Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ (@chenjeb04) header
Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ (@chenjeb04) profile picture

Mtoto wa Mungu | Mkulima wa ubuyu & Mlenda | Mume | Baba

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2011
Photo by Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ (@chenjeb04)Photo by Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ (@chenjeb04)Photo by Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ (@chenjeb04)Photo by Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ (@chenjeb04)Photo by Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ (@chenjeb04)Photo by Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ (@chenjeb04)Photo by Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ (@chenjeb04)Photo by Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ (@chenjeb04)Photo by Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ (@chenjeb04)Photo by Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ (@chenjeb04)
Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ retweeted
MABINGWA!!!
🚨 CRAZY SCENES: Arsenal fans have taken over the streets of Nairobi, Kenya, celebrating the club’s Premier League trophy success. 🏆❤️
1,076
7,425
191
28,259
913,386
Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ retweeted
Au walihesabu idadi ya mabango?
26
90
9
414
14,735
Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ retweeted
Kama Muisilamu, kama Mzanzibari naona aibu kwa alichokifanya Rais Samia! Kwa sababu Samia ni Muisilamu na Mzanzibari kama mimi basi nisingependa nihusishwe mimi au Wazanzibari wengine na Waisilamu kuwa sehemu ya UOVU wake katika uongozi wake kwa namna yeyote ile. Pole Tanganyika, Poleni Watanganyika.!
40
234
9
1,115
43,378
Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ retweeted
There is absolutely no justification for what is happening in TZ right now, the killing of our people, ABSOLUTELY NONE WHATSOEVER!! STOP THIS MADNESS OF THINKING OUR PEOPLE ARE YOUR SLAVES AND THEY CANNOT THROW OFF THE YOKE OF YOUR ENSLAVEMENT. YES THEY CAN AND THEY WILL, IN THE FULLNESS OF TIME, WHICH COULD BE NOW!
20
283
9
590
78,272
Sema @CRDBBankPlc mnachokifanya hakikubaliki. Huduma ni mbovu kwa kiwango ambacho hakijawahitokea, makato lukuki halafu ni kama hamjali, zaidi ya wiki mbili mnakata hela hazifiki kwa wahusika, tukiomba statement hamtoi. Mngekuwa mahali pengine kesi ambazo mngefunguliwa kwa usumbufu na hasara mlizosababisha kwa wateja sijui kama mngetoboa.. lkn kwakuwa tupo nchi ya maziwa na asali mko mrelax mnajua hakuna kitu kitatokea.
18
Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ retweeted
See the comment section 😂💔🇰🇪
200
965
72
8,765
1,042,978
Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ retweeted
Yani hii code nyepesi sana. Huyu mtu anaeongelewa hapa na Rose Ndauka ni kale kapimbi kama mama Stivu mengele (Stivu nyerere). Kwenye utawala huu wa Dikteta jike kamejigeuza na kenyewe sehemu ya utawala. Kanapelekesha sana wasanii wenzie. Yule MAFUFU ya uyole sio akili zake ni huyu PIMBI. Wewe pimbi stivu mengele endelea kuona kama hii nchi ya MAMAAKO na mtaishi milele. Siku inakuja hakuna rangi hamtaona. Endelea kutumia wasanii wenzio kama ngazi ya kujitwajilia uadilifu kwa hao VIBAKA. TUTAKUWEPO🫵😎
79
291
9
1,425
85,295
Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ retweeted
Starlink is lighting up the whole world, one nation at a time, except in Tanzania🇹🇿, where progress is burdened by visionless, brainless, incompetent, and broken leadership🤡
Starlink now available in Somalia! 🇸🇴
52
136
2
1,241
84,413
Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ retweeted
Huyu anaweza kuwa Fode Diallo, mchezaji wa miaka 13 wa timu ya U13 ya Barcelona. Ana rekodi ya kufunga mabao 96 katika michezo 30, karibu na mabao 97 yaliyotajwa. Habari za hivi karibuni zinasema yeye ni talanta wa kipekee katika akademi ya La Masia. Ingawa kuna tofauti ndogo (96 dhidi ya 97), ana uwezekano mkubwa zaidi kuwa yule aliyetajwa.
1
2
38
9,522
Congratulations to our very own Tanzanian Gabriel Geay for winning today's Daegu Marathon. (Unofficial ~ 2:05:18). – at Nowon-gu, Republic of Korea
106
Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ retweeted
Full interview with Lt. Gen. Kayumba Nyanwasa, a Rwandan Tutsi refugee who survived an assassination attempt by Kagame. He says the problem of the Great Lakes region is Kagame.
292
1,632
179
3,138
393,492
Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ retweeted
3
2
4
794
Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ retweeted
VIDEO: Rais wa Kundi la waasi wa M23 Bertrand Bisimwa ametoa wito kwa waandishi na vyombo vya habari kuwa huru kufanya kazi katika mji wa Goma na maeneo mengine yanayoshikiliwa na kundi hilo. Akizungumza na waandishi wa habari Bisimwa ameeleza kuwa waandishi hawana sababu ya kuwa na hofu hata wakati wa vita mwanachama yeyote wa kundi hilo hatoweza kumshambulia mwandishi wa habari. Aidha amesisitiza wakati wa utoaji wa habari ni muhimu waandishi kuzingatia miiko ya uandishi na kutoa habari kwa kuzingatia usawa kwa pande zote. Pamoja na hayo amewaambia waandishi wa habari ikitokea kuna yeyote atakayewasumbua kutoka katika kundi la M23 basi watoe taarifa kwa Bisimwa ili amshughulikie.
40
71
7
622
69,050
Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ retweeted
Makamu Mwenyekiti HECHE JOHN Akitema Cheche! Kamwambia Wasira TUNDU LISSU Sio Size Yake Lissu Atanyooka Na SAMIA
15
130
2
676
23,949
Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ retweeted
Replying to @HecheJohn
...
5
25
1
132
15,913
Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ retweeted
Ni ujumbe muhimu kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)/ tunu ya Taifa & Mwl. Nyerere's legacy.
21
153
2
726
36,727
Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ retweeted
Naungana na wengine kuwapongezeni CHADEMA kukamilisha uchaguzi wenu kwa uwazi na ushindani wa hoja na kuibuka wamoja na imara zaidi. Kila mmoja wenu kaibuka mshindi wa kile alichokipigania hadi mwisho. Pongezi kubwa kwa wanachama wa majimboni tuliowashuhudia mki wakumbusha wajumbe wenu chaguo lenu ni lipi yaani kudai utaratibu wa PLEDGED DELEGATE kama ilivyo Marekani. Mfumo huo ukichukuliwa hofu za rushwa kwa wajumbe zitatoweka kabisa na kuimarisha demokrasia kwani mjumbe anaingia ukumbini kutangaza kura kwa mujibu wa maoni ya wanachama wake. Sio kujiamulia. Hiyo ndiyo demokratia ya kweli. Tuendelee kujifunza. Tutafika. Umoja na mshikamano kwenye picha ya waheshimiwa Lissu na Mbowe mkipongezana ni mfano wa kuigwa kote nchini. Tunajenga nyumba moja. Tusigombanie fito.
170
412
26
2,618
130,230
Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ retweeted
At 26, he launched a website that would change Bitcoin forever. At 29, he was sentenced to die in prison. After 10 years behind bars, Donald Trump just pardoned him. Here's the wild story of Ross Ulbricht, Bitcoin's most controversial pioneer:
1,898
18,836
1,140
160,787
33,800,645