barton tz ⚽️ (@bartonsupremacy) header
barton tz ⚽️ (@bartonsupremacy) profile picture

Content creator | Sports

Arusha, Tanzania
Joined August 2019
Photo by barton tz ⚽️ (@bartonsupremacy)Photo by barton tz ⚽️ (@bartonsupremacy)Photo by barton tz ⚽️ (@bartonsupremacy)Photo by barton tz ⚽️ (@bartonsupremacy)Photo by barton tz ⚽️ (@bartonsupremacy)Photo by barton tz ⚽️ (@bartonsupremacy)Photo by barton tz ⚽️ (@bartonsupremacy)Photo by barton tz ⚽️ (@bartonsupremacy)Photo by barton tz ⚽️ (@bartonsupremacy)Photo by barton tz ⚽️ (@bartonsupremacy)
Ni kwa namna gani jinamizi la injuries lina waandama Bayern Munich ? [ uzi 🧵 ]
1
4
12
251
Bayern walijikuta nyuma kupitia bao la mchezaji wa zamani wa Tottenham Hotspur, Mikey Moore, baada ya dakika 12 lakini Brown alisawazisha kabla ya kipindi cha mapumziko, na mchezo ukamalizika kwa sare ya 1-1. Bayern inabaki kileleni mwa msimamo lakini itazidiwa na Borussia Dortmund ikiwa watashinda dhidi ya Borussia Monchengladbach Jumamosi.
1
62
Bayern wana mechi saba zaidi kabla ya mapumziko ya msimu wa baridi Bundesliga, ikiwa ni pamoja na mechi za Ligi ya Mabingwa dhidi ya Lille na Slavia Prague. Your sport pundit Barton tz ✍️
31
Beki wa kulia wa Barcelona Xavi Espart amesaini mkataba mpya hadi 2030.
1
10
234
Je? William Saliba atakuwa tayari kucheza dhidi ya Newcastle ? [ kupata full update shuka huu uzi 🧵 ]
2
2
10
204
"Martin ni mchezaji muhimu kwetu," Arteta aliongeza. "Alichokifanya kwa klabu tangu alipojiunga kimekuwa njia ya kupanda ngazi, huku kukiwa na nyakati za uthabiti na kiwango cha ajabu katika nyakati baadhi ambazo zilionekana kuwa ngumu zaidi.
1
11
Arsenal wako kileleni mwa Ligi Kuu kuelekea safari ya Jumamosi dhidi ya Newcastle, pointi tano mbele ya Brighton & Hove Albion iliyo nafasi ya pili. Your sport pundit Barton tz ✍️
17