Pinned Tweet
You must find the courage to leave the table if respect is no longer served. Know your worth and protect it.
The Zinja retweeted
I just want to let you all know that I have gap teeth (Diestema)
My face card never declines🥰
The Zinja retweeted
Mình biết đến X qua một người bạn rất chăm chỉ cày X, sáng trưa chiều tối đều có mặt trên X, nhưng lại kém may mắn không được tham gia chương trình nội dung gốc. Mình quyết định tham gia đồng hành cùng bạn ấy để động viên khích lệ bạn ấy tiếp tục hành trình này.
The Zinja retweeted
Kwenye maisha ni kweli kuwa binadamu hatutakiwi kurithi uadui bali tunatakiwa kurithi urafiki,
lakini hakunaga mtu mbaya kama yule rafiki kwako halafu bado ni rafiki kwa yule mtu ambae ni adui kwako.
Good morning X Familia 👊🏾
The Zinja retweeted
Maana halisi ya muujiza ni uwezo wa Mungu kufanya jambo ambalo wanadamu hawawezi kulifanya pamoja na akili zao nyingi na technolojia yao yote 🤔 .
#ElimikaWikiendi
The Zinja retweeted
Replying to @drygha1
Si kila mwekezaji akili yake inawaza kuhonga.
Kuhonga ni sawa na kujitekenya Huku unacheka.
Ni sawa na kumuonesha mtoto wako mtihani kisha unaanza kujisifia mwanao ana akili sana.
Watu wengine hawana hio Mambo.
The Zinja retweeted
Replying to @drygha1
Kuwa Hai tu ni Baraka tosha.
Hakuna zawadi inayozidi Uhai.
Hata kama Afya haiko poa yafaa tushukuru kwa yote 🙏🙏🙏🙏
Good Morning sir
The Zinja retweeted
Replying to @drygha1
Katoka timu ndogo kaja timu kubwa kupambania namba inahitajika. Na hiyo ndo maana ya timu kubwa. Akishindwa kupata namba anaweza rudi timu ndogo na akacheza tu Kama alivyorudi mwenzie
The Zinja retweeted
A grown woman will completely forgive you and still have zero interest in ever giving you access again.🤷🏻♀️
The Zinja retweeted
Get ready to be fed by the word of God starting from tomorrow.
No more bad bad talk in my timeline.
The Zinja retweeted
Pambana utakavyo, lakini kama siku yako haijafika, bado utaonekana kama hupambani. Watu wengine wanaamini kuwa kupambana sana ndiyo mafanikio, kumbe wanasahau kuwa juhudi ni sehemu ya safari, lakini riziki na wakati wake vina mwenyewe.
Good morning everyone
Naam tumepewa baraka ya kuamka wazima tushukuru kwa kuwa wapo walioamkia hospital, mahabusu, au wapo kitandani kwa ugonjwa, lakini pia wapo wengine waliovuta pumzi ya mwisho jana. Tuna jukumu la kuendelea kupambania ndoto zetu.
Ikawe jumamosi yenye baraka.
The Zinja retweeted
A peaceful morning
Fresh greenery and the beautiful sound of rain.
Sometimes nature gives us the best moments without asking for anything....
























