Soap dishes
Shower
Jakuzi
Choo
Kama una plan ya kuweka hivi vitu kwenye nyumba yako hakikisha process zake unazianzia mwanzo kabisa wakati wa kusimamisha boma au baada tu ya kusimamisha boma
Muda wako ni mdogo,usiupoteze kwa kuishi maisha ya mtu/ watu wengine
Morning from this side ๐
1
4
223
Hakuna kitu huwa kinauma kama mtu ajipige awezavyo afungue office yake/sehem ya biashara then ghafla tu iungue moto/kuvunjwa kuibiwa/au kutolewa kwa ghafla sehemu aliyowekeza
1
4
225
Mwanamke ni lango la ulimwengu wa roho,shetani alimuendea Eva/hawa na akauangusha ulimwengu. Mungu alimuendea Mariam na akaupata ulimwengu. Women! Be on guard โ๏ธ
Katika pitapita zangu IG nikakutana na hii kitu weeeeeh๐๐ nasomaga za wanaume mara nyingi ila Leo nimeona hii ya wanawake itoshe kusema Mimi ni ka Malika kadogo aisee๐ฅน๐ฅน
Tufanye kuomba kuwa jambo la kawaida katika maisha yetu.
Siku hizi watu hawana wivu tena na vitu vya mali pekee. Wanaweza kuwa na wivu kwa sababu ya haiba yako, namna watu wanavyokupenda na kukuunga mkono, pamoja na uwezo wako wa asili wa kuongoza.
Ni vitu ambavyo pesa haiwezi kununua.
#Morningfromthisside๐
Ukimuuliza mwanaume kwanini ana cheat/ chepuka. Atakua na sababu 100 za kucheat as if anakila sababu ya kuhalalisha kosa lake kuwa Yuko sahihi.
Kiufupi huwezi shindana na hii gender ๐ฎ
Mungu alimuuliza Adamu umefanya Nini?badala ya kukiri kosa lake ila alianza kumlaumu hadi Mungu๐ kwamba ni huyu Mwanamke ulieniletea
Wao kutupia lawama ni kawaida yao toka kuubwa
Mwanamke anakiwango kikubwa cha uvumilivu kuliko viumbe wengi ila akifikia mwisho wa kiwango hicho cha uvumilivu anakuwa kiumbe hatari zaidi. Kuna kiwango cha maumivu akifikia anakuwa hafai tena kwa matumizi ya binadamu. Hapo hata akikwambia nimekusamehe, kaa mbali
#ChrisMaukiโ๏ธ

















