innocent_ππͺπ½ retweeted
SC Tundu Lissu amefunga utetezi wake baada ya Samia, Majaliwa, Mpango, DGIS, IGP, CDF & DCI kuingia mitini.
Kesi nzima imekuwa ni darasa huru la ubovu wa mfumo wetu uchaguzi, haki jinai na utawala.
We thank God & looking forward to his RELEASE!
Free Tundu Lissu!
innocent_ππͺπ½ retweeted
STRUGGLES OF CO-PARENTING ππππππ @Nikita_Kering β at Ruiru, Kenya
innocent_ππͺπ½ retweeted
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za kikomo za Mafuta ya Petroli, Dizeli, na Mafuta ya taa, zitakazotumika kuanzia leo Agosti 5, 2026 saa 6:00.
Bei ya Lita ya dizeli imeshuka kwa Shilingi 204 na Lita Petroli imeshuka kwa Shilingi huku Mafuta ya taa Lita yakishuka kwa Shilingi 440.
Kwa Mkoa wa Dar es Salaam, bei kikomo za rejareja ni Sh 3,898 kwa Lita ya Petroli, Sh 3,978 kwa dizeli na Sh 4,003 kwa Mafuta ya taa.
EWURA imewataka Wafanyabiashara kuzingatia bei hizo, huku ikionya kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaokiuka maelekezo hayo.
#KitengeUpdates
innocent_ππͺπ½ retweeted
One evening I bumped into Ninja and bro Imma Mwansasu. Felt like weβd all waited for that exact moment. Ninja is a cool guy. Mtu wa watu. We demand his immediate release. Mtendeeni mshikaji wetu kama mtu. We are pained that muda unaenda na giza linaongezeka. Free Ninja!π€²
innocent_ππͺπ½ retweeted
Now that Uβve acknowledged having Ninja in custody,
1) Ule ukamataji ni wa kipumbavu. At least fuateni sheria.
2) Kumshikilia beyond 24hrs bila dhamana au kumpeleka mahakamani is unacceptable.
Fuateni sheria wanetu, acheni kutuweka ktk suspense.
Free Ninja Now!
innocent_ππͺπ½ retweeted
BBC Africa Eye yachunguza matukio ya watu kutekwaa
bbc.in/3MfDEvA
innocent_ππͺπ½ retweeted
Hauwezi kujilazimisha kuongoza watu baada ya kuuwa maelfu ya ndugu zao. Na kutengeneza ushindi bandia. Ndio maana mmekataliwa kila kona. Na sasa imekuwa ni ama zetu ama zenu. Tutaenda hivihivi hadi mheshimu watu. Tanzania ni yetu soteβhatukuzaliwa kuja kuwa watumwa wenu.
innocent_ππͺπ½ retweeted
EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality.
We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions
CNN investigation shows police killing Tanzanian protesters
CNN's Larry Madowo reports on a brutal crackdown by Tanzanian police that left many dead after a disputed election
Mungu wanguππ
OMG!! ππππ hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii.
Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa na simu 2 so akawapa simu ambayo alikuwa hajarekodi chochote wakaridhika.
innocent_ππͺπ½ retweeted
Naomba for this month tusipost mambo ya mapenzi na zile vitu za J-Wise, please. Uwe ni mwezi wa maombi na kujitafakari. Tupunguze posts za ku-slay. Tusirepost vitu za hivyo. Nashukuru. π
innocent_ππͺπ½ retweeted
May we also #PrayTogether for #Tanzania, where, following the recent elections, violent clashes have broken out, leaving many victims. I urge everyone to avoid all forms of violence and to follow the path of dialogue.






























