
#Passion https://xitter.gq/t.co/Zcq6hzozem
Arusha, Tanzania
Joined October 2010
- Tweets18.4K
- Following237
- Followers204K
- Likes4.8K
Johmakini retweeted
Mabadiliko makubwa ya maisha yako ya baadae ni matokeo ya maamuzi madogo madogo unayo yafanya kila ziku
Johmakini retweeted
Tamaa udhaifu, Mtaji ni Uaminifu.
@JohMakini
Johmakini retweeted
Hii unyama nazani tuliisikilizaga juu juu tu,,,,, n kama mwez sasa naiskilza back to back🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 @JohMakini
Johmakini retweeted
Now Playing;
#NjiaInatoa
@JohMakini , beat na flows🔥.
Johmakini retweeted
Now playing;
One of my favourites, #StimuZimelipiwa
@JohMakini
🔥🔥🔥🔥
Bars tupu, bars tupu!
Chorus✅️
Lyrics✅️
Johmakini retweeted
Now playing;
#Mchele
@JohMakini x @YoungLunya
Hili beat- sijui ni Bass Line au 808, ina snap kinoma🔥👊🏾.
Now playing;
One of my favourites, #StimuZimelipiwa
@JohMakini
🔥🔥🔥🔥
Bars tupu, bars tupu!
Chorus✅️
Lyrics✅️
Johmakini retweeted
Now playing;
Higher
@nikkwapili x @JohMakini
Naziandika rhymes kwenye cello za police🔥
Now playing;
#Mchele
@JohMakini x @YoungLunya
Hili beat- sijui ni Bass Line au 808, ina snap kinoma🔥👊🏾.
Johmakini retweeted
Kikazi Zaidi ya Adili Chapakazi akiwashirikisha Nikki wa pili, G Nako na Rama Dee.
September 27,2010 Ngoma Ikatoka huku #JorsBless alitubariki sana na mdundo safi kwenye studio za Sababisha.
Unyama ulifanyika humu unaweza usijue mwenye wimbo ni nani 🔥
Johmakini retweeted
Kutokupata kila kitu, hofu juu ya kesho na baadae, majukumu yanayo kusubiri, mahitaji yanayo ngoja kipato chako, kutokuwa na uhakika itakuwaje- hivi vyote ni muhimu kwa sababu hivi ndio petroli kwenye gari la maisha, ndivyo vinafanya maisha kwenda kwa speed
Johmakini retweeted
"Nafight nibadilishe hali ya home kwa Mama/Dingi kalost na Madogo wanahitaji kusoma/ so follow me"Chochote popote by Mwamba @JohMakini 🔥🔥
Depot ilikuwa ni Daraja 2, so njoo vizuri~ @JohMakini
Johmakini retweeted
Yanga, Simba, Azam, Singida, Asanteni sana sisi washabiki wa mpira wa miguu, tutakuwa na burudani nyingi sanaa msimu huu. Lakini pia ni standard mpya na ndoto mpya kwa timu, Taifa na watoto wote wenye vipaji mtaani, tunawatakia uwakilishi mwema, mashabiki ni tofauti,Taifa ni Moja
Johmakini retweeted
Replying to @MontanaOcto
Huwa tunasubiri mpaka afariki ndo tuseme alikuwa mkali but he's one of the best joints ever done katika generation hii, aendelee kupumzika kwa amani Pancho Latino 🕊️
















