Dzene Asangama (@dasangama) header
Dzene Asangama (@dasangama) profile picture
Joined September 2015
Ukiona unawezo kufanya kila kitu wewe mwenyewe basi ujue maono yako ni madogo sana. Ili kufanikiwa katika mambo makubwa kwenye Maisha ni lazima ujenge timu ya watu utakaosimama nao. source: Kwenye kitabu cha @jnanauka Mifumo inyatengeneza watu wakuu wanaotawala #uongozi #Dar
1
88
Dah! Have you been reading my mind? 😂😂 Nilikuwa na tafakari kitu kama isho hii asubuhi... Kwa kweli ubarikiwe
Kila siku inapoanza kuna mambo ambayo yako ndani ya UWEZO wako na kuna yale ambayo yatakuwa NJE ya uwezo wako. Wanaofeli ni wale wanaonza “Kujistress” KULALAMIKIA yale ambayo HAWANA uwezo wa KUYABADILISHA. WANAOFAULU ni wale WANAOANZA na yale YALIYO NDANI YA UWEZO WAO KWANZA.
7
Mambo ya fursa 😂😂😂
Waziri wa Afya wa Uganda, Amelaumu kuwa baadhi ya Watu waliowekwa karantini wameanzisha Uhusiano wa Kimapenzi! Yaani Afrika hii imejaa Vituko vya Kila aina aisee