
Global Cross border Crop Sourcing and Traceability platform powered by @MazaoHub
Global
Joined June 2013
- Tweets71
- Following547
- Followers629
- Likes76
Pinned Tweet
#CROPSUPPLY: A Global B2B Crop Sourcing Platform
Smart Sourcing. Verified Supply. Guaranteed Traceability.
#cropsupply is @mazaohub's flagship global platform for crop sourcing, built specifically to meet the needs of large buyers, food processors, exporters, millers, and institutions across Africa, Asia, Latin America, US , Europe and the world.
It enables B2B transactions by matching verified producers (individual farmers, cooperatives, or aggregators representing rural farmers ) with buyers looking for quality, traceable, and contract-based supply chains.
What makes #CropSupply unique:
#Global Access: Buyers can source from anywhere in the world with real-time supply visibility.
#B2B Infrastructure: Supports large-volume deals, contract farming, cross-border compliance, and escrow-based payments.
#Real-Time Supply Monitoring: Know crop availability, harvest forecasts, and planting areas by region, district, village, and warehouse.
#Traceability Engine: Link every order back to the farmโsoil tested, input verified, monitored by AI and local agronomists.
#Pricing Intelligence: Get live market trends, historical averages, and predictive analytics.
#Compliance Ready: Integrated tools for food safety, certification, export documentation, and contract performance tracking.
#Marketplace + Operations System: Unlike basic online marketplaces, #cropsupply is a full supply chain operating system.
Buyers use #cropsupply to:
Pre-book harvests from digital cooperatives, rural farmers represented by farmer excellent centers and commercial farms
Receive updates on crop condition, input usage, and harvest milestones
Manage logistics and aggregation through @mazaohub farmer excellent centers partners
Validate deliveries with GPS, photos, and documentation
Reduce procurement risk while supporting smallholder integration
#CropSupply is powered by the same agronomy data from @mazaohubโs extension and soil services, making it the only platform where whatโs grown is fully traceable to how it was grown.
๐พ AGIZA MAZAO (CROP SUPPLY CENTERS - CSC): The Physical Engine Behind CropSupply
Agiza Mazao is Swahili for "Order Crops" โ and that's exactly what Crop Supply Centers (CSCs) help buyers do.
These are physical aggregation and fulfillment points established by MazaoHub, often embedded in:
Farmer Excellent Centers (FECs)
Cooperatives and AMCOS
Strategic ward-level locations and local markets.
CSC services include:
Pre-harvest aggregation: Based on crop forecasts and planting data
Bulk collection and weighing: With digital scales, moisture meters, and sorting tools
Traceable packaging and tagging: Including QR codes and origin info
Quality verification: Including inspection tools and digital compliance forms
Buyer coordination: Matching trucks, agents, and timing with real-time dashboards
Why CSCs Matter:
They create rural hubs that bring structured markets to the farmerโs doorstep.
Buyers can see availability and place orders confidently, knowing that aggregation, sorting, and verification are handled professionally.
Farmers avoid post-harvest losses and negotiate better prices.
Together, #CropSupply and Agiza Mazao (CSCs) form a seamless digital + physical system that bridges farmers and B2B buyers globally.
Whether you're in Dar es Salaam, Nairobi, Kigali, Dubai, Germany , US , China or Mumbaiโyou can source clean, verified produce directly from African farmers with zero guesswork.
Powered by @mazaohub
@HusseinBashe
@SuluhuSamia
CropSupply.com retweeted
May every effort we put into our work, every seed we plant in these #incredible people, multiply beyond measure. May our farmers finally enjoy the fruits of their hard work, their #sweat, and their #sacrifices.
We #dream of seeing their lives truly transformed โ to see them rise, thrive, and be proud of what theyโve built.
And we want to be part of making that change happen, every single day.
๐ Letโs build a future where agriculture works for everyone.
๐ Learn more: mazaohub.com
๐ฉ Get in touch: [email protected]
God bless our farmers๐ฑ
God bless the MazaoHub team.
God bless Africa.
CropSupply.com retweeted
Kama kawaida, nimetoka kumaliza ziara yangu ya mashambani kwenye mikoa miwili yenye nguvuโSingida na Manyara. Nimetembelea Kliniki zetu za Kilimo (FECs) za @mazaohub nimekutana na timu zinazosimamia wakulima, na wadau walioko kwenye uhalisia wa kazi hii. Hizi si safari tu. Ni ukumbusho. Zinaniunganisha tena na ardhi, mapigo ya moyo ya dhamira yetu, na watu halisi ambao maisha yao ndiyo sababu MazaoHub ilianzishwaโkuyabadilisha kwa vitendo.
Lakini bado nina mikoa 14 mbele, kwa hiyo safari inaweza kunichukua mwezi au zaidi.
Sasa naelekea Mwanzaโmoyo wa Kanda ya Ziwa ya Tanzania. Na safari hii ina uzito wa kipekee. Mwanza ni nyumbani kwa kituo chetu cha pili cha Agiza Mazao (Crop Sourcing Support Center โ CSSC) vya @cropsupply baada ya kile cha kwanza Tandale, Dar es Salaam. Vituo hivi si mawazo au ndoto. Vipo. Vinafanya kazi. Na tayari vina toa huduma ya kuwezesha wafanyabiashara kununua Mazao kutoka vijijini.
Katika MazaoHub.com hatujajenga tu jukwaaโtumejenga mfumo jumuishi wa kilimo unaosikiliza, kujifunza, na kuchukua hatua. Tunawawezesha wakulima kupitia huduma za ugani za kidigitali, vipimo vya udongo kwa wakati halisi, msaada wa karibu wa kilimo kupitia App yetu na timu zetu za maafisa ugani mashinani. Lakini hatuishii kwenye uzalishaji tu.
Tunaenda mbele zaidiโkuwaunganisha wakulima na masoko kupitia CropSupply.com, ambayo kwasasa ni global inayotegemea data kutoka kila kijiji, kila ghala, kila Kliniki ya Kilimo, kila mkulima. Mfumo wa mikataba, unaofuatilika, wa kuvuka mipaka, na unaoweza kupanuka. Ndiyo maana Mwanza ina umuhimu mkubwa. Hii si uzinduziโni upanuzi. AGIZA MAZAO yetu Mwanza ipo kazini, na ipo kusaidia wanunuzi na biashara za mazao kununua mazao kwa uhakika, uwazi, na kwa maadili.
Lakini hatuwezi kufanya haya peke yetu.
Tunahitaji washirikaโna nasema haya kwa unyenyekevu mkubwa. Tunahitaji maafisa uganiโwa kujitegemea au wa mashirika. Tunahitaji agro-dealers, waendeshaji wa maghala, vyama vya ushirika, viongozi wa masoko ya ndani, wanunuzi wa mazao, kampuni za chakula, na taasisi za kifedha. Tunahitaji Wizara za kilimo na taasisi za utafiti kutoka kila pembe ya Afrika. Hii si tu kuhusu teknolojia. Ni kuhusu imani. Ni kuhusu watu.
@mazaohub haikuwahi kuwa kampuni ya kawaida. Ni harakati ya kuwafanya wakulima waonekane, waheshimiwe, na washinde. Kila safari kama hiiโkila barabara yenye vumbi, kila mkono wa salamu, kila hadithi chini ya mtiโninakumbushwa kuwa tunazidi kuikaribia Afrika tunayoiamini.
MazaoHub sasa ina Kliniki za Kilimo 15 Tanzania, na 3 za majaribio: Musanze Rwanda, Kakamega Kenya, na nyingine moja Zambia. Ndoto yetu ni kusambaa barani Afrika, tukijenga mfumo jumuishi wa kilimo kwa wakulima na wadau wote wa kilimo. Ungana nasi. Tunatoa shukrani za dhati kwa wawekezaji wetu na familia nzima ya MazaoHub.
CropSupply.com retweeted
๐ฟ Kilimo bila maarifa ni kazi ngumu!
Kesho, usikose nafasi ya kujifunza na kupata majibu ya moja kwa moja kutoka kwa wataalamu wa MazaoHub!
TECH & TOUCH: Maswali na Majibu na Maafisa Ugani
๐ Tarehe: 28/06/2025
๐ Muda: Saa 4:00 - 5:00 asubuhi
๐ Mahali: Twitter Space (X)
๐ Host: @Ms_alexa_tz
๐ Bonyeza hapa kushiriki: xitter.gq/i/spaces/1PlKQMmEdQMKE
#MazaoHub #KilimoBora #TechAndTouch #UganiBilaMipaka
"Usikose Jumamosi hii, nafasi ya kupata majibu ya changamoto zako za kilimo moja kwa moja kutoka kwa wataalamu." ๐พ
๐ xitter.gq/i/spaces/1PlKQMmEdQMKE
CropSupply.com retweeted
Highlights from earlier today at the #CEO Roundtable the MazaoHub team was ready and energized to share insights with stakeholders on how our model works, how they can get involved, and how we can build stronger partnerships together.
๐ฑ The forumโs theme, โMobilizing Resources for the Green Transition,โ aligns perfectly with our mission to drive sustainable change through innovation and collaboration.
#MazaoHub #GreenFinanceForum #SustainableAgriculture #PartnershipsForImpact #GreenTransition #CEOroundtable2025
CropSupply.com retweeted
Batch ya 3 ya Soil Kits imekamilika! Zikiwa Soil Kits 390 .
Zimezalishwa kwa ubora wa hali ya juu na sasa zipo tayari kuanza kazi ya kuleta mapinduzi ya kilimo chenye tija shambani! Hizi siyo tu vifaa, bali ni nguvu mpya ya mabadiliko kwa kila afisa ugani na kila mkulima!
๐ฑ Unajua hii ni fursa ya dhahabu kwa maafisa ugani binafsi? Ndiyo, tunakukaribisha kuwa sehemu ya familia ya MazaoHub kama Afisa Ugani wa Kujitegemea. Tunakupa:
โขMtandao wa wakulima walio tayari kupata huduma ya ugani kuanzia maandalizi ya shamba mpaka mavuno.
โขUnatoa huduma ya upimaji udongo kwa kutumia MazaoHub Soil Kit.
โขUnakusanya ada kutoka kwenye mtandao wa wakulima.
โขTunangawana asilimia ya mapato kama washirika halali wa mabadiliko ya kilimo.
๐ Hii ndiyo "Uber ya Maafisa Ugani" โ uhuru wako wa kufanya kazi, kipato chako, na nguvu ya teknolojia yako mikononi! Na sasa, tunazindua mfumo wa kisasa zaidi wa ugani:
โ
Mpango wa Biashara wa Mkulima โ unatengenezwa kwa sekunde kupitia data ya udongo, pembejeo, aina ya zao, mazingira na eneo lake.
โ
Maarifa ya Zao Kulingana na Mazingira โ hatua kwa hatua, hadi mavuno ya mwisho.
โ
Ufuatiliaji wa Afya ya Mimea โ kila hatua inafuatiliwa, kwa usahihi wa kisayansi. Kila mmea unahudumiwa kama mwanadamu mpaka mavuno.
โ
Rekodi za Mashamba & Faida/Hasara โ zinawekwa kiotomatiki, mkulima anaona kila kitu.Yani ni kama uhasibu kwenye kilimo
โ
Baada yah apo, taarifa zote za uzalishaji zinaunganishwa Kwenda @CropSupply na kumwezesha mkulima kupata masoko moja kwa moja. Yaani mkulima hapotezi tena, bidhaa zake zinapata soko zuri kwa bei nzuri!
๐ผ Kila mtu anafaidika:
โขMkulima โ anapata maarifa, mavuno mengi, na soko la uhakika lenye uwazi.
โขAfisa Ugani โ anapata kipato halali kila mwezi kwa chanzo cha mabadiliko
โขAgrovet โ anauza pembejeo zaidi na kujua mafanikio ya pembejeo zake
โขMazaoHub โ inasimamia kwa pamoja, kwa usawa, kwa uwazi.
๐ค Karibu kwenye familia ya MazaoHub โ ambako kila hatua ya mkulima ni muhimu, na kila mshirika ni sehemu ya mabadiliko ya kweli!
๐ Kilimo Bora, Teknolojia Bora, Maisha Bora.
Mawasiliano : 0699365987. ... [email protected]
CropSupply.com retweeted
๐๐๐๐๐๐
๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐
๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐?
Mazao kama nyanya, vitunguu, Karoti au pilipili hoho vyote vinapatikana kwa urahisi kupitia CropSupply.com kwa mfumo wa kidigitali unaoonesha:
๐ Ziko wapi
๐ฐ Bei halisi sokoni
๐ฆ Kiasi kilichopo kwa mkulima
๐ฑ Zimelimwa vipi (organic/conventional)
๐ Traceability report fuatilia hadi shambani
๐ Chaguo la usafiri kwa mazao yako
Sahau kukisia! Biashara sasa ni ya uhakika, kwa uwazi na usalama.
Nunua moja kwa moja kutoka kwa mkulima wa Tanzania kwa njia ya kisasa!
Imewezeshwa na @CropSupply kwa ubunifu wa @mazaohub
#CropSupply #MazaoHub
CropSupply.com retweeted
Mkulima Kama ungeweza kuuza mazao yako nje ya nchi, ungependa kupeleka wapi?
Uza Mazao yako na Soko la uhakika kabisa la kidigitali kupitia CropSupply.com unauza mazao yako bila dalali
Cc ๐ฒ @mazaohub | @CropSupply
#MazaoHub #CropSupply
25%๐ฐ๐ช Kenya
21%๐ฎ๐ณ India
4%๐ฌ๐ญ Ghana
50%Popote penye bei nzuri
107 votes โข Final results CropSupply.com retweeted
Lima, kutana na mteja wa mazao yako hapa @cropsupply bila mtu wa kati.
Biashara ya mazao haijawahi kuwa wazi hivi. CropSupply.com inaleta bei halisi, ubora halisi, wakulima halisi.
Alibaba ya Kilimo ya Afrika ni CropSupply.com powered by @mazaohub.
CropSupply.com retweeted
MazaoHub imeunda njia ya uhakika kwa wakulima kuuza mazao yao ndani na nje kidijitali kupitia maghala yaliyosajiliwaโkupitia CropSupply.com
Hii si porojo, ni mfumo mpya wa kuunganisha wakulima wa Afrika na masoko ya dunia nzima.
@CropSupply
#CropSupply #MazaoHub
CropSupply.com retweeted
๐ผ๐๐ง๐๐ ๐ ๐๐ข๐๐๐ฃ๐๐๐ ๐ ๐๐ช๐ง๐๐จ๐ ๐๐ฅ๐ฎ๐ ๐๐ฌ๐๐ฃ๐ฎ๐ ๐ฝ๐๐๐จ๐๐๐ง๐ ๐๐ ๐๐๐ฏ๐๐ค
Wengi walidhani haiwezekani jukwaa kubwa la masoko ya mazao linalotumia data halisi kutoka shambani, likiwa limetengenezwa na kuendeshwa barani Afrika.
Lakini sasa linawezekana tunayo @CropSupply hii ni Alibaba ya mazao ya Afrika
Kupitia CropSupply.com, kama wewe mtu wa hoteli, kiwanda au msindikaji, sasa unaweza kuagiza mazao moja kwa moja kutoka kwa mkulima aliye kijijini, kwa uwazi, bei halisi na ubora unaofuatiliwa.
Powered by @mazaohub
๐ Wasiliana nasi: 0794 236 876
#CropSupply #MazaoHub
CropSupply.com retweeted
Fikiria mnunuzi kutoka China akinunua Muhogo kutoka Rukwa moja kwa moja kupitia CropSupply.com
Hii ndiyo nguvu ya @MazaoHub-inaunganisha dunia na mkulima wa kijijini!
Wasiliana nasi kwa simu ๐0794236876
Ama tucheki DM @CropSupply
@mazaohub
#CropSupply #MazaoHub
CropSupply.com retweeted
Replying to @royalmediatz @mazaohub @CropSupply @ALugandu @bajabiri @kipepe123 @just_toksik @BarakaMaviatu
Itamrahisishia mkulima soko.
CropSupply.com retweeted
Replying to @royalmediatz @mazaohub @CropSupply @ALugandu @bajabiri @kalage_jr @kipepe123 @just_toksik @BarakaMaviatu
Wakulima hapa washindwe wao tu
CropSupply.com retweeted
๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐?
Ondoa shaka, Usisubiri mnunuzi afike shambani kwako sasa Kupitia @CropSupply, mnunuzi kutoka Kenya, Ghana, Brazil hadi India anaweza kuona mazao yako, kupata taarifa zako za shambani (traceability), na kuagiza papo hapo kupitia CropSupply.com
1. Hakuna madalali
2. Malipo salama
3. Biashara ya moja kwa moja mkulima na mnunuzi
Hii ni Alibaba ya mazao, na ni ya kwetu Waafrika!
@mazaohub ndio injini inayoiendesha mapinduzi ya kilimo yameanza!
๐ Piga: 0794 236 876
#CropSupply #MazaoHub
CropSupply.com retweeted
Replying to @chapo255 @JohnieZeBest @Gery_Gerrald @athanas_pius @adili_255 @Balyx_ @Classickizito @DadaConso @DenzoMaesTro @just_toksik @kalage_jr
Mkulima anasimamiwa kila hatua ya kilimo chake Kwa huduma za ugani kidijitali akiwa matched na Afisa ugani msimu mzima. Kuanzia afya ya udongo, afya ya mimea, na hata kuunganishwa na mikopo na mwisho wa mavuno Mazao yake yanaingizwa kwenye @CropSupply Kwa masoko
CropSupply.com retweeted
Unahitaji parachichi, tangawizi, vitunguu au mpunga?
CropSupply.com inaonyesha wapi yapo, bei yake, na kiasi kilichopo.Yamelimwaje? Yana ubora gani?Usafiri na mengine kidijitali.
Hakuna kubahatisha tena.
Wasiliana ๐0794236876
Cc: @mazaohub
#CropSupply #MazaoHub


































