Hunja retweeted
Jamaa ukiachana na uwezo wake wa kupiga ngumi boxing, kipaji kingine alicho nacho ni kupqngilia maneno namna ya kuzungumza.
Hunja retweeted
Sikuwahi Kujua kuwa mtu anaweza kuwa amekushinda kila kitu na Bado anawa anaukunjia na kukufichia white.!!ππΎ
Hunja retweeted
Kuna siku message ya break up ilinipata nikichunga ng'ombe . Let me tell you, sijawai piga ng'ombe hivo
Hunja retweeted
Umetoka kuclose deal la kununua nyumba. Unarudi mlipopanga na kumuelezea kuwa mnahama. Anakuambia "Pesa ya kunipa nikasuke huna ila kununua nyumba unayo". π€π
Hunja retweeted
Kuishi pekee yako ni kazi sana.
Unatoka kazini, Unaoga, Unakula na unakaa kimya .
Kuongea ni keshoπ
Hunja retweeted
Asubuh kwa pastor Huruma nkone -VCCT MBEZI BEACH
Mchana kwa MWAMPOSA Tanganyika peakers
Jioni kwa Pastor TONY KAPOLA-millenium towers
Usiku small planet sinza kuwasikitikia watu wa motoni



















