mKigoma ⚓ (@husseinabui) header
mKigoma ⚓ (@husseinabui) profile picture

Muslim.. (Salafy)

sumbawanga
Joined June 2011
Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)
Msikiti huu twaswali hivi hivi na durusi zaendelea hivi hivi ila wasi wasi wetu ni matone ya mvua kuharibu vitabu vyetu Hali si shwari nimepambana ninefikia hapa hivyo mwenye kuwa na chochote basi tupupie kheri hii kwa kufunika ili tupate utulivu wa IBADA Mwenye mbao,bati nk
3
6
114
mKigoma ⚓ retweeted
29.10.2026 🕊️ We will never forget you
20
47
696
Wakili kahonga jezi aise Daaah!.. Yaani imefika mpaka ifakara 😂
Mskie Zuzu huyu hivi mama ntilie akikwambia chakula kimieisha unasubiri kuosha vyombo?? Dada Ps 5 ina magem zaidi ya 50 huo muda wa kucheza na wewe badala nicheze na game sina😒 Hawa lugha yao ni moja tu Kuma bei gani?? Usipoteze muda kuhaingikia mbususu wakati wenzako wanapewa bure.
1
161
Mo29 tulipoteza ndugu zetu... ALLAH awalipie kisasi wale waliouliwa kwa DHULMA...
Mbona kuna harufu za ukhawaarij humu kaka vip kulikoni⁉️🤔
2
2
245
WE WILL NEVER FORGIVE, NEVER FORGET 29 October Rest Easy Champs
1
55
2
103
1,048
mKigoma ⚓ retweeted
#TANZANIA: KAULI ZA VIONGOZI HAZINA UKWELI, KUWA MKWELI USAMEHEWE, KUENDELEA KUTEKA HAKUWEZI KUTUFIKISHA SEHEMU NZURI- SHEIKH MNGODO Sheikh wa Shura ya Maimamu, Abubakar Mngodo leo Oktoba 29, 2026 ameungana na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu kuomboleza vifo vya wananchi waliouawa wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 nchini Tanzania amesema kauli zinazotolewa na viongozi wa serikali zimejaa uongo na kwamba hawataki kukubali kuwa watu waliuawa wengine waliuawa wakiwa majumbani, amewataka viongozi kukili ukweli ili taifa lipate uponyaji badala ya kuendelea kuteka watu wanaosema ukweli. Zaidi: youtu.be/H23WIdF7MQY
6
61
1
189
8,979
Mwanaume huyu usijichanganye....
1
2
2
265
mKigoma ⚓ retweeted
– at Mombasa, Kenya
3
5
50
mKigoma ⚓ retweeted
October 29, 2025 Tarehe ambayo watanzania hatutaisahau!!
12
242
6
1,054
18,841
Now I can finally read the Quran ♥️
2
5
2
11
395
mKigoma ⚓ retweeted
📍VIPI MTU ANALINGANIA NA HAJASOMA?! 🎙️ SHEIKH ABUL FADHL QAASIM MAFUTA حفظه الله تعالى ورعاه 📡 ISAIDIE JAMII KUFIKIWA NA UJUMBEE HUU MUHIMU – at Dar es Salaam, Tanzania
1
2
8
108
October 29 A Day To Remember
10
27
201
Hamtotanguliza kheri isipokuwa mtaikuta kwa Allaah Basi changia ujenzi wa marqaz hii ya Ahmad ibn hanbal Watu wa kilosa mtendeni b wapate pakusemea Haq Pakufundushia Haq na pakumuabudia Allaah kwa Haq Mahtaji yetu ni mengi hivyo hatudharau hata jero No ya kuchangia 0769141414
1
6
15
292
Sio poa... Kwani kunanini?
DUH, kuuziwa UOGA hatari sana, nimeongea na jamaa walioko DAR wanasema ULINZI uliowekwa usiku huu ni kama nchi iko VITANI! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2
177
Daaah watu aise
This is the news waliambia Vincent kompany akacollapse.
94
Mtu kapangiwa waislam watu mkiristo peke yake.. Na kiarabu watakijua mwaka huu 😂😂😂
Yanga hilo group hatoboi 😂😂😂
151
– at Dar es Salaam, Tanzania
1
3
111
Mpaka kibada wametujazia Polisi safi ulinzi umeimarika...
1
1
2
1,142
Hiyo ni KIBRI, ambacho ni Maradhi ya Moyo hatari mno kwa Wanadamu & Majini, Humpelekea Mtu kutokupenda kabisa Haki na mwisho wa Kibri ni Fedheha & Kukutanana na Ghadhabu za 'Allāh Jālla Jalâluhū'.
Wakistaafu wanatunga vitabu juu ya maisha yao na kukiri Wakifanya makosa fulani wakiwa kwa hatam. Ila wakati wapo kwa HATAM wakiambiwa hili sio sawa wapo radhi kukupoteza/kuua. Why tusubiri kukiri na kuomba msamaha kwa kuandika vitabu ilihali tunaweza rekebisha.
1
2
54