DARNEWS TV (@darnewstv) header
DARNEWS TV (@darnewstv) profile picture

We are #live and updated

Joined June 2021
Photo by DARNEWS TV (@darnewstv)Photo by DARNEWS TV (@darnewstv)Photo by DARNEWS TV (@darnewstv)Photo by DARNEWS TV (@darnewstv)Photo by DARNEWS TV (@darnewstv)Photo by DARNEWS TV (@darnewstv)Photo by DARNEWS TV (@darnewstv)Photo by DARNEWS TV (@darnewstv)Photo by DARNEWS TV (@darnewstv)Photo by DARNEWS TV (@darnewstv)
Mkazi wa Kijiji cha Kahulungu, kata ya Uyui katika Manispaa ya Tabora, Boniface Maganga, ameeleza namna alivyopata mabadiliko makubwa ya maisha baada ya kunufaika na mkopo wa shilingi milioni 10 uliotolewa na serikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia
84
Aliyeshika nafasi ya tatu katika kura za maoni za Jimbo la Kawe, Hemedi Nkunya, amepongeza na kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia ushiriki wake kama mgeni rasmi katika Kongamano la Mama Lishe na Baba Lishe Tanzania lililofanyika leo.
92
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali itaendelea kuchukua hatua za kuweka mikakati mahususi ya urasimishaji na uwezeshaji wa biashara ndogondogo, ikiwemo kundi la Mama na Baba Lishe, ili waweze kuwa sehemu muhimu ya utekelezaji
1
57
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Mama na Baba Lishe ni kundi muhimu linalochangia kwa kiwango kikubwa maendeleo ya taifa kupitia huduma ya chakula kwa wananchi wa kada mbalimbali.
55
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi mitungi ya gesi kwa mama lishe kama sehemu ya mpango wakuwawezesha wajasiriamali wadogo na kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia katika kongamano la mama lishe na baba lishe
1
48
Picha tofauti za Mama lishe na baba lishe wakonekana wakiwa na shauku na nyuso za furaha na wengine wakiwa kwenye maandamano na mabango yenye ujumbe wa shukrani na matarajio yao huku wakisubiri ujio wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,
79
Mwenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa nchi za Kusini mwa Afrika (SARPCCO) ambaye ni Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) wa Malawi Richard Chakupaleza Chikoko Luhanga anatarajiwa kufanya ziara rasmi ya siku nne nchini Tanzania kuanzia Aprili 20, 2026.
1
2
47
Mwenyekiti wa umoja wa mama na baba lishe Tanzania (UMALITA), Havijawa Omary, ametoa wito kwa watanzania kusimama imara katika kulinda amani na utulivu wa taifa. Akiwahimiza kuepuka kurubuniwa na maneno ya uchochezi au migogoro ya kisiasa.
2
41
Mradi wa upanuzi wa awamu ya tatu wa skimu ya umwagiliaji ya Idudumo umeanza kuonyesha matokeo chanya kufuatia uwekezaji wa takribani shilingi bilioni 36.7, ukiwa na lengo la kuongeza uzalishaji wa mazao na kuboresha maisha ya wakulima katika Nzega.
1
32
Rais Mstaafu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS Dkt.Edward Hossea amesema Tume ya Jaji Chande ni daraja la kuiotoa Tanzania kutoka kwenye matatizo ya Oktoba 29 ambayo yalisababisha kugawanyika kwa taifa
1
1
117
Imeelezwa kuwa amani ni miongoni mwa rasilimali muhimu zinazohitajika kuanzia kwenye ngazi ya Familia hadi Taifa ili kufanikisha jitihada mbalimbali za maendeleo zinazofanywa na mtu mmoja mmoja, jamii na Taifa kwa ujumla, wito ukitolewa kwa kila Mtanzania kuwa mstari wa mbele
28
Wanufaika wa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Mkoani Tabora, wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kubadilisha maisha yao kiuchumi pamoja na kutimiza ndoto zao za kuwa wafanyabiashara wakubwa
1
40
Aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo amesema ana matumaini makubwa na Tume ya Jaji Chande inayochunguza Matukio ya Vurugu wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
1
1
87
Salum amesisitiza kuwa Tume hiyo ni ya Watanzania wote kwani inakwenda kutibu majeraha yaliyokotea na amesisitiza umuhimu wa Maridhiano pale ambapo tume hiyo itakuwa imetoa majibu yake.
1
1
57
Amani katika jamii na Taifa kwa ujumla imetajwa kama msingi mkuu wa maendeleo na uhuru katika jamii yoyote, ikielezwa kuwa bila amani, juhudi za kujenga uchumi na kuimarisha uhuru wa mtu binafsi haziwezi kufanikiwa kwa sababu mazingira yanakuwa na hofu na migogoro
1
31
Jaji Mkuu Msitaafu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amesema kuwa kuundwa kwa Tume huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Vurugu zilizotokea kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 ni taswira nzuri ambayo nchi imeonesha kuwa inao uwezo wa kushughulikia
58
Mkuu wa zamani wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, Ernest Mangu, ametoa wito kwa Watanzania kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani na badala yake kuendeleza mshikamano wa kitaifa, akisisitiza kuwa amani ni rasilimali muhimu kwa maendeleo ya nchi.
33
Watanzania wamepongezwa kwa kuendelea kushikamana, kuipenda nchi yao na kudumisha amani, utulivu na usalama, suala ambalo limetajwa kama ukomavu wa jamii hasa kipindi cha matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025,
1
19
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally ameonesha kuridhishwa na utendaji wa Tume huru ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2026,
35
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dkt. Mahimbo Mndolwa amesema kuundwa kwa Tume huru ya kuchunguza matukio ya Uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ni tendo la ukomavu na busara na maamuzi sahihi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
49