifaπŸ’”
1
1
156
Ukiwa kazini unaweza pata mkopo kirahisi kabisa Mkopo : 20,000,000/= Riba: 17% kwa mwaka Muda : Miaka 10 Malipo ya mwezi : 346,700/= Jumla ya rejesho Tsh 41, 711,436/= Riba pekee tsh 21, 711,436/=. Swali ni moja hii hela ukiichukua inaleta faida kuliko riba unayolipa!?
10
20
1
231
20,623
Wakuu tukubaliane Ile kauli ya maisha popote itumike na mtu ambaye hajawahi kufika mtwara..πŸ˜‚ ukishafika mtwara ndyo unagundua maisha sio popote.
1
1
5
484