Otek retweeted
Wee raise tu standards, kuna age fulani ukifika utaelewa mwanaume ni muhimu hata bila pesa.
Otek retweeted
Kuna my Pal Decki yake huwa haiperform kabsa na ako na bibi mrembo hataki waachane I think bcoz of shame, so yeye huletea bibi yake mamorio wamfinyie bibi in the name of "anything to make her happy" akijaribu kumwacha bois anakuwa suicidal bana.
Otek retweeted
Unemployed nakapitia Kuna mtoto wa jirani apa ananiuliza anko mbona wewe huendagi kazi asubuhi kama watu wengine, mi nimemjibu mi sio Anko wako.
Otek retweeted
Jana naskia kuna mzee wa kanisa alisimamisha harusi yake after kugundua bibi ako na deni ya bank ya 5 million ksh ati hawezi muoa na iyo loan
Otek retweeted
Dem akisha malizana na hoe phase anakuja kukwambia anataka kusettle na anaweza taka umpee mtoto juu relationship yenu iko peaceful nawewe unakua excited like a fool thinking she's the one
Otek retweeted
Hii life after campus will humble you by force, lower your expectations if you’re on your final year.
Otek retweeted
unashanga why is your life so shitty hapa inje kumbe ulijilaani ukijaza majina zako pale kwa choo highschool
Otek retweeted
Nimejaribu kumind my own bs nikashindwa, tell me why this single mom apa kwa ploti ametahiri kijana juzi amemtoa kwa corridor kaote jua na kayoghurt akikaambia "Njeri maliza ama nikuchape" kumbe kanaitwa Brian njeri. Men we are loosing it 😭
Otek retweeted
Kuna morio tumejuana like 3yrs back and not even a single day nishai sikia akitaja wazazi wake ama kupigiwa simu from home, naskianga kumuuliza like radaa?



