Imma (@immachriscodes) header
Imma (@immachriscodes) profile picture

Justice believer

Tanganyika
Joined December 2021
Photo by Imma (@immachriscodes)Photo by Imma (@immachriscodes)Photo by Imma (@immachriscodes)Photo by Imma (@immachriscodes)Photo by Imma (@immachriscodes)Photo by Imma (@immachriscodes)Photo by Imma (@immachriscodes)Photo by Imma (@immachriscodes)Photo by Imma (@immachriscodes)Photo by Imma (@immachriscodes)
Dunia nzima inajua Lissu Sio Mhaini. Wanasheria wote Duniani wenye akili Timamu wanajua lissu sio mhaini. Mahakimu na majaji wote Duniani wenye akili Timamu wanajua Lissu sio mhaini. Watanganyika Tumejiandaa kumpokea uraiani mheshimiwa Lissu. #BilaLissuHaturudiNyumbaniNov62026
9
38
1
141
1,203
Mzee wetu Mhe @TunduALissu kila moment yake hua inafurahisha, Ni mzee ambae muda wote yupo happy Mwenyezi Mungu amlinde sana na kumpa moyo wa kuto kukata tamaa🙏
9
137
3
670
14,958
Aliyeshiba hawezi kujua maumivu ya njaa, lakini hilo halimpi haki ya kumdharau mwenye njaa! Kuna msemo wa Kilatini unaosema “Res ipsa loquitur  — yaani, jambo au tendo, kwa namna lilivyo, linajieleza lenyewe bila kuhitaji ushahidi wa ziada. Hakika, yeyote anayeweza kuuliza swali hili ameshiba kiasi cha kudharau kabisa hisia, maumivu na kumbukumbu zetu. Ni jambo linaloumiza na kuonyesha kutokujali kabisa hisia za wengine. ************************** A person whose stomach is full may never truly understand the pain of astarving person, but that does not give  the right to disregard  those who are hungry! There is a Latin legal maxim that states Res ipsa loquitur — meaning that the facts or circumstances of a particular act speak for themselves, without the need for further evidence. Indeed, anyone capable of asking such a question must be so comfortable and detached from reality as to completely disregard our feelings, pain and memories. Such an attitude is deeply insensitive and dismissive of the suffering of others. May God rebuke him! BAK MWABUKUSI
20
160
550
12,985
239
47
17
511
142,570
📍 Mbunge wa Jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Ndg. Nape Moses Nnauye (Mb) amempongeza Ndg. Godbless Lema kwa kuwa Mwanasiasa wa Kweli anayesimamia kile anachokiamini, Aidha amesisitiza kuwa Ndg.Lema amekisaidia chama chake kama wenzake wataamua kumuelewa
37
3
6
31
5,773
Dada na ndugu yangu @BrendaRupia angalia msishinikizwe mkamfuta uanachama au mkampa onyo @godbless_lema kwa sababu yeye ni mtu muhimu sana katika chama, nawakumbusha msijaribu wala msithubutu maana mtapotea, Lema mnamuhitaji sana tena sana 📌
16
2
3
11
3,848
HAKUNA NJIA YA MKATO (THERE IS NO SHORTCUT) UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIVYO VITAKAVYOLIPONYA TAIFA LETU. JIEPUSHENI NA MADALALI WA GIZA. Yeyote anayehubiri maridhiano bila kuweka mbele ukweli, haki na uwajibikaji, aidha ni muuaji au wakala wa wauaji. Msimamo wa aina hiyo lazima ukataliwe hadharani! TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY ARE THE ONLY PATHS TO HEALING OUR NATION. BEWARE OF BROKERS OF DARKNESS. Anyone advocating reconciliation without first establishing truth, justice and accountability is either a perpetrator of killings or an agent of the perpetrators. Such a position must be publicly rejected! BAK MWABUKUSI
75
489
12
1,616
48,607
Bro silence,Umeisikiliza hiyo clip yote?Acha kumchafua God bless.Acha bro.
"Naweza kupewa uteuzi muda wowote hii aina mana nbimewasaliiti lakini nimejitoa akili nipige pesa" Kauli ya Lema akiuwa kwenye mkutano Mikoani Morogoro
47
Sasa hapo ume’aprove nini? Ulitaka afanye nini hapo? Akili zingine hovyo kabisa
Hii video niliitunza sana ili kuaprove huu usaliti dhidi ya mahinyila na nyie tizameni hii mtagundua tulikuwa tushaanza kuuzwa.....huwezi muacha mwenzako vitani ukae pembeni but lema sawa man kwa usalti
13
9
1
40
2,462
Hoja za wanaharakati kwa @godbless_lema zilikuwa 1 Kamuuza Pambalu, 2 Kakutana na Mbowe kumrejeshea uenyekiti 3kushinikiza maridhiano Kajibu zote kiukamilifu mmegeuka kujadili mambo mengine na kuacha hoja zenu Shitukeni hu nimradi wa kuwaondolea viongozi uhalali mbele ya umma
8
8
2
54
3,365
nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha mzee alute mughwai lissu. moyo wangu unakwenda kwa familia yake, hususan mke na watoto wake, katika kipindi hiki kigumu. mungu amsamehe, na ailaze roho yake mahala pema peponi 💙. 🎥: @izzy_pro_director, @TheChanzo:
34
204
6
1,045
30,062
OCTOBER 29 - MWAKA MMOJA BAADA YA MAUAJI HATUWEZI KUSAHAU, HATUPASWI KUZOEA. Leo, mwaka mmoja umetimia tangu matukio ya umwagaji damu ya Oktoba 29. Mwaka mmoja wa majonzi, maswali, majeraha ya mioyo na kumbukumbu za maisha yaliyopotea. Tunawakumbuka waliopoteza maisha, tunazifikiria familia zilizopoteza wapendwa wao, na tunaitaka dhamiri ya taifa kutafakari kwa kina kuhusu thamani ya uhai wa binadamu. Hatari kubwa kwa jamii si maovu yanapotokea pekee, bali ni pale jamii inapofikia hatua ya kuyazoea. Siku tunapoacha kushtushwa na kupotea kwa maisha ya watu, tunakuwa tumepoteza sehemu muhimu ya ubinadamu wetu. Oktoba 29 isiwe tarehe ya kumbukumbu pekee. Iwe siku ya kutafakari, kutafuta ukweli, kudai haki na kuhakikisha kwamba misiba ya namna hii haijirudii. Taifa haliwezi kujenga amani ya kudumu kwa kusahau maumivu ya wananchi wake. Amani ya kweli hujengwa juu ya ukweli, haki, uwajibikaji na heshima kwa uhai wa kila mtu. Hatukumbuki kwa sababu tunataka kulipiza kisasi. Tunakumbuka kwa sababu tunataka haki, utu na taifa ambalo maisha ya kila Mtanzania yana thamani. Oktoba 29. Hatutasahau. Hatutazoea. Haki na utu lazima vitangulie.
124
82
5
558
45,025
Vijana na wananchi wengi wameikimbia nchi yao wakitafuta amani na kulinda uhai wao. Kwa kusikitisha, hata maeneo waliyokimbilia kutafuta usalama yanaanza kuonekana kuwa hatari. Lakini hatari kubwa inayotukabili sasa siyo tu watu kutekwa au kuuawa, hata wanapokimbilia nchi jirani. Hatari kubwa zaidi ni the revenge of the tipping point, pale mateso yanapofika kiwango ambacho baadhi ya watu wanaweza kuanza kuamini kuwa kupambana kwa nguvu na kulipiza kisasi ndiyo njia pekee iliyobaki, maana hata kulimbia hakulindi uhai wako. Hii ni hatari sana. Mtu anapofikiri kwamba nyumbani ni hatari na ugenini nako ni hatari, anaweza kuanza kujiuliza, je, suluhisho ni kupambana kwa nguvu? Hapo ndipo jamii inapoanza kusogea kwenye eneo hatari zaidi, ambako kukata tamaa kunaweza kuzaa fikra za kulipiza kisasi. Huu haupaswi kuwa mwelekeo wa fikra za umma katika taifa letu. Ni wajibu wa mamlaka kutumia maarifa, busara na hekima katika kulinda maisha ya watu na kuzuia hali hii isifikie hatua isiyoweza kudhibitiwa. Usalama wa raia haupaswi kutegemea walipo, bali haki yao ya kuishi bila hofu. Tukio la kutekwa kwa Twaha Mwaipaya nchini Kenya ni jambo la kusikitisha na linalopaswa kuchunguzwa kwa uzito. Serikali ya Kenya inapaswa kuchukua hatua za haraka na za dhati kubaini alipo, kuhakikisha usalama wake na kumrejesha akiwa hai na mwenye afya. Tunapaswa kuelewa jambo moja, jamii inapopoteza imani kwamba haki inaweza kupatikana kwa njia za amani, hatari huwa kubwa zaidi kuliko tukio moja la utekaji. Kulinda maisha, kutafuta ukweli na kuhakikisha haki si udhaifu, ndiyo njia ya kuzuia kukata tamaa kusigeuke kuwa chuki na kisasi.
22
107
2
501
31,331
Kulinda taasisi ni wajibu, kulinda ukweli ni dhamana. Si kila anayezungumza anataka vita, na si kila anayenyamaza analinda amani. YOHANA 8:32 “Nanyi mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.” Kesho Kibo Palace Hotel Saa Nane Mchana.
339
54
38
532
109,912
Nakusabahi @frediejustine mpwa! Nimechukua muda na nimetafakari ila leo nasema na wewe hapa maana sitakutafuta tena! Ulinisimulia kuwa ulienda kumsalimia Lissu gerezani na kumwambia chama kinaweza kufutwa mkiandamana, alikujibuje? Hakukuambia kuwa “Acha wafute chama!” Uliwahi kumwelewa Lissu kwa nini haogopi na hajawahi kupiga magoti? Mkumbuke Soka na alivyokataa kumpigia magoti Mwamba wenu! If he was asked whether he would do it again angesema “Yes!” Hii ndo picha yangu ya mwisho nilipiga na Soka na alikuita mpige pamoja maana alikupenda na kukuamini kama rafiki yake! Leo uko front unapambania nini? How could you!? Soka alijua the price he was going to pay for standing on the right side of history! Je wewe unajua the price of standing on the side of the Opressor? Jitafakari! Mungu akuongoze! With sincere love Shangazi Maria
63
211
7
1,254
73,408
@Oktoba 29 imekuwa siku ya tafakuri kubwa kuhusu masuala makuu yanayohusu nchi, nami nimeshiriki kidogo. Napenda kuongezea kwa kupendekeza kuwa tujenge utaratibu wa kutoa mapendekezo ya mambo tunayoweza kufanya kuirejesha nchi msitarini. Tutoe moyoni mawazo ya kuponya nchi na siyo kujipendekeza.
10
68
1
256
4,934
Una-mdefend freeman?Utaweza kaka😂😂😂😂
Kuna nguvu kubwa sana ya wanaharakati wa nje ya nchi kushambulia viongozi wa chama Walianza na @freemanmbowetz gafla @godbless_lema leo wapo na @jjmnyika na @amanigolugwa kesho wapo na @ExMayorUbungo na Sugu Kazi yao ni moja tu kuwaondolea viongozi uhalali Msiwakubali.
2
6
354
Dakika 3 za #johnwegesaheche sikiliza✌️✌️✌️✌️✌️👊👊💯💯✌️👇👇👇👇 #chadema
31
120
2,910
Leo, tarehe 30 Oktoba 2026 upande wa Jamhuri umeshindwa kuwafikisha mahakamani Mhe. Jackson Munyawamini na wenzake 16 wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Shinyanga kwa madai kuwa polisi wanasimamia mitihani. Kesi imeahirishwa hadi 11 November 2026
4
22
2
63
2,220