Mganga Wewe umeshagraduate kwenye mentorship,wacha vijana wengine wachukue nafasi kuwa mentored .
Mentors wengi wa kitanzania wanakupenda tu ukiwa chini yao. I used to have friends ambao walikua wamejipata zaidi yangu and walikua mentors pia. Lakini baada ya michongo yangu kukaa sawa, wakanipotezea. Nimejaribu sana kuwaweka karibu kama zamani but you can tell hawako interested.
23
Karibu Nyumbani Joshua.
Joshua Loitu Mollel🕯️
Today, we held a farewell ceremony at Ben Gurion Airport. Joshua’s body now flies home to Tanzania.
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi ~ May God rest his soul in peace.
Only 21, an agricultural student in 🇮🇱Israel from 🇹🇿Tanzania. Barely weeks after Joshua arrived, Hamas terrorists took him hostage on October 7, 2023, then killed him in captivity in Gaza.
While Joshua wasn’t Israeli, over the past 2 years we adopted him into our hearts. An innocent life, full of promise, stolen too soon.
RIP Joshua 💔
📸Asi Efrati
75
🌍 Two Years of Transformative Change in Tanzania’s Oral Health Sector 🦷🇹🇿
A new study by Dr. Nzobo et al. @bnzobo (2025) shows how policy-led reforms and strategic investment are revolutionizing dental care and advancing UHC. 🦷📊
@fdiworlddental @wizara_afyatz
1
54
Funny Dental fact🤪🦷
🕵️♂️ Meno🦷hutumika kubaini utambulisho wa mtu😊, kama ilivo kwa alama za vidole(FingerPrints).
#Afyayakinywa
#OralHealth
2
68
Funny Dental Fact🤪🦷
🕰️ Mtu wa kawaida hutumia takriban siku 38.5 kusafisha 🪥 meno 🦷 katika maisha yake yote.
#Afyayakinywa
#OralHealth
#Dentalfacts
3
62
🎉 Thrilled to share that I am a co-author of a newly published peer-reviewed article in the Substance Abuse and Rehabilitation journal:
🔗 Read the full article here: doi.org/10.2147/SAR.S526190
Elevating Dental Excellence in Tanzania
Tanzania dental Expo 2025 Recap 🔥🔥🔥
TDE aim at fostering collaboration between dental community and also to elevate dental excellence in Tanzania through innovation,hands on activities as well as technology improvement..
Cc @tzdentalexpo
Elevating Dental excellence in Tanzania
Ni kweli unaweza kuwa unajua Diagnosis, but kutoa Diagnosis kwa mgonjwa hayo ni majukumu ya Daktari.Nafikiri kila mtalaamu afanye kwenye majukumu yake as per Job descriptions.
Mkisema Mfamasia HUJUI Diagnosis, Nakuwa SIWAELEWI Mwenzenu.
At least Semeni — Mfamasia HAFANYI Diagnosis.
Kuna Tofauti ya KUJUA na KUFANYA.. Hata Nyie Hamuoni?
1
3
99
Feeling Proud 👏
Siku ya Jumamosi Rais wa chama Cha wanafunzi wa kada ya kinywa na meno Tanzania Mh.Abdalah Mohamedi @Dr_Alwatan_DDS atatembelea chuo Cha Mgao HT kilichopo Njombe..katika Ziara hii Raisi atakutana na wanafunzi pamoja na kufungua rasmi tawi jipya la TDSA Mgao Chapter..
#oralhealth
Mara nyjngine Fizi huvimba,kutoka damu na meno Meno kulegea kwa sababu tu una upungufu wa virutubisho vya vitamin C Mwilini.Machungwa ,ndimu ,limao,ukwaju ,ubuyu vina utajiri wa virutubisho hivyo.
2
108
Magonjwa ya KINYWA NA MENO ni magonjwa ya TABIA,Tabia hizi hapa chini zitakukinga na Magonjwa ya kinywa Na meno.
Sikieni sasa niwaambie kitu ,unajua vile unazungumza vizuri,unakula kila kitu vizuri na unapumua vizuri ni kwa sababu ya AFYA BORA YA KINYWA NA MENO,usibaki nyuma Hakikisha unaboresha Afya ya kinywa na Meno.
Mwenye sikio na asikie
Today, April 7th, marks World Health Day, with the theme "Healthy Beginning, Hopeful Future." This day is especially significant as it aligns with the celebration of our inaugural Health Week in Tanzania, which began on April 3rd and will wrap up tomorrow, April 8th, 2025.
1
42
































