K A G A (@iamKaga) header
K A G A (@iamKaga) profile picture

For some unknown reasons, I'm only interested in profitable Apps and Fifa. Any physical meetings should be done over Fifa. Meet the LOVE of my life @BandoApps

Dar-Es-Salaam, Tanzania
Joined April 2012
Photo by K A G A (@iamKaga)Photo by K A G A (@iamKaga)Photo by K A G A (@iamKaga)Photo by K A G A (@iamKaga)Photo by K A G A (@iamKaga)Photo by K A G A (@iamKaga)Photo by K A G A (@iamKaga)Photo by K A G A (@iamKaga)Photo by K A G A (@iamKaga)Photo by K A G A (@iamKaga)
FINALLY! A product MADE IN TANZANIA 🇹🇿 . Baada ya siku 10 ya kusubiri, app imefika playstore. Kama unatumia TTCL, App yenu hiyo hapo. TUMEMUMBWA KUTOBOA, na leo tunaanza safari yetu! God is GREAT! Playstore Link: play.google.com/store/apps/d…
Day 30/30 - Final Day! App imekamilika. Tunachosubiri ni playstore waipitishe iwe hewani Lengo kuu ya App ilikuwa app ifanye mauzo ya Tsh 1,000,000+ kuanzia siku ya 1, ikiwezekana wiki ya kwanza tusikose hata Tsh 5M🤣 Nawashukuru wote kwa uvumulivu wenu, kazi imebaki kwenu💪🏾💯
97
218
35
676
Kuna wale watu hata ikitokea kampuni wanapofanya kazi wanahitaji kupunguza wafanyakazi kutokana na hali ya uchumi, they are usually the last person in line kuachishwa kazi. Na hata ikitokea wanaachishwa kazi, huwa haiwachukui hata mwezi 1 kupata kazi nyingine tena inayolipa vizuri zaidi wakati wengine wanaweza kukaa benchi hata mwaka 1. The level of competence na uwezo ya hawa watu kwenye sekta waliobobea inafanya the level of difficulty kuwapata na kuwa replace kuwa ngumu sana. Pamoja na ukweli kwamba kila mtu is replaceable, ila ni muhimu utafute namna, watu wapate ugumu kuku replace, by being a valuable, exceptional and a competent human being. Hii inahitaji ufanye years of training. Na ukianza kufanya mazoezi, Hautakiwi kuwa na haraka kupanda kwenye majukwaa na kuanza kuhubiri vitu usivyo na uhakika navyo, kwasababu watu watakupa nafasi, na watakuskiliza na wataenda kujaribu ulichowaelekeza. Na endapo watakosa matokeo mazuri kutokana na maelekezo yako, you will never be trusted again. You don't have to learn everything, but you have to find one area in your life hata ukiwa usingizini, you will still be one of the most valuable and competent brains out there.
56
188
14
740
72,230
Ukifanya biashara kwa muda mrefu, utagundua kwamba, Karibia kila biashara utakaogusa inafuata sheria moja called "The Law Of Averages". Simply put, ukifanya kitu kile kile over a long period of time, kuna uwezekano ya wewe kujua kitakachotokea mbeleni (pattern) kutokana na uzoefu na past experiences zako. Mfano, kutokana na uzoefu wako, - Kila ukiongea na watu 10, kati yao, 1 tu ndo huwa analipia huduma, meaning on average, success rate yako ni 10%. So, kama unataka wateja 20, utahitaji kuongea na atleast watu 200+- - Same thing ukilipia matangazo consistently kwa bajeti ile ile na content inayofanana, over a period of time, utaweza kujua idadi ya wateja watakaolipia huduma na hata average revenues utakaopata hata kabla mwezi hujaisha. Always give yourself a competitive advantage by knowing your Law of Averages. Itakusaidia kufanya research ya wapi uongeze nguvu na wapi ujiboreshe ili uweze kuongeza your average rate of success. Once a ratio starts, it always continues.
28
155
3
639
67,457
Ukipanda ndege, kabla ya kutua, kuna scenarios 2 utazi experience indirectly. 1. The Point Of No Return and 2. The Maximum Allowed Margin for Error. The point of no return inatokea rubani akianza kuchekecha ndege ikae kwenye mstari ili aanze kushuka taratibu akiutafuta lami (runway). Hapa anahitaji precision, hawezi kushusha ndege fasta, ila anatakiwa ashuke taratibu kutokana na umbali uliyobaki kufika kwenye lami. Wakati ndege inaendelea kushuka, kuna a point rubani anatakiwa aamue kama it's safe kwake yeye kutua kwenye lami au a-abort kushusha ndege ajaribu tena au ahamie kwingine. Whatever decision rubani atakacho make ndani ya hizo sekunde chache, officially atakuwa amepewa the Maximum Allowed Margin for Error Baada ya ku make decision rubani atakuwa hana luxury wala nafasi ya kufanya makosa which automatically means atakuwa kwenye the point of no return. The good thing about life, kila mtu yupo huru kufanya maamuzi. Ila kuna margins ndogo tunapewa kuendelea kufanya maamuzi mabaya (errors). The more bad decisions utaendelea ku make over a long period of time, the more utazidi kujitengenezea natural disaster na officially utajikuta umejisogeza kwenye the point of no return.
35
128
5
546
57,572
Ukienda kwenye nchi yoyote, the 2 most famous words yanayofahamika duniani kote, Namba moja ni "Okay" na ya pili ni "Coca Cola". Simply put, wherever you go, ukitamka those 2 words, hata kama kuna language barrier, kila mtu ataelewa unamaanisha nini. Now imagine this, Coca Cola pamoja na kufahamika duniani kote, ila kwenye marketing budget yao bado wako aggressive sana. Mpunga wanaotenga ilimradi waendelee kuonekana mbele za watu ni ndefu mnoo na kwa mtu mwenye jicho la kawaida ataona ni somehow ridiculous. What does this tell you? People don't buy from brands they don't know or brands they don't see regularly. Meaning, kazi yako namba moja ni kuhakikisha hata kama hupati wateja in the short run, unatakiwa uendelee kuonekana mbele yao (potential customers). Always ask yourself, unaweka jitahidi gani ili uweze kuendelea kuonekana na kuwepo kwenye list za watu wachache watakao kuwa considered (consideration list) na potential customers wakihitaji huduma inayofanana na ya kwako. This is the only reason why you must always continue to show up.
51
173
7
688
77,238
You have got the brains, you have got the stamina, una watu wanaokuombea upate, nia unayo. Recipes zote for success zipo in your hands. Usianze mambo ya kuji doubt that it can never be you. But incase ukianza kuji doubt, always ask yourself, “Wengine wamefanyaje, Why not you?”
17
86
2
375
18,783
Juzi nilienda kumtembelea mjomba wangu, yeye ananiita "His favorite Nephew", kwasababu ananikubali sana kuliko hata wanae. But hiyo sio point yangu. Mjomba wangu ana hasira za karibu (Short tempered) na yeye mwenyewe amekiri ni moja ya kitu huwa kinamponza toka zamani. Kwa ninavyofahamu, watu wengi wenye short temper hawakuwa hivi na wengi hawapendi kuwa hivyo. Na ukipata muda kufuatilia chain kujua source ilianzia wapi usually either ni kwenye family tree (ya kurithi) au kuna matukio yalimtokea huko nyuma mpaka moyo ukaanza kuwa mzito. Kwa upande wa mjomba, yeye mwenyewe anajua source yake. But then again, hiyo sio point yangu, Point yangu ni kwamba, kama unajua una hasira za karibu, ni muhimu uweke measures kuhakikisha haitakuponza especially kwenye vitu ambacho vitakupa growt and usually growth needs you to be calm especially under pressure. Ofcourse dealing na watu lazima utakereka, sometimes mtu anakuchokonoa makusudi alafu uki react atajifanya victim, lakini the moment ukaruhusu hasira ziku control ndo the moment you have lost. Usiku kabla hatujalala, huwa tuna funga milango na ma geti kwa kufuli, sio kwamba tunategemea kuibiwa, ila tuna protect ourselves and our properties from any external threats. Tumia this same principle to protect your temper.
36
75
6
307
41,357
Kabla hujatuma CV yako, huwa unakumbuka kuongeza ukurasa wa uthibitisho wa wasifu i.e. CV Verification Page? Na kwanini ni muhimu uthibitishe CV yako kabla hujaituma? Hebu tuangalie kwa kina umuhimu wa kuwa na ukurasa wa uthibitisho wa wasifu (CV verification page): 🧵
3
21
54
17,886
Unamaliza zako chuo, finally unajiona umepata freedom yako. Na hamna anayeweza kukulaumu kwasababu your whole life, tangu uzaliwe was just preparing you kumaliza chuo. So by the time unaweka kalamu chini, unaingia zako mtaani thinking you are finally done. Kwa bahati mbaya unaweza kujisahau kwamba karibia kila kitu inahitaji uwe na momentum ili uendelee ku move forward. Momentum yako means inabidi uendelee kuwa open kujifunza new things, uwe open kujua weakness and strengths zako etc. Planes take off with speed, but the momentum to start the engine and start moving forward, hizo ndo the small steps huwa zinasahaulika. Speed is good, direction is better, but having momentum will take you far.
27
90
4
528
53,599
Ukitaka ku enjoy Mkate ulichonunua kwa Mangi, anza kuitafuna kabla haija expire. Haimaanishi iki expire hauwezi kuiweka tumboni, ila kuna probability mkubwa utaumia. Kila fursa ina expiry date yake, usiamini una muda wa kutosha, mpaka una enjoy kupoteza muda wako.
11
44
2
229
12,076
Ukiambiwa utume Resume, huwa unatuma CV yako hiyo hiyo au unaibadilisha kuwa Resume? Nini hasa ni tofauti kati ya CV (wasifu wa kitaaluma) na Resume(maelezo binafsi)? Ingawa mara nyingi tunatumia maneno haya kwa kubadilishana, kuna utofauti mkubwa. Tuangalie kwa undani: 🧵
6
51
1
113
18,609
Growing up kuna watu walikuwa na ambition na ndoto ya kuwa Daktari. Wali fall in love with the idea ya kuwa Daktari kwasababu udaktari inakupa ile feeling ya kuwa na purpose kwenye jamii kama kuokoa maisha ya watu au hata kupewa heshima n.k Usually what happens ukishaanza ku practice udaktari, unaanza ku deal na real life cases. Kama shifts za usiku, kumfanyia mtu mmoja operation kwa masaa mengi, ku deal na damu, matapishi, your favorite patient kupoteza uhai, sometimes unaweza ukakosa muda hata wa kuwa na social life. Ila hizo ni realities ya kuwa Daktari. Whenever you tell yourself unataka kufanya kitu fulani, make sure unakumbuka na kuelewa the daily consistent processes, habits and sacrifices ili uweze ku achieve unachotaka. It won’t be easy, but it will be worth it….
24
60
3
289
30,824
Ukiongea na wazee wengi, especially wale ambao hawako vizuri kiuchumi, utakuta kuna baadhi ya vitu vinafanana kwenye past experiences zao. Wengi walipata "bahati" sio ya kuwa matajiri, ila bahati ya kushika pesa nzuri kwenye ujana wao. Ila baada ya muda, pesa zikawakimbia. This is not a coincidence. Ninachoamini, kuna kipindi kila mtu atapata fursa kushika pesa nzuri, bahati linaweza likakuangukia mapema, au baadae kidogo, but hiyo fursa lazima likuangukie. Ila sasa, wengi wetu tuna elimu ndogo likija suala la financial and money management. Matokeo yake, unakuwa na ambition kubwa kuwekeza ila kisa huna financial training na discipline, ni nadra sana utoboe.
30
94
4
486
62,571
Unaweza ukajipanga kweli kweli kuanzisha biashara na bado ikakugomea. That is usually just the way life is. Uzuri it is not the end of the world. Ingawa kipindi inakutokea unaweza uka feel kama dunia inakuonea. Sometimes you need to fail, ili upate experience na redirection.
14
67
4
338
17,910
Wengi wetu tusingeonyesha interest tungepewa nafasi kuchungulia au kuiga sacrifices zinazofanyika na wachezaji wa mpira ili kupata matokeo positive. Kale ka boring process ya kufanya diet kwa sana, mazoezi kwa wingi, kulala mapema, no alcohol consumption n.k haiwezi kupata watazamaji wengi. Sisi ni watu wa kushangilia na kufuatilia matokeo na sio kufuatilia sacrifices wala processes. Once unaelewa hili , you will understand that, The sacrifices you make are only for you, but your success is for all of us.
12
50
222
19,769
In a few years time, Kuna uwezekano mkubwa you might regret not testing that idea you have always had in your mind. The sad part is, uwezo unao ila una excuses Mia 2. Try to start with whatever resources and tools you have, tumia hizo kuanza. Stop postponing, start doing.
17
88
5
390
21,179
I am sure you have been told umuhimu wa kutafuta kitu ambacho una “mkono” au una passion nacho alafu ui convert kuwa biashara ili kazi utakayofanya isionekane kama kazi. Theoretically this is correct, but business is not always theories. Ili uweze kufanya passion yako kuwa biashara kubali kwanza kwamba, just because una passion haimaanishi watu wata support au kuwekeza kwenye passion yako. As long as it is a business, your vision has to be strong, na hata hiyo vision unatakiwa uikate kate kuwa vipande ili iwe rahisi kuieleza kwa watu potential. Your main job is to sell your vision because you are the only one who understands it. Hata kama una passion wa kushono nguo na huenda unaweza kushona suit kali, haimaanishi investor atakupa savings zake kisa una ndoto ya kuwa the next Sheria Ngowi. Find a way to be passionate, but still follow all the business principles for your passion to survive.
18
57
2
257
28,729
K A G A retweeted
Kaga bana🙌
Kwenye stages za kujitafuta, stage ya mwanzo unaweza ukajiona unadhalilika. Watu wanaweza wakakukataa wewe au kukataa ideas zako. Elewa kwamba you are still a beginner na bado uko kwenye learning phase. Keep showing up & with time you will become a master, an expert, a gwiji.
1
15
3,491
CV yako inapaswa kuwa na ukurasa ngapi? Moja? Mbili? Au Tatu? Ukweli ni kwamba hakuna jibu moja la kufaa. Urefu wa CV unategemea mambo mbalimbali. Unaweza kukumbuka CV yako ina page ngapi kwa sasa?
5
12
1
43
7,499
Yes Sir, Na Once mtu akijua kwenye eneo lolote lile kuna hatua za ukuaji, Yaani growth phase ambayo inabeba na hatua kubwa tatu(3) Beginning|Process|Results. Na huwezi ukaruka moja kwenda nyingine, Ukuaji si swala la siku moja👍
1
10
1
17
3,059
Watu wengi wana anza kushow bila kuwa na evidence ya kile wanachofanya, hii inakufanya uwe mjuaji sio practitioner. Jenga confidence kwa kuwa na evidence ya matokea ya kile unafanya. Psychological kila mtu akikuona for the first time akili yake inauliza huyu ni nani?
Kwenye stages za kujitafuta, stage ya mwanzo unaweza ukajiona unadhalilika. Watu wanaweza wakakukataa wewe au kukataa ideas zako. Elewa kwamba you are still a beginner na bado uko kwenye learning phase. Keep showing up & with time you will become a master, an expert, a gwiji.
2
5
18
3,370