Day 8/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Unaogopa Kupost Biashara Yako Kwa Sababu Watu Watakuonaje ?
Lakini Kumbuka Huo Woga Hautokulipia Kodi Wala Kukuletea Wateja.
Day 7/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Mteja Hawezi Kununua Kitu Ambacho Hajui Kama Unacho.
Acha Kufanya Biashara Yako Kuwa Siri.
Iweke Mtandaoni! Ionyeshe! Fanya Watu Wengi Waijue!
Day 6/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Unaweza Kuwa Na Bidhaa Bora Kuliko Washindani Wako, Lakini Kama Wao Wanajitangaza Na Wewe Hujitangazi, Usishangae Wao Kujulikana Zaidi Yako.
Day 5/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Kila Siku Unatumia Internet Kuangalia Maisha Ya Wengine.
Je, Biashara Yako Inapata Faida Gani Kutokana Na Internet Hiyo ?
Day 4/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Usiwe Unalalamika Wateja Wamepungua Wakati Hata Hujawahi Kuwaonyesha Watu Wengi Unachouza.
Post Mtandaoni, Biashara Yako Inahitaji Kutangazwa!
Day 3/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Una Biashara,Una Bidhaa Na Una Huduma Nzuri.
Lakini Ukurasa Wako Wa Instagram Una Followers 12 Na Post Tatu Za Mwaka Jana.
Unataka Wateja Wakupate Kwa Njia Gan Labda ?
Day 2/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Kuna Watu Wanauza Bidhaa Kama Zako Na Wanapata Wateja Kupitia Mitandao Ya Kijamii.
Wewe Bado Unasubiri Watu Waje Dukani.
Utafanya Hivi Mpaka Lini ?
Sometimes Maneno Hayaongei Kama Moyo Unavyoongea..
Nilichokuja Kugundua Ni Kwamba;
Kuna Muda Ni Muhimu Sana Kuusikiliza Moyo.
Day 1/100 Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni…
Biashara Yako Inaweza Kuwa Nzuri Sana, Lakini Kama Watu Hawaioni, Unategemea Wataijuaje ?
Usisubiri Wateja Wakutafute.
Wape Sababu Ya Kukufahamu!🫵
Siku Moja Amka Asubuhi,
Amua Kwamba Kuanzia Leo, Biashara Yako Haitabaki Kujulikana Na Watu Wachache Tu.
Fungua Account Za Mitandao Yote Ya Kijamii Kwa Ajili Ya Biashara Yako..
Anza Kupost Picha Au Video Za Bidhaa Zako, Eleza Huduma Unazotoa Na Waonyeshe Watu Kwa Nini Wanapaswa Kununua Kwako.
Feisal Khalid retweeted
In life, the best and the worst are often remembered the most.
Few people pay attention to the average. Don't settle for mediocrity; keep learning, growing, and consciously improving yourself. ❤️📌
Siku Ukipata Nafasi Ya Kuchanganyikiwa Pita Nayo…
Watu Wanaogopa Sana..
Watu Wanasita Sita..
Watu Wanajifikiria Mara Mbili Mbili…
Nafasi Hiyo Ukiipata Pita Nayo..
Mpaka Akili Inakurudia Hatutokuwa Level Zako…
Utakuwa Umetuacha Mbali Tena Sana! Trust Me🫵🥷
Mentor Wangu Aliwahi Kuniambia Hivi;
“Siku Ukianza Kuingiza Pesa Kutoka Mtandaoni, Ndo Siku Utaamini Kuwa Pesa Hazitafutwi….
Akamalizia Kwa Kusema;
“Pesa Zinategwa.”
Je, Una La Kuongezea Katika Maneno Ya Mentor ?
Naomba Ujiulize Swali Moja…
Ni Watu Wangapi Wanajua Kuwa Una Biashara ?🫵
Unaweza Kuwa Na Bidhaa Nzuri Sana, Bei Nzuri Na Huduma Bora, Lakini Kama Watu Hawajui Unachouza, Itakuwa Vigumu Kwao Kufikiria Kununua Kwako.
Usifikiri Kutangaza Biashara Ni Kazi Ya Makampuni Makubwa Tu.
Hata Wewe Mwenye Duka, Saluni, Mgahawa, Biashara Ya Nguo, Vipodozi Au Huduma Za Ufundi Unaweza Kuanza Leo.
Chukua Simu Yako, Piga Picha Ya Bidhaa Yako Na Iweke Kwenye Mitandao Yote Ya Kijamii.
Utajishukuru Baadaye🫵
Post Hata Kama Hakuna Anayeona
Post Hata Kama Hakuna Anaye-Like
Post Hata Kama Hakuna Anaye-Comment
Post Hata Kama Hakuna Anaye-Share
Post Hata Kama Hakuna Anayeku-Support
Post Hata Kama Post Zako Haziko Perfect…
Post! Post! Post!….
Utajishukuru Baadaye🫵


