Adv. Derrick Absalom M (Esq) (@hon_derrick) header
Adv. Derrick Absalom M (Esq) (@hon_derrick) profile picture

Advocate of the High Court of Tanzania Human Rights, Legal Advisor & Litigation Expert

Tanzania
Joined August 2018
Photo by Adv. Derrick Absalom M (Esq) (@hon_derrick)Photo by Adv. Derrick Absalom M (Esq) (@hon_derrick)Photo by Adv. Derrick Absalom M (Esq) (@hon_derrick)Photo by Adv. Derrick Absalom M (Esq) (@hon_derrick)Photo by Adv. Derrick Absalom M (Esq) (@hon_derrick)Photo by Adv. Derrick Absalom M (Esq) (@hon_derrick)Photo by Adv. Derrick Absalom M (Esq) (@hon_derrick)Photo by Adv. Derrick Absalom M (Esq) (@hon_derrick)Photo by Adv. Derrick Absalom M (Esq) (@hon_derrick)Photo by Adv. Derrick Absalom M (Esq) (@hon_derrick)
Kwa kuruhusu ndoa za utotoni, serikali inawajibika kwa madhara makubwa kwa wasichana na wanawake, hivyo kukiuka haki nyingi za binadamu zinazotambulika chini ya sheria. Athari hiz zinawadhuru zaidi wasichana wanaoolewa na umri mdogo zaidi. #EndChildMarriage @UnicefTanzania
3
12
In Tanzanian criminal jurisprudence, an accused person can only be convicted and punished for an offence explicitly stated in the charge sheet or information. That’s Law of the Country
9
125
2
491
18,470
😂⚖️ UNAJUA SHERIA HII TANZANIA? Chini ya kifungu cha 176(h) cha Penal Code, mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi lakini hana kazi yenye tija wala njia inayoonekana ya kujikimu anaweza kuainishwa kama idle and disorderly person Atakua Amefanya Kosa na Anaweza kuhukumiwa Kwenda JELA
1
136
Adv. Derrick Absalom M (Esq) retweeted
Leo tuko HC-Tabora, kuendesha kesi dhidi ya wakuu wa mahakama CJ na JK, juu ya kuzuia mawakili kuongea na waandishi nje ya mahakama. Kabla kuendelea tutajibu maswali mawili; 1. Kesi dhidi ya CJ na JK ni lazima AG awe sehemu ya kesi 2. Mahakama inaweza kuwakilishwa na AG? 😊
1
38
1
143
7,358
Adv. Derrick Absalom M (Esq) retweeted
𝗨𝗻𝗱𝗲𝗿𝘀𝘁𝗮𝗻𝗱𝗶𝗻𝗴 𝘁𝗵𝗲 𝗡𝗲𝘄 𝗣𝗿𝗼𝘃𝗶𝘀𝗶𝗼𝗻𝘀 𝗼𝗻 𝗘𝗹𝗲𝗰𝘁𝗿𝗼𝗻𝗶𝗰 𝗧𝗿𝗮𝗻𝘀𝗮𝗰𝘁𝗶𝗼𝗻𝘀 On 27th August 2026, Adv. Derrick Absalom, Founder & Managing Director of LexVest Advisory, led a session on “New Provisions on Electronic Transactions & Legal Implications” at TMC’s Workshop on Cybersecurity and New Provisions on Electronic Transactions in Tanzania’s Digital Economy. The session aimed to help participants understand the emerging legal provisions governing electronic transactions and their implications for organisations operating within Tanzania’s digital space. It created an opportunity to examine how these legal developments affect digital operations, compliance, rights, and responsibilities. The session strengthened participants’ understanding of the legal landscape, enabling them to navigate electronic transactions better, identify potential legal implications, and make more informed decisions as Tanzania’s digital economy continues to evolve. #TMC #ElectronicTransactions #Cybersecurity #DigitalEconomy #DigitalRights
13
16
344
Adv. Derrick Absalom M (Esq) retweeted
Leo tunaanza kusikiliza kesi ya maombi ya kumuondoa Uwakili Rais wa TLS Mwabukusi, kwa kwasbb ya kauli ya wito wa Mawakili nchi nzima iliyopitishwa kwenye AGM juu ya kutaka kuachiliwa kwa wakili Tundu Lissu. Kama kawaida tuko pamoja na mawakili nchi nzima kusimama na Rais wetu
21
165
3
1,028
46,673
Adv. Derrick Absalom M (Esq) retweeted
Sasa Kijana, Sehemu ya Field tu Ambayo mtu anakupa kazi yake na Hakulipi UMEKOSA. Kazi ya Kulipwa na Kupewa Mshahara UTAPATAJE 😂
1
1
2
38
Adv. Derrick Absalom M (Esq) retweeted
Wema na fadhili viambatane na wewe leo na siku zote. We love you, g! Excited to see you soon.
9
120
3
628
5,569
Adv. Derrick Absalom M (Esq) retweeted
Leo ni siku muhimu kwa Tanzania na wapenda haki Duniani. Asanteni Wananchi na wanachama wa CHADEMA kanda ya Pwani kwa kujitokeza ktk kushuhudia siku hii ya kihistoria. Mwenyezi Mungu amtangulie Tundu Antipas Lissu.
29
210
1,501
18,310
Adv. Derrick Absalom M (Esq) retweeted
MATOKEO: SC Tundu AM Lissu 513 Rt Hon Freeman A Mbowe 482 Ndg Odero C Odero 1 Zilizoharibika 1 WE DID IT!!
123
399
32
2,792
101,577
Adv. Derrick Absalom M (Esq) retweeted
Uchaguzi Umekwisha Sasa ni wakati wa kufanya kazi kwa Mujibu wa Kifungu cha 4 cha sheria ya Chama cha Mawakili.
269
521
21
3,828
95,322
Adv. Derrick Absalom M (Esq) retweeted
HAKI IMESHINDA: Boniface Anyisile Kanjunjumele Mwabukusi is Official a President Elect for @TanganyikaLaw for the next 3 years and we believe that Section 4 of TLS Act will be his pillar to restructure our institution: Hongera @Mwabuk2Boniface
3
9
306
HAKI IMESHINDA: Boniface Anyisile Kanjunjumele Mwabukusi is Official a President Elect for @TanganyikaLaw for the next 3 years and we believe that Section 4 of TLS Act will be his pillar to restructure our institution: Hongera @Mwabuk2Boniface
3
9
306
“…Maybe we are stuck somewhere between President Suluhu saying she is democratic but also struggling to build political bridges and institutions? But how can you reconcile when some of our men and women are still in prison?” -Tito Magoti @TitoMagoti On interview with @hrw
3
11
833
Mafunzo ya UONGOZI, fika Hutujenga siku hadi siku, Uimara na weledi wako ni Mkubwa Sana Kiongozi. Kongole sana Kiongozi 🙌
Mwaka 1 baada ya kushiriki @YALIRLCEA, Ninafurahi kuchaguliwa @WashFellowship mwaka 2024. Natarajia kuendelea kujifunza uongozi ili kukuza kipaji changu na kuitumikia jamii. Hatua hii inanitia Hamasa ya kusonga mbele zaidi kwa kile kidogo ninachofanya kwenye jamii. #KilaHatuaDua
1
69
Adv. Derrick Absalom M (Esq) retweeted
I had chance to listen speeches from these iconic Leaders of our Nation 🇹🇿-It reveal the importance of appraising Our Leaders (@SuluhuSamia & @freemanmbowetz ) They are so special, and we should be proud as the future is bright 🗽 LET DEMOCRACY PREVAIL
1
1
6
134
I had chance to listen speeches from these iconic Leaders of our Nation 🇹🇿-It reveal the importance of appraising Our Leaders (@SuluhuSamia & @freemanmbowetz ) They are so special, and we should be proud as the future is bright 🗽 LET DEMOCRACY PREVAIL
1
1
6
134
Adv. Derrick Absalom M (Esq) retweeted
Today is the final day for the application of the Tanzania UN Youth Delegates and Fellows. You still have a few hours to make a difference. Apply now! Application link: forms.gle/4H5G19muZqzSKtEB6 #AUNYDTz #AUNYD2024
6
1
10
450
Adv. Derrick Absalom M (Esq) retweeted
Hakika ilikua Siku Njema sana kukutana na kupata busara zake Waziri Salum, Ambaye ni Katibu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿. Moja ya vitu alivyojaribu kuvitoa ni vya kukuza maarifa na kujifunza zaidi bila kusahau Kupongeza wengine na Kufanya juhudi za Kusali Pia
1
7
154
Hakika ilikua Siku Njema sana kukutana na kupata busara zake Waziri Salum, Ambaye ni Katibu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿. Moja ya vitu alivyojaribu kuvitoa ni vya kukuza maarifa na kujifunza zaidi bila kusahau Kupongeza wengine na Kufanya juhudi za Kusali Pia
1
7
154
Adv. Derrick Absalom M (Esq) retweeted
Hello rainy New York City! It’s so great to be back! 😃🗽☔️ #Goalkeepers2030 – at Manhattan, NY
35
33
3
557
26,746